Amesema " has taken" . umetulisha tango pori.Leteni anayoongea kingereza, hapa kaongea lugha inayofanana na kingereza. I taken...ok ok ndio lugha gani.
Amesema " has taken" . umetulisha tango pori.Leteni anayoongea kingereza, hapa kaongea lugha inayofanana na kingereza. I taken...ok ok ndio lugha gani.
Kwa hiyo ukienda Indonesia utaongea Kiswahili? Acha ushamba thamini lugha yako1. Jiji la Arusha hupokea wageni wa Kimataifa mara kwa mara tofauti labda na Lindi au Rukwa hukoo. Ila sijawahi kumsikia Mheshimiwa akitema yai. Je huwa anawasiliana nao vipi pindi wageni wa Kimataifa wakifika Jijini Arusha?
2. Mwenye ushahidi (video clip) akiwa anaongea lugha tajwa aweke hapa.
Zawadi Nono kutolewa kwa yeyote atakayeleta ushahidi huyo mwamba akiwa anatema ngeli
Mkuu acha porojo! Ukweli usemwe. Div 0 huwezi linganisha na waliofaulu, jitambue.Unaweza kuwa na hoja, ifike mahala tusipingane na uhalisia! Tatizo laweza kuwa si makonda lakini mitaala inayoandaa wasomi wetu! Na mgogoro unaanzia kwenye lugha ya kufundishia.
Ni vema tuamue kama kiingereza kitumike katika ngazi zote za elimu au kiswahili kitumike katika ngazi zote za elimu!
Aibu mtu wa primary kenya anaongea fluency English kuliko Graduate wa Tanzania!
Makonda ni Raisi?Raisi wa china XI JINPING hajui kiingereza na hazungumzi hiyo lugha kwenye meating na maraisi wanaozungumza kiingereza usaidiwa na mkalimani
😅😅1. Jiji la Arusha hupokea wageni wa Kimataifa mara kwa mara tofauti labda na Lindi au Rukwa hukoo. Ila sijawahi kumsikia Mheshimiwa akitema yai. Je huwa anawasiliana nao vipi pindi wageni wa Kimataifa wakifika Jijini Arusha?
2. Mwenye ushahidi (video clip) akiwa anaongea lugha tajwa aweke hapa.
Zawadi Nono kutolewa kwa yeyote atakayeleta ushahidi huyo mwamba akiwa anatema ngeli
Viongozi wa Chadema uenda kuongea na Mabalozi wa Nchi za Ulaya mara kwa mara. Uliishawahi kumuona John Heche anaongea Kiinglish? Niwekee clip hapa!1. Jiji la Arusha hupokea wageni wa Kimataifa mara kwa mara tofauti labda na Lindi au Rukwa hukoo. Ila sijawahi kumsikia Mheshimiwa akitema yai. Je huwa anawasiliana nao vipi pindi wageni wa Kimataifa wakifika Jijini Arusha?
2. Mwenye ushahidi (video clip) akiwa anaongea lugha tajwa aweke hapa.
Zawadi Nono kutolewa kwa yeyote atakayeleta ushahidi huyo mwamba akiwa anatema ngeli
Ras simba hali nyama, hivyo Makonda ndio itabidi aje Dar kumfuata.Sio Ras Simba ndio aende Arusha?
Ni kweli inawezekana Heche hajui kiingereza vizuri, ila ana afadhali kuliko ilivyokuwa dhalimu magu.Viongozi wa Chadema uenda kuongea na Mabalozi wa Nchi za Ulaya mara kwa mara. Uliishawahi kumuona John Heche anaongea Kiinglish? Niwekee clip hapa!
Na bado akawa Rais wako na ulifyata wewe na ukoo wako mzima! Mkimsikia tu akiongea redioni mnakimbilia chooni! Nyambafu!!!Ni kweli inawezekana Heche hajui kiingereza vizuri, ila ana afadhali kuliko ilivyokuwa dhalimu magu.
Kuwa rais Tanzania nayo ni sifa?!Na bado akawa Rais wako na ulifyata wewe na ukoo wako mzima! Mkimsikia tu akiongea redioni mnakimbilia chooni! Nyambafu!!!
Babaako angelipewa hiyo hadhi akaikataa ningelikuelewa.Kuwa rais Tanzania nayo ni sifa?!
Kwa taarifa yako watalii wengi wanaoitembelea Arusha huwa hawajui kutema yai huko ni..Ila sijawahi kumsikia Mheshimiwa akitema yai. Je huwa anawasiliana nao vipi pindi wageni wa Kimataifa wakifika Jijini Arusha?
Hiyo ni hadhi kwako, sio kwa kila mtu ni hadhi.Babaako angelipewa hiyo hadhi akaikataa ningelikuelewa.
Atakuwa anaongea kiswanglishi!1. Jiji la Arusha hupokea wageni wa Kimataifa mara kwa mara tofauti labda na Lindi au Rukwa hukoo. Ila sijawahi kumsikia Mheshimiwa akitema yai. Je huwa anawasiliana nao vipi pindi wageni wa Kimataifa wakifika Jijini Arusha?
2. Mwenye ushahidi (video clip) akiwa anaongea lugha tajwa aweke hapa.
Zawadi Nono kutolewa kwa yeyote atakayeleta ushahidi huyo mwamba akiwa anatema ngeli