Sijawahi kumsikia MAKONDA akiongea Kiingereza

Sio kila anayepata uongozi serikalini anajua kuongea kiingereza, wengine ni kimbelembele chao kimewafikisha hapo. Cha ajabu utaambiwa ni wasomi na wana shahada. Una shahada halafu hujui kuongea kiingereza hii si ni vioja na vituko?
 
Ukweli mleta mada kingereza ni janga kwa viongozi wengi wa CCM wanapewa vyeo tu kichwani ni weupe.serikali ya sasa labda mpango na kabudi wengine hawapaswi kuwa kwenye hivyo vyeo.
 
Mimi ninayo ya Jenista Mhagama akichapa kiingereza safi tena cha kusoma kwenye mkutano wa WHO...
 
1. Jiji la Arusha hupokea wageni wa Kimataifa mara kwa mara tofauti labda na Lindi au Rukwa hukoo. Ila sijawahi kumsikia Mheshimiwa akitema yai. Je huwa anawasiliana nao vipi pindi wageni wa Kimataifa wakifika Jijini Arusha?

2. Mwenye ushahidi (video clip) akiwa anaongea lugha tajwa aweke hapa.

Zawadi Nono kutolewa kwa yeyote atakayeleta ushahidi huyo mwamba akiwa anatema ngeli
Itakusaidia nini akiongea ?
 
Wachina , waarabu ,Wafaransa ,wa Indi wa russi wapo mbali sana na lugha zao tuache lugha za kigeni tupende lugha yetu
 
Viongozi wa Urusi,India,Korea,japan,nk umewahi kusikia wanaongea kiingereza wanapotekeleza majukumu yao?au umesikia kiingereza ni almasi?

Mama na baba yako wanaoongea kiingereza wamewahi kuwa hata wenyeviti wa mitaa??
Baada ya maelezo meeengi tunaomba video
 
ulazima unategemeana mazingira, sasa unatarajia nani akuongelee mambo muhimu yanayokuhusu ikiwa haujui lugha ya mwenzako?

mfano, wewe ni kiongozi una kikao cha wawekezaji, utaita wakalimani kila hatua?

mnasemaga china imepiga hatua na haijawahi kutinga kwenye ukoloni wa lugha... na tujiulize ni kwanini sasa wanajifunza kiswahili kwa kasi. kwanini hawajatosheka na kichina chao?'

mnadhani kutojua lugha za wengine ni uzalendo?
Wewe ni mpumbavu na mtumwa wa kifikira wa wazungu,hao wazungu wanapokwenda china,korea,japan,nk kwanini wanaenda na waarimani?

Traole alipoenda Urusi kukutana na Putin aliongea kiingereza au kirusi kama siyo kutumia WAKALIMANI??

Acha ujinga siku mojamoja jitambue ngeke wewe
 
Sio kila anayepata uongozi serikalini anajua kuongea kiingereza, wengine ni kimbelembele chao kimewafikisha hapo. Cha ajabu utaambiwa ni wasomi na wana shahada. Una shahada halafu hujui kuongea kiingereza hii si ni vioja na vituko?
Jinga kabisa wachina wote wenye shahada wanaongea kiingereza au hapo walipofikia ni kwa kutumia kiingereza cha mabwana zako??
 
1. Jiji la Arusha hupokea wageni wa Kimataifa mara kwa mara tofauti labda na Lindi au Rukwa hukoo. Ila sijawahi kumsikia Mheshimiwa akitema yai. Je huwa anawasiliana nao vipi pindi wageni wa Kimataifa wakifika Jijini Arusha?

2. Mwenye ushahidi (video clip) akiwa anaongea lugha tajwa aweke hapa.

Zawadi Nono kutolewa kwa yeyote atakayeleta ushahidi huyo mwamba akiwa anatema ngeli
Pole sana mleta mada! Sasa nakubaliana na Hayati Mchungaji Mtikila. Alisema, Zamani ilikuwa kazi kuwaelimisha wasiosoma. Lakini Siku hizi ni kazi kubwa sana kuwa elimisha wasomi. Mleta mada anahitaji kuelimishwa na usomi wake huo alionao!!!
 
Ushawahi kumsikia PM majaliwa akitema kimombo?

TOKA MAKTABA :
kikao cha 79 cha
UNGA New York, 24 - 30 September 2024

H.E Kassim Majaliwa Majaliwa akihutubia Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa UNGA makao makuu ya UN jijini New York Marekani

View: https://m.youtube.com/watch?v=tGE2Y4GwALY

Kassim Majaliwa Majaliwa, Prime Minister of the United Republic of Tanzania, addresses the General Debate of the 79th Session of the General Assembly of the United Nations (New York, 24 - 30 September 2024).World leaders gather to engage in the annual high-level General Debate under the theme, "Unity and diversity for advancing peace, sustainable development, and human dignity, everywhere and for all." Heads of State and Government and ministers will explore solutions to intertwined global challenges to advance peace, security, and sustainable development.
 
1. Jiji la Arusha hupokea wageni wa Kimataifa mara kwa mara tofauti labda na Lindi au Rukwa hukoo. Ila sijawahi kumsikia Mheshimiwa akitema yai. Je huwa anawasiliana nao vipi pindi wageni wa Kimataifa wakifika Jijini Arusha?

2. Mwenye ushahidi (video clip) akiwa anaongea lugha tajwa aweke hapa.

Zawadi Nono kutolewa kwa yeyote atakayeleta ushahidi huyo mwamba akiwa anatema ngeli
Hata wewe sijawahi kukusikia ukiongea kifaransa
 
Anasoma toka kwenye makaratasi
 
1. Jiji la Arusha hupokea wageni wa Kimataifa mara kwa mara tofauti labda na Lindi au Rukwa hukoo. Ila sijawahi kumsikia Mheshimiwa akitema yai. Je huwa anawasiliana nao vipi pindi wageni wa Kimataifa wakifika Jijini Arusha?

2. Mwenye ushahidi (video clip) akiwa anaongea lugha tajwa aweke hapa.

Zawadi Nono kutolewa kwa yeyote atakayeleta ushahidi huyo mwamba akiwa anatema ngeli

View: https://www.facebook.com/TanzaniaYe2/videos/video-mh-paul-makonda-ashindana-kiingereza-na-mtoto-mwenye-kipaji-cha-kuzaliwa-j/809026579256622/
 
1. Jiji la Arusha hupokea wageni wa Kimataifa mara kwa mara tofauti labda na Lindi au Rukwa hukoo. Ila sijawahi kumsikia Mheshimiwa akitema yai. Je huwa anawasiliana nao vipi pindi wageni wa Kimataifa wakifika Jijini Arusha?

2. Mwenye ushahidi (video clip) akiwa anaongea lugha tajwa aweke hapa.

Zawadi Nono kutolewa kwa yeyote atakayeleta ushahidi huyo mwamba akiwa anatema ngeli
Call me J
 
Gambo kaamua kupambana na jamaa,ameshuka sana ile mitandao iliyokuwa inamtetea wale vijana nao bando limeisha.Kila anayepambana naye hunyamaza ila Gambo kaamua liwalo na liwe,wakimaliza hapo kila mmoja atakuwa amejulikana tabia zake.
 
1. Jiji la Arusha hupokea wageni wa Kimataifa mara kwa mara tofauti labda na Lindi au Rukwa hukoo. Ila sijawahi kumsikia Mheshimiwa akitema yai. Je huwa anawasiliana nao vipi pindi wageni wa Kimataifa wakifika Jijini Arusha?

2. Mwenye ushahidi (video clip) akiwa anaongea lugha tajwa aweke hapa.

Zawadi Nono kutolewa kwa yeyote atakayeleta ushahidi huyo mwamba akiwa anatema ngeli
Anaongea akiwa darasani tu, kwa sasa yuko pale kwa Mwalimu Riwa, akijifunza kusoma na kuandika Kiingereza na watoto wa chekechea.
 
Wewe ni mpumbavu na mtumwa wa kifikira wa wazungu,hao wazungu wanapokwenda china,korea,japan,nk kwanini wanaenda na waarimani?

Traole alipoenda Urusi kukutana na Putin aliongea kiingereza au kirusi kama siyo kutumia WAKALIMANI??

Acha ujinga siku mojamoja jitambue ngeke wewe
.....Tema yai kijana.....kwani ni lini tumeacha kuwa watumwa wa kifikra wa wayurunodi?....hata staili ya kukifahamu hicho kiswahili ni wazungu wameleta......bookish education.

Hivi hushawahi kutembelea gari au ndege iliyotengenezwa bila fikra za wazungu au wachina. unajitamkia tu, ilihali kila kitu hata simu unayotumia ni matokeo ya fikra zao.

Narudia kiongozi wa nyakati za leo ni lazima wateme yai, na ndio maana wao watoto wao wanasoma kwenye shule zenye silika za kizungu. mjadala ufungwe naongea na watoto wa 2000 hapa.
 
Back
Top Bottom