Sijawahi kumsikia MAKONDA akiongea Kiingereza

Sijawahi kumsikia MAKONDA akiongea Kiingereza

and 998 others

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2012
Posts
28,477
Reaction score
40,278
1. Jiji la Arusha hupokea wageni wa Kimataifa mara kwa mara tofauti labda na Lindi au Rukwa hukoo. Ila sijawahi kumsikia Mheshimiwa akitema yai. Je huwa anawasiliana nao vipi pindi wageni wa Kimataifa wakifika Jijini Arusha?

2. Mwenye ushahidi (video clip) akiwa anaongea lugha tajwa aweke hapa.

Zawadi Nono kutolewa kwa yeyote atakayeleta ushahidi huyo mwamba akiwa anatema ngeli
 
Unaweza kuwa na hoja, ifike mahala tusipingane na uhalisia! Tatizo laweza kuwa si makonda lakini mitaala inayoandaa wasomi wetu! Na mgogoro unaanzia kwenye lugha ya kufundishia.

Ni vema tuamue kama kiingereza kitumike katika ngazi zote za elimu au kiswahili kitumike katika ngazi zote za elimu!
Aibu mtu wa primary kenya anaongea fluency English kuliko Graduate wa Tanzania!
 
1. Jiji la Arusha hupokea wageni wa Kimataifa mara kwa mara tofauti labda na Lindi au Rukwa hukoo. Ila sijawahi kumsikia Mheshimiwa akitema yai.

2. Mwenye ushahidi (video clip) akiwa anaongea lugha tajwa aweke hapa.

Zawadi Nono kutolewa kwa yeyote atakayeleta ushahidi huyo mwamba akiwa anatema ngeli
Msukuma na kiingereza wapi na wapi, umesahau kingereza cha mjomba Magu?
 
Back
Top Bottom