siku ya kiswahili duniani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. H

    JamiiForums Tanzania Sherehe za siku ya Kiswahili duniani zafana nchini Algeria

    Sherehe za siku ya Kiswahili duniani zafana nchini Algeria Balozi wa Tanzania nchini Algeria, Mhe. Mobhare Matinyi, amesema lugha ya Kiswahili inaendelea kukua na kuenea duniani ambapo sasa inazungumzwa na watu zaidi ya milioni 200 katika nchi 14 duniani na kutumika rasmi katika jumuiya kadhaa...
  2. H

    JamiiForums Tanzania Waziri Kombo ashiriki kongamano la Kiswahili na maadhimisho ya pili siku ya Kiswahili duniani Paris

    WAZIRI KOMBO ASHIRIKI KONGAMANO LA KISWAHILI NA MAADHIMISHO YA PILI YA SIKU YA KISWAHILI DUNIANI PARIS Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mheshimiwa Balozi Mahmoud Thabit Kombo, ameshiriki Kongamano la Kiswahili pamoja na Maadhimisho ya Pili ya Kimataifa ya Siku ya...
  3. USSR

    JamiiForums Tanzania Waziri mkuu Dkt Mwigulu Lameck Nchemba awasili Ufaransa kumwakilisha Rais katika siku ya Kiswahili

    WAZIRI MKUU AWASILI UFARANSA KUMWAKILISHA RAIS SAMIA KWENYE MAADHIMISHO YA SIKU YA KISWAHILI DUNIANI Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Nchemba, amewasili jijini Paris, Ufaransa leo, Julai 6, 2026, kumwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Maadhimisho ya Siku...
  4. L

    JamiiForums Tanzania Wachina wakaribisha Siku ya Kiswahili Duniani kwa Vyuo Vikuu vinavyofunza Kiswahili kuonesha weledi wa kuzungumza Kiswahili

    Chuo Kikuu cha Lugha za Kigeni cha Beijing (BFSU) kikishirikiana na Baraza la Kiswahili la Taifa, Tanzania, hivi karibuni waliandaa mashindano makubwa ya kwanza kabisa na ya aina yake kufanyika hapa nchini China. Yakijulikana kama Mashindano ya SHITU ya Kuzungumza Kiswahili kwa Wanafunzi wa Vyuo...
  5. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Mapishi, burudani na mijadala vyanogesha siku ya Kiswahili Comoro

    MAPISHI, BURUDANI NA MIJADALA VYANOGESHA SIKU YA KISWAHILI COMORO Watanzania waishio nchini Comoro na wananchi wa Kisiwa cha Ngazija na wanadiplomasia wameshiriki katika Maadhimisho ya Siku ya Kiswahili Duniani kwa burudani mbali mbali pamoja na mijadala. Takribani washiriki 500 wamejitokeza...
Back
Top Bottom