siku mbili

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Wakili wa shetani

    Kukata umeme siku mbili mfululizo haikubaliki

    Mmekuwa mnakata leo kesho upo. Tulikubaliana na hilo. Tukasema tutavumilia na tukaweka sawa ratiba zetu. Sasa huu utaratibu wa kukata siku mbili mfululizo inakuwaje? Kuweni serious na maisha ya watu.
  2. kagoshima

    Imefikia hali Tanzania ukiona umeme haujakatika ndani ya siku mbili au tatu unashangaa kulikoni

    Nilikua Morogoro, wanakata asubuhi ya saa moja na kurudishwa saa 12 jioni. Wasipo kata mchana basi tegemea usiku kutakua Giza Toka saa moja hadi saa sita usiku. Hii ndo Tanzania ya CCM
  3. Roving Journalist

    Rais wa Indonesia kuwasili Tanzania, leo Agosti 21 katika ziara ya siku mbili

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dkt. Segomana Tax ameelezea ujio wa kiongozi huyo, Rais wa Indonesia, Joko Widodo katika ziara yake ya siku mbili Nchini Tanzania. Waziri Dkt. Tax amesema ziara hiyo ni matokeo ya kazi kubwa anayoifanya Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa...
  4. U

    Anatakiwa asubiri siku mbili au zaidi kisha ndiyo aendelee na majukumu yake

    Wadau hamjambo nyote? Mada na elimu hii ni kwa wale wenye hekima peke yake na ndiyo wanakaribishwa kujadili Anatakiwa kama Amemaliza leo basi ni vema akasubiri angalao siku 2 hadi 3 kabla ya kuendelea kutekeleza majukumu yake ya Kifamilia! Asubuhi njema ndugu zangu
  5. Tripo9

    Nishaurini accomodation cheapest New York city naenda mwezi wa nane mwaka huu 2023 kwa siku mbili tatu tu

    August 2023 naenda New York City kushangaa Tu kwa siku kama 3 then nirudi zangu. Niko man alone, nishaurini accomodation cheapest hata kama ni shared accomodation poa tu ilimradi usalama. Mimi naishi popote sitaki tu semehu zenye violence maana usalama Kwanza. Asanteni wakulungwa.
  6. JanguKamaJangu

    Nigeria: Walimu watishia kupunguza siku za kufanyakazi, ziwe siku mbili tu

    Umoja wa Walimu wa Elimu ya Juu (COEASU) unaojumuisha vyuo 252 umetoa tamko kuwa Wanachama wake wanatarajia kuanza kufanya kazi kwa muda wa siku mbili kwa wiki kama Serikali haitapunguza gharama za maisha. Walimu hao wanataka nyongeza ya mshahara kwa asilimia 200 ili waweze kuendana na gharama...
  7. Donnie Charlie

    Kwa hiyo Sudan wameamua kusitisha mapigano siku mbili kupisha sikukuu ya kuchinja kisha waendelee kuchinjana.

    Kwa Wasudan wengi wanaotatizika kunusurika kwenye vita, ladha ya kondoo ambayo Waislamu hujitolea kijadi kwa ajili ya sikukuu ya Eid al-Adha ni kumbukumbu ya mbali. Mzozo huo ambao sasa uko katika mwezi wa tatu, umeleta vifo na misukosuko na kusababisha mamilioni ya watu kuyahama makazi yao...
  8. Chizi Maarifa

    Hizi siku mbili jana na leo zimekuwa chungu sana kwangu. Nimekata tamaa kabisa

    Nimekata tamaa. Najiona si mimi tena. Nimekuwa mtu wa ajabu humu JF naona kama watu wote wameanza kunichukia. Sijui hata nitafanyaje. Naona kama tu nisiishi tena. Sioni makusudi ya kuishi katika hali hii. Nimekata tamaa sana. Jana na leo sijapata hata mtu mmoja wa kugombana naye humu JF...
  9. Zacht

    Bado siku mbili kufika Ile siku waliyo tuahidi

    Walituambia ikifika June tren zetu zitaanza kutembea maana Ile February waliomba wasogezewe muda kidogo,
  10. M

    Ukiwa hujapata wateja kwenye biashara unatakiwa ufanye nini?

    Ndugu zangu naombeni mnipe mbinu za kufanya kwa mtua liyeanza biashara alafu WATEJA MWANZONI WALIKUA WANAKUJA TU ILA KWASASA NI WEEK INAENDA WATEJA NI WA KUSUA SUA HASA MWEZI HUU. Nifanyejeeee? Maana biashara ni mpya na sitaki kuifunga
  11. Lycaon pictus

    Kukata umeme siku mbili mfululizo kazi zitafanyika saa ngapi?

    Mlikuwa mnakata kwa kuruka siku. Haikuwa mbaya sana. Sasa hii ya kukata siku mbili mfululizo kazi zitafanyika saa ngapi?
  12. Lycaon pictus

    Ni vema hili tatizo la umeme likatatuliwa haraka. Kazi zinafanyika siku mbili kati ya saba za wiki

    Au huu mgao ni huku tu? Wanakata Jtatu, tano na leo ijumaa. Wanawasha siku mbili za wiki na wikiendi. Hii inasumbua uchumi wa watu sana. Taifa litaendeleaje kwa kufanya kazi siku mbili. Fanyeni mpango kutatua hii shida. Hatuwezi enda hivi hadi mvua zije mabwawa yajae.
  13. R

    Naona siku mbili hizi Johnthebaptist hujatupia thread hapa JF, kuna nini?

    Wewe ni mmoja wa watunga thread kwa wingi per day, hapa JF. Kuna nini hujatupia? kama siku mbili hivi
  14. JanguKamaJangu

    Iran: Mafuriko ya siku mbili yauwa watu 53

    Mafuriko ya siku mbili maeneo ya Tehran yameuwa Watu 53 kwa mujibu wa taarifa rasmi ya Serikali. Mkuu wa Kitengo cha Msalaba Mwekundu, Mehdi Valipour amesema Watu wengine 16 hawajulikani walipo baada ya tukio kuathiri Watu 400 katika Vijiji 18 na kusababisha miundombinu mingi kuharibika. Wiki...
  15. mwanamwana

    Rais Samia kufanya ziara ya Kiserikali nchini Uganda kwa siku mbili

  16. JanguKamaJangu

    DRC: Watu 30 wauawa katika mashambulizi ya siku mbili

    Zaidi ya watu 30 wameuawa katika shambulio linalodaiwa kufanywa na Vikundi vya Jihadi, Aprili 11 na 12, 2022, Kaskazini Mashariki mwa DR Congo, Shirika la Msalama Mwekundu limetoa taarifa hiyo. Waasi wa Allied Democratic Forces (ADF) ni moja ya makundi yenye silaha, waliwashambulia watu katika...
  17. dubu

    Mbarali, Mbeya: Waogelea siku mbili kumsaka aliyeanguka darajani

    CGFM RADIO wameripoti kwamba Wananchi wa Kijiji cha Kapunga Kata ya Itamboleo Wilaya ya Mbarali Mkoani Mbeya wamejitokeza siku mbili mfululizo kumtafuta Bwana Mussa Mganwa(35) mkazi wa Kapunga anayehofiwa kusombwa na maji baada ya kuteleza darajani Mussa alisombwa na maji 28 Februari,2022...
  18. B

    Jaji kufanya uchambuzi wa kurasa 1,500 ukaweza kutoa hukumu kwa siku mbili ni jambo lisilowezekana

    Mhe. Jaji amesema tarehe 18/02/2022 atatoa maamuzi kama watuhumiwa wana Kesi ya kujibu au la. Wakati huohuo ameeleza Kwamba karani wake ameshaandika page 1400+ na Kwamba anatakiwa kiutaratibu Jaji anapaswa kusoma nakutoa maamuzi ni facts zipi zinahitajika kuprove kama Kuna kesi ya kujibu au la...
  19. Midnight

    Ushuhuda: Siku mbili bila kulala, huu mtindo wa kulipana pesa bar naomba uundiwe vikao bungeni

    Nisiwachoshe sana, Sasa ilivyokuwa baada ya wife kutangulia kuhesabiwa, mimi nilipaswa kufuatia nyuma yake kwa maagano ya kumalizia kazi za watu nilizozianza kisha mapema sana tarehe 25 niwe village hata kwa kutumia magari ya magazeti. Nazungumzia kuanzia juzi hiyo!! Sasa bwana huu mtindo wa...
  20. kyagata

    Huyu mgeni ana siku mbili tu hapa kwangu lakini nimemchoka

    Habari, Kuna jamaa yangu kaja kutafuta maisha hapa mjini, sasa aliniomba afikie kwangu kwa muda anajipanga, nami nikaona sio mbaya sababu maisha ya town ni kubebana tu hata mimi nilivyoingia mjini nilibebwa na jamaa yangu mwingine. Kero ya huyu jamaa yangu sio mstaarabu yani, kwanza analala...
Back
Top Bottom