Demokrasia inatajwa kama mfumo wa utawala unaojengwa katika misingi ya uchaguzi huru na wa haki, utawala wa sheria na uwajibikaji wa viongozi kwa wananchi.
Ukiitazama Marekani moja ya Taifa kubwa duniani, kumekuwa na mabadilishano ya uongozi licha ya kuwa na vyama vikuu viwili vinavyotambulika...