Pulchra Animo
Platinum Member
- Jun 16, 2016
- 8,620
- 15,134
Umewahi kumuona au kumsikia akiongea Kiswahili na wageni? Jibu la hili swali litatusaidia kupima validity ya mshangao wako!1. Jiji la Arusha hupokea wageni wa Kimataifa mara kwa mara tofauti labda na Lindi au Rukwa hukoo. Ila sijawahi kumsikia Mheshimiwa akitema yai.
2. Mwenye ushahidi (video clip) akiwa anaongea lugha tajwa aweke hapa.
Zawadi Nono kutolewa kwa yeyote atakayeleta ushahidi huyo mwamba akiwa anatema ngeli