Jeshi la Zimamoto na Uokoaji mkoani Kagera limefanikiwa kumuokoa mtoto mchanga aliyekuwa ametupwa chooni jana tarehe 01 Desemba, 2021 huko wilayani Karagwe kata ya Bugene katika Mtaa wa Lukajage.
Mtoto huyo wa Kiume anayesadikiwa kuwa na umri wa Siku Mbili alitupwa katika choo hicho na mtu...
Waziri siku ya Jumatatu ulitoa tamko na kutuahidi watanzania kuwa baada ya siku mbili utakuja na suluhu ya tatizo la umeme na ukame unaoikabili nchi yetu kwa sasa.
Waziri leo ni Jumamosi lakini tunaona uko kimya wala huna habari kabisa na umesahau kama ulitoa ahadi ya kutupatia muujiza ndani...
Taifa hilo limetangaza maombolezo ya siku mbili kuanzia leo Novemba 05, 2021 baada ya takriban watu 69 kuuawa kwenye shambulio lililotokea karibu na Mpaka wake na Mali
Serikali imesema miongoni mwa waliopoteza maisha ni Meya pamoja na Kiongozi wa Wanamgambo. Hakuna kundi ambalo limetangaza...
Wanawake na mabinti wengi walipitia ama wanapitia maumivu ya tumbo la mwezi Dysmenorrhoea kila mwezi. Maumivu haya yana athiri uwezo wa mwili kisaikolojia, fizikia hata kujichanganya na wenzako inakuwa shida. Wengi hasa hupata maumivu haya siku moja au mbili ambazo wengine hutapika na tumbo...
Mwaliko uliletwa haraka haraka, kana kwamba kuna dharura!
Sasa mama ameamua kuitikia mwaliko huo wiki ijayao. Haieleweki yaliyokuwemo ndani ya barua ile iliyowasilishwa kwake Dar es Salaam yalihitaji atembelee haraka hivyo; bila shaka ni ya manufaa makubwa kwao; na pengine na kwetu pia hadi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.