sijawahi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. sky soldier

    Sijawahi kuwaamini marafiki wa kiume wa mwanamke. Aliejifanya ni rafiki wa ex wangu alikuwa ananichukia nami nilifanya maksudi kufumua mshono

    KAMA NI RAFIKI KWA NINI UWAONEE WIVU WANAUME WENZAKO WANAO DATE NAE? Ni mwaka 2016 niliweza kuwa na mahusiano na binti flani wa chuoni , sasa katika kumchunguza ndani ya siku 2 tu nikaona ana ukaribu sana na jamaa flani ila akaniambia wao ni marafiki, na kweli kwa observation yangu niliona...
  2. F

    DOKEZO Achana na kunguni, UDOM ina vyoo vichafu sijawahi kuona

    Nimehitimu chuo kikuu cha Dodoma hivi punde, lakini mazingira tuliyokuwa tunaishi pale chuoni hakika yanasikitisha. Colleges nyingi za pale UDOM kuna changamoto kubwa ya usafi chooni na ukiachilia mbali suala la usafi ila maintenance kwenye vyoo vya UDOM ni hovyo kabisa. Wanafunzi wanalipa ada...
  3. D

    Wasimamizi wa namna hii sijawahi kuwaelewa wanachokifanya

    Kuna tabia huwa siielewi kutoka kwa watu tunaoamini ni wataalam! Afisa wa polisi anaposimamisha basi na kuhoji abiria mbele ya dereva kwamba "Wanaonaje mwenendo wa dereva" Sijui huwa unatarajia jibu gani jingine zaidi sifa njema kwa dereva! Hata kama lengo ni zuri lakini ukikosea namna ya...
  4. Christopher Wallace

    Alex Luambano: Sijawahi kuwaona Real Madrid wamebeba mapipa, Al Ahly wapunguze mikwara

    Baada ya Al Ahly kutua airport huku wakionekana wamebeba mapipa makubwa kuelekea mchezo wa dhidi ya Simba, mwandishi mkongwe wa michezo kutoka Clouds Fm, Alex Luambano apigwa na butwaa. Sijawahi kuwaona Real Madrid wakiwa wamebeba mapipa, sasa hii Al Ahly ambayo ni miongoni mwa timu kubwa...
  5. Mwanadiplomasia Mahiri

    Toka nizaliwe sijawahi kuona kijiwe cha kahawa cha wanawake

    Pengine ni ushamba wangu au kukosa exposure, lakini tangu nizaliwe sijawahi kuona kijiwe cha kahawa kinachokaliwa na wakina mama (wanawake). Tumezoea muda mwingi kama sio muda wote vijiwe vya kahawa ni akina baba huku wakiendelea na mijadala mbalimbali. Wenzangu vipi mshawahi kukiona?
  6. Maleven

    Mboga nilioikuta Tanga sijawahi kuiona popote, ni mbaya

    Tembea uone, Nimeenda huko kunakosifiwa kwa mapenzi na mapishi, nimekutan na mboga ya ajabu sana sijawahi kuiona. Inaotwa hombo za/ja Mungu, yani ni kama vile hina, au majani ya chai yaliokorongwa. Af wenyeji wakachanganya kwenye maharage, yani nimeshindwa kula kabisa, kama yale ndo mapishi...
  7. GENTAMYCINE

    Sijawahi kumsikia Kocha Gamondi akiwa na 'Kigugumizi', ila leo kila akihojiwa kinasikika Kulikoni?

    Au labda alikuwa nacho (anacho) ila Yanga SC ikifanya vyema hakimpati lakini ikishinda kama ilivyoshinda leo huko Mbarali Highlands Estates kwa Kumfunga Ihefu FC ndiyo huwa kinampata na kusikika? Kudadadeki leo Mitaani ni Kimya.
  8. Kichwamoto

    Sijawahi kudumu na mpenzi ambaye nimepigiwa debe na chawa wangu kumpata

    Katika harakati zangu za mahusiano kuna nyakati inatokea napata demu kupitia wapambe, makuwadi, wapiga debe, a.k.a Chawa wa Kichwamoto. Mara kadhaa huwa nikipata pisi yoyote kupitia chawa wangu au mpiga debe awe demu au men, nahisi kama nimefunga goli kwa offside. Hivyo Nina kawaida ya...
  9. Mwamuzi wa Tanzania

    Sijawahi kuwa dhaifu kwa mwanamke. Haitatokea.

    Nitampa heshima yake na kumhudumia kadri ya uwezo wangu ila akiringa tu mbele zangu biashara imeisha. Wife analijua hili na anaishi na Mimi kwa umakini mkubwa. Mtu anayeitwa mwanamke hawezi kunipeleka au kuniringia kisa nampenda. Nyie wanaume wenzangu mnaopelekwa mpaka na ma bar maids...
  10. mdukuzi

    Ukipita Chato usiku ni kama uko New York au Jerusalem ya kwenye biblia, zile taa sijawahi kuona mkoa wowote

    Mji umesimikwa taa za solar toka nyamirembe moaka buzirayombo kwa upande wa ziwani ni zaidi ya kilometa 20. Yaani kama unapita na basi ukitokea Mganza usiku kwenda Geita utasema ni New York au Jerusalem wanayoimba walokole,pita mchana sasa ni Chalinze copy copy kasoro airport. Yaani zile...
  11. Loimata

    Sijawahi kuambiwa maneno yakaniuma kama aliyoniambia aliyekuwa mpenzi wangu, sitayasahau kamwe

    ,
  12. Mr Dudumizi

    Sijawahi kuona vita nyepesi kama hii kwa wananchi

    Habari zenu wanaJF wenzangu, Ndugu zangu katika maisha yangu yote sijawahi kushuhudia vita nyepesi, na ya kipuuzi kama hii. Vita hii ni tofauti na ile ya kisiasa ya Sudan kati ya kiongozi wa RSF jeneral Mohamed Hamdan "Hemedti" Dagalo, dhidi ya jeshi la taifa la Sudan linaloongozwa na jeneral...
  13. J

    Nina TIN Number ambayo sijawahi kuitumia kwa biashara yoyote zaidi ya kupatia leseni ya udereva, Je Tax Clearance nitadaiwa?

    Kama heading inavyojieleza, Tangu nipate TIN Number, Haijawahi kutumika kwa biashara isipokuwa tu ilitumika kipindi nahitaji leseni ya udereva, Je TIN hiyo naweza kuitumia kufungulia biashara sasa? Je katika kupata Tax Clearance kutakuwa na complications zozote? Nawasilisha.
  14. Restless Hustler

    Mwaka wa 9, Sijawahi kumuona mtu mwingine akitumia JamiiForums

    Ni mwaka wa ku 9 tangu Nilipoanza kuutumia huu mtandao lakini sijawahi kukutana na mdau wa mtandao huu. Leo nimejaribu kuwauliza colleagues Kama wanaufahamu, wote walikiri kuufahamu lakini wakasema hawautumii. Nikajiuliza iwapo ni kweli au wanaficha privacy zao. Je, uliwahi kumuona mtu live...
  15. Mwande na Mndewa

    Tundu Lissu: Rais Samia ameuza bandari zetu zote zilizopo na zitakazokuwepo

    MKUTANO WA TUNDU LISSU, MBOPO, KAWE. "Samia ameuza bandari zote zilizopo na zitakazokuwepo, ametukosea sana" "Nimeshuhudia vitu vingi vya hovyo lakini sijawahi kushuhudia, mkataba wa hovyo kama huu, sijui huyu Mama anashauriwa na nani" "Mkataba huu haurekebishiki, ni wa kuufuta tu hakuna...
  16. Scars

    Moja ya vitu ambavyo directors wa action movies wanafeli

    Mazungumzo mafupi kati ya Jambazi aliyeshilia mateka na Starling anayetaka kumuokoa mateka Jambazi: "Weka silaha yako chini, ukisogea hatua moja namuua huyu" Starling: "Sawa nimekubali naweka silaha chini" Jambazi ambaye kamuwekea silaha kichwani mateka na kumuamuru starling ambaye...
  17. Lycaon pictus

    Sijawahi kusikia hotuba yenye nguvu kama hii aliyotoa Malcom X

    Nimekuwa nasoma biography ya Malcom X. Huyu mtu alikuwa wa pekee sana. Hapa nataka kuzungumzia hii hotuba yake(The ballot or the Bullet) ukweli sijawahi sikia hotuba yenye nguvu namna hii. Hotuba nyingi bora huwa za kujifanya tu, wanasiasa wakitumia maneno makubwa, wakiongea wanayotaka watu...
  18. TODAYS

    Sijawahi Kuona Hii Kitu kwa Mfiwa, Anayejua Ina Maana Gani?

    Mkuu pole kwa misiba hii iliyofutana. Kuna hili la mfiwa kuzungushiwa utepe mwekundu akiwa kakaa mwenyewe, ni nini maana yake katika jamii iliyostaarabika?
  19. S

    Wanaume wa Tarime, hii ni tabia ya kipumbavu na kidhaifu sana. Badilikeni

    Nilienda zangu klabu moja maarufu Tarime mjini pale, nikakutana na tabia ya ajabu sana kutoka kwa wanaume wa maeneo yale. Ishu ilikua hivi, baada ya kuwa nimepoa zangu muda mrefu naskiliza tu mdundo kidogo kidogo, akanifata mwana mmoja ivi, pigo za kisharobaro kibaao. Kisha akaanza kuniambia...
  20. LA7

    Nina miaka 26 sijawahi kuona maiti live uso kwa uso

    Yaani mimi huwa natazama tu kwambali sio kwamba ni uoga, hapana, yaani hata ikitokea msiba watu aanaaga mimi huwa sishiriki kabisa kuaga nakaa zangu kando. Sasa sijajua siku itakapo nitokea hali ya kuona maiti usoni kitanipata nini, sijawahi, sijawahi.
Back
Top Bottom