Mmh ila wewe bwana..🤣🤣🤣😆1. Jiji la Arusha hupokea wageni wa Kimataifa mara kwa mara tofauti labda na Lindi au Rukwa hukoo. Ila sijawahi kumsikia Mheshimiwa akitema yai. Je huwa anawasiliana nao vipi pindi wageni wa Kimataifa wakifika Jijini Arusha?
2. Mwenye ushahidi (video clip) akiwa anaongea lugha tajwa aweke hapa.
Zawadi Nono kutolewa kwa yeyote atakayeleta ushahidi huyo mwamba akiwa anatema ngeli
Ila wewe sina adabu kabisaa1. Jiji la Arusha hupokea wageni wa Kimataifa mara kwa mara tofauti labda na Lindi au Rukwa hukoo. Ila sijawahi kumsikia Mheshimiwa akitema yai. Je huwa anawasiliana nao vipi pindi wageni wa Kimataifa wakifika Jijini Arusha?
2. Mwenye ushahidi (video clip) akiwa anaongea lugha tajwa aweke hapa.
Zawadi Nono kutolewa kwa yeyote atakayeleta ushahidi huyo mwamba akiwa anatema ngeli
Nashangaa!!Mpaka sasa hakuna aliyejitokeza
Anaongea kiingereza cha tabu sana. Akiongea kiingereza na mtu asijejua kiswahili itakuwa ngumu kuelewana, maana kiingereza chake kinaeleweka kwa mtu anayejua kiswahili. Mfano, kama umekaa badala ya kukumbia stand up ili usimame, atakwambia stop.
Makondo na kingereza wapi na wapi wakati hata jina siyo la kwake. Yeye anaitwa Daud albert bashite.1. Jiji la Arusha hupokea wageni wa Kimataifa mara kwa mara tofauti labda na Lindi au Rukwa hukoo. Ila sijawahi kumsikia Mheshimiwa akitema yai. Je huwa anawasiliana nao vipi pindi wageni wa Kimataifa wakifika Jijini Arusha?
2. Mwenye ushahidi (video clip) akiwa anaongea lugha tajwa aweke hapa.
Zawadi Nono kutolewa kwa yeyote atakayeleta ushahidi huyo mwamba akiwa anatema ngeli
Mmeanza nongwa eeeh🤣🤣1. Jiji la Arusha hupokea wageni wa Kimataifa mara kwa mara tofauti labda na Lindi au Rukwa hukoo. Ila sijawahi kumsikia Mheshimiwa akitema yai. Je huwa anawasiliana nao vipi pindi wageni wa Kimataifa wakifika Jijini Arusha?
2. Mwenye ushahidi (video clip) akiwa anaongea lugha tajwa aweke hapa.
Zawadi Nono kutolewa kwa yeyote atakayeleta ushahidi huyo mwamba akiwa anatema ngeli
Ni lazima kuongea kiingereza?....kutema yai si mchezo. ni adhabu inayosulubu mioyo ya wanasiasa na watawala wengi sana. imagine una hela, cheo, na umaarufu, ila ikifikia hatua ya kupiga un,'gen'ge, Unaanza vizingizio ooh, eti kiingereza sio akili, akili ni kujua mambo.
kwani lugha sio miongoni mwa mambo?...tusijifariji lugha za kimataifa bado tunazihitaji ili kujifungasha kwenye utandawazi na teknolojia.
Tuma kwa namba hii1. Jiji la Arusha hupokea wageni wa Kimataifa mara kwa mara tofauti labda na Lindi au Rukwa hukoo. Ila sijawahi kumsikia Mheshimiwa akitema yai. Je huwa anawasiliana nao vipi pindi wageni wa Kimataifa wakifika Jijini Arusha?
2. Mwenye ushahidi (video clip) akiwa anaongea lugha tajwa aweke hapa.
Zawadi Nono kutolewa kwa yeyote atakayeleta ushahidi huyo mwamba akiwa anatema ngeli
ulazima unategemeana mazingira, sasa unatarajia nani akuongelee mambo muhimu yanayokuhusu ikiwa haujui lugha ya mwenzako?Ni lazima kuongea kiingereza?