Sijawahi kumsikia MAKONDA akiongea Kiingereza

Kingereza ni lugha tu kama lugha zingine. Acha ushamba dogo
Hili ni la kwako....

Mleta hoja wala hajasema kuwa lugha ya Kiingereza si lugha kama lugha zingine....

Bali amesema hivi:

Hajawahi kumsikia Paul Makonda a.k.a Albert Bashite Malyangili akiongea hiyo "lugha nyingine" tunayotumia kama lugha ya kufundishia elimu ya sekondari na ya vyuo vikuu...

Unachopaswa kujibu wewe ni aidha KWELI au SIO KWELI....

Kama ni kweli hujawahi mwona wala kumsikia, uchune, nyamaza kimya ebdelea na hamsini zako.....

Lakini kama sio kweli na wewe ulishawahi kumuona na kumsikia akitumia lugha hii (ki - inglishi) kuwasiliana na wengine, unaweza kuthibitisha kwa ushahidi wa video au voice notes...!
 
1. Jiji la Arusha hupokea wageni wa Kimataifa mara kwa mara tofauti labda na Lindi au Rukwa hukoo. Ila sijawahi kumsikia Mheshimiwa akitema yai.

2. Mwenye ushahidi (video clip) akiwa anaongea lugha tajwa aweke hapa.

Zawadi Nono kutolewa kwa yeyote atakayeleta ushahidi huyo mwamba akiwa anatema ngeli
 
Attachments

  • 1728759764686.jpg
    1728759764686.jpg
    154.8 KB · Views: 28
1. Jiji la Arusha hupokea wageni wa Kimataifa mara kwa mara tofauti labda na Lindi au Rukwa hukoo. Ila sijawahi kumsikia Mheshimiwa akitema yai.

2. Mwenye ushahidi (video clip) akiwa anaongea lugha tajwa aweke hapa.

Zawadi Nono kutolewa kwa yeyote atakayeleta ushahidi huyo mwamba akiwa anatema ngeli
Umewahi kumsikia Xi Jinping kuongea English, Starmer, Trump kuongea Kichina. Mental slavery inakusumbua
 
Kiingereza kingekuwa kinaongeza miaka ya kuishii!!
Wazee wa yu no ze ze zeee wasingegonga forty.
Wazimbabwe,Wazambia, Malawi, wanaongea kiiingereza Hadi vijijini. Wametupita maendeleo?

Umeathirika na mental slavery mentality.
 
Mabwana zenu wakiongea kingereza inatosha kabisa
 
1. Jiji la Arusha hupokea wageni wa Kimataifa mara kwa mara tofauti labda na Lindi au Rukwa hukoo. Ila sijawahi kumsikia Mheshimiwa akitema yai.

2. Mwenye ushahidi (video clip) akiwa anaongea lugha tajwa aweke hapa.

Zawadi Nono kutolewa kwa yeyote atakayeleta ushahidi huyo mwamba akiwa anatema ngeli
Yeye hawezi kutema yai anajua kutaga tu
 
1. Jiji la Arusha hupokea wageni wa Kimataifa mara kwa mara tofauti labda na Lindi au Rukwa hukoo. Ila sijawahi kumsikia Mheshimiwa akitema yai. Je huwa anawasiliana nao vipi pindi wageni wa Kimataifa wakifika Jijini Arusha?

2. Mwenye ushahidi (video clip) akiwa anaongea lugha tajwa aweke hapa.

Zawadi Nono kutolewa kwa yeyote atakayeleta ushahidi huyo mwamba akiwa anatema ngeli
Watanzania wanazungumza kiswahili why azungumze kiingereza?kwani yupo Uingereza hapa? Tumieni ubongo vijana msitumie makalio kufikiria.
 
Umeambiwa Arusha inapokea wageni wa Kimataifa zaidi ya Mikoa mingine (Lindi, Rukwa, Katavi na huko kwenu Simiyu) hivyo ungetegemea Mkuu wa Mkoa wa Arusha awe anatema yai kirahisi kuliko hao wengine.
 
Asilimia 80 ya mabilionea wa Arusha hawajui kiingereza,, mmoja wapo nabii Goe Davie msimsimange Makonda
 
Umeambiwa Arusha inapokea wageni wa Kimataifa zaidi ya Mikoa mingine (Lindi, Rukwa, Katavi na huko kwenu Simiyu) hivyo ungetegemea Mkuu wa Mkoa wa Arusha awe anatema yai kirahisi kuliko hao wengine.
Yeye anakuwa anaongea na wageni au wenyeji? Huo ni upumbavu tu na kuji feel inferior yeye akienda Uingereza watamsemesha kiswahili? Wewe tutumie kiingereza na mimi katika huu mjadala
 
1. Jiji la Arusha hupokea wageni wa Kimataifa mara kwa mara tofauti labda na Lindi au Rukwa hukoo. Ila sijawahi kumsikia Mheshimiwa akitema yai. Je huwa anawasiliana nao vipi pindi wageni wa Kimataifa wakifika Jijini Arusha?

2. Mwenye ushahidi (video clip) akiwa anaongea lugha tajwa aweke hapa.

Zawadi Nono kutolewa kwa yeyote atakayeleta ushahidi huyo mwamba akiwa anatema ngeli
Kwaiyo yeye ndo anakaaga kwenye lango la jiji kukaribisha wazungu wote wanaoingia Arusha? Wewe ndo ulimsaidia kuongea kupata scholarship za watu 1000?
 
Back
Top Bottom