Mtoto wa Shule
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 21,572
- 15,610
Ahahahahaha! Waliokata tamaa wana maneno mazuri ya kujiliwaza! Ahahahahaha!Hiyo ni hadhi kwako, sio kwa kila mtu ni hadhi.
Ahahahahaha! Waliokata tamaa wana maneno mazuri ya kujiliwaza! Ahahahahaha!Hiyo ni hadhi kwako, sio kwa kila mtu ni hadhi.
Magu hakuwa msukuma, unalijua hilo?Msukuma na kiingereza wapi na wapi, umesahau kingereza cha mjomba Magu?
Kama sisi wengine lugha3,Ya kijijini,kiswahili na hiyo ya malkia(English)!Mtihani!Unaweza kuwa na hoja, ifike mahala tusipingane na uhalisia! Tatizo laweza kuwa si makonda lakini mitaala inayoandaa wasomi wetu! Na mgogoro unaanzia kwenye lugha ya kufundishia.
Ni vema tuamue kama kiingereza kitumike katika ngazi zote za elimu au kiswahili kitumike katika ngazi zote za elimu!
Aibu mtu wa primary kenya anaongea fluency English kuliko Graduate wa Tanzania!
Ni raisi wa waduduMakonda ni Raisi?
Umenisoma ukakimbilia kupost wala hata hujanielewaWazimbabwe,Wazambia, Malawi, wanaongea kiiingereza Hadi vijijini. Wametupita maendeleo?
Umeathirika na mental slavery mentality.
Na wageni maaana Arusha ni mji wa Wageni. Nasikia aliwahi kuwa introduce watu kwambaaongee na nani kiingereza sasa?
Ukitaka kujua kama mtu anajua kiingereza mwambia asali kwa kiingereza!Ila atakuwa anajua hata kile kidogo cha kuombea chai
Hehe elimu ya msingi kasoma Kenya,hivyo atakuwa anajua English vizuriNi kweli inawezekana Heche hajui kiingereza vizuri, ila ana afadhali kuliko ilivyokuwa dhalimu magu.
Ile sala ya Baba yetu uliye MbinguniUkitaka kujua kama mtu anajua kiingereza mwambia asali kwa kiingereza!
Hiyo si unakariri tu toka Biblia ya kiingereza! Mwaga vitu vyako original, mfano wakati wa kula!Ile sala ya Baba yetu uliye Mbinguni
Kwani Kuongea kingeleza ni usomi?Unaweza kuwa na hoja, ifike mahala tusipingane na uhalisia! Tatizo laweza kuwa si makonda lakini mitaala inayoandaa wasomi wetu! Na mgogoro unaanzia kwenye lugha ya kufundishia.
Ni vema tuamue kama kiingereza kitumike katika ngazi zote za elimu au kiswahili kitumike katika ngazi zote za elimu!
Aibu mtu wa primary kenya anaongea fluency English kuliko Graduate wa Tanzania!
Hakuna msomi aliyepata usomi wake kwa lugha ya kiswahili.Kwani Kuongea kingeleza ni usomi?
Mbona kama una hasira ewe mtetea uzungu?Hakuna msomi aliyepata usomi wake kwa lugha ya kiswahili.
Makonda anafanya kazi ipi zaidi ya kuratibu matamasha?Unataka kiingereza au mtu afanye kazi?
Acha upuuzi,umeshakua wewe
Alisoma shule za wakoloni waingereza hivyo ukoloni wa kiingereza ulikuwa kichwani na mdomoniMzalendo zaidi ya Nyerere?! Mbona Nyerere enzi zake alikuwa anacharaza hiyo ngeli?
Alikuwa mzito sana kujifunza masomo1. Jiji la Arusha hupokea wageni wa Kimataifa mara kwa mara tofauti labda na Lindi au Rukwa hukoo. Ila sijawahi kumsikia Mheshimiwa akitema yai. Je huwa anawasiliana nao vipi pindi wageni wa Kimataifa wakifika Jijini Arusha?
2. Mwenye ushahidi (video clip) akiwa anaongea lugha tajwa aweke hapa.
Zawadi Nono kutolewa kwa yeyote atakayeleta ushahidi huyo mwamba akiwa anatema ngeli