Ni miongoni mwa magolikipa bora kuwahi kutokea Simba na Tanzania!
Ikumbukwe toka zama na zama, Simba imekuwa ikipata magolikipa hodari sana, tangu enzi za akina Athumani Mambosasa, Hamisi Kinye, Mwameja, Steven Nemes, Juma Kaseja, na sasa ni zama za Aishi Manula!
Achana na rekodi zake lukuki...