Habari ya asubuhi,
Kwa mawazo na fikra zangu sijawahi amini kuna mke anaweza kuwa mwema au ukapata mke sahihi katika makundi haya
1. Wanaofanya Jogging
Yaani hapa aisee kama una mke anafanya huu udnunguazi wa makundi makundi jua hauko peke yako na hata ukipata mwanamke humu basi wakumaliza...
Habari zenu wana JF wenzangu, kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu. Katika zunguka zunguka yangu yote katika nchi mbali mbali nikianza na nyumbani Tanzania, kwa kweli sijawahi kuona nchi yenye amani na usalama wa hali ya juu kama Zambia.
Kwa wale wenzangu waliowahi kuikanyaga nchi...
Hayo ma castle lite serengeti lite kinachowasaidia ni promosheni utakuta unaambiwa elfu 10 bia nane
Safari haitegemei promo wala kushusha bei ni big brand
Hawa jamaa naona wana safari sana za kwenda nje, lakini sijawahi kuwasikia walau wakiongea hata sentence moja tu ya lugha ya kiingereza.
Mahojiano wanayoyafanya huko nje huwa ni wanawahoji Watanzania wenzetu tu na lugha inayotumika ni kiswahili kama kawaida.
Sasa nilitaka kujua huko nje...
Jamani mnautumia kauli hiyo hebu nisaidieni maana kwangu sijawahi ona uongozi kwa huyu mama mwenye kuupiga mwingi!
Natamani na Mimi niwe miongoni mwa wanaomsifia kwa 'kuupiga mwingi', ila deep down sioni la kumsifia mpaka Sasa, tafadhalini sana, nisaidieni!
Haijanitokea kwa mtu mmoja au wawili. Ni watu wengi sana. Wengine ni watu wangu wa karibu. Unampigia simu kwa namba ngeni halafu hapokei baadaye anakwambia hapokeagi namba ngeni.
Mwingine labda ni mtu ambae hamjawahi kuwasiliana na ndiyo kwa mara ya kwanza labda umepata namba yake. Nayeye hana...
Nashangaa hawa hasa watangaza dini wanaochipukia, kwanini wote kutwa kujazana miji ya pembezoni mwa mji kwanini mitaa niliyoitaja hawaendi?
Sijawahi kuona tangazo wala mkusanyiko kule mtu akihuburi injili.
Habari Wakuu!
Kuna baadhi ya watu wameingiwa na uchungu Kwa baadhi ya maandiko ninayoandika kuhusu Wanawake wetu.
Wapo wamenipigia siku kuomba ufafanuzi, wapo wameni-dm na Wale wenye uvumilivu mdogo waliishia kutukana tukana Kama wenyewe walivyo Kama matusi Yao.
Taikon hajawahi kumchukia...
Hii nchi ina siri kubwa kwenye mfumo wa Ulinzi, Watendaji wa Uhamiaji ukikutana nao huwezi sema ni jeshi, Naamini Mwalimu wakati anatengeneza mfumo wa nchi aliona mbali Sana. Jinsi miaka inavyozidi kwenda ndipo Watanzania wanatambua kauli ya kwamba wananchi wote ni Askari.
Kama Hawa hjamaa ni...
Mapema mwezi wa kumi kama sio mwezi wa kumi na moja mwaka huu,hawa TMA walitutangazia kuwa kutakuwa na uhaba wa mvua kuanzia mwezi wa 11 hadi wa nne mwaka ujao,leo tena wamebadili gia angani,wamekuja na utabiri wa uwepo wa mvua nyingi.
Mbona wenzao huko marekani na ulaya tabiri zao huwa zinakuwa...
Msanii wa kizazi kipya Omary Ally maarufu kama Marioo, alisema hana mahusiano na wala hajawahi kuwa na mahusiano na mwanamke yoyote yule katika maisha yake.
Marioo alibainisha hayo Agosti 28, 2019 wakati akizungumza katika Kikaangoni cha EATV wakati akijibu swali aliloulizwa kuhusu mwenendo...
Kwa kweli hii trend mpya ya madirisha ya Aluminium binafsi sijaielewa kabisa. Naona kama hayako classy kulinganisha na ya mbao nzuri kama mninga.
Muonekano wake haunivutii kabisa, naona kama ni kitu fake kinachong'aa. Shida nyingine ni yanafunguka nusu. Dirisha la mbao unalifungua full kabisa...
Kutokana na ugumu au vipaumbele vya maisha, watu wengi wanajitahidi kupunguza matumizi ya fedha yasiyokuwa ya lazima. Sasa wewe kipato chako hakitoshelezi kufanya sherehe ya harusi kubwa, huku ukitaka sherehe yako ianzie labda milioni 20, wakati wewe kianzio ulichonacho labda milioni 1; hizo...
Poleni na majukumu wakuu,
NAHITAJI ushauri wenu Kwa hili..,Mimi nipo na mrembo wangu kwa muda Sasa alienivumilia kwa mengi na tumedumu karibun miaka miwili.ni msichana alienipenda kwa dhati na Hilo nilidhihirisha baada ya kunikuta Sina mbele Wala nyuma lakin hakujali, na hata ingetokea nina...
Inasikitisha sana Tanzania sijui inaelekea wapi. DC ni nafasi nyeti ya kuunganisha watendaji na jamii inayowazunguka. Kusimamia mambo ya ulinzi na usalama.
Hii ni nafasi ya waandamizi kutoka katika utumishi au chama, wakiwa wamejaa utu uzima na busara za kumwagika. Leo unaenda kuokoteza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.