siku ya wanawake

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Tabora: Maadhimisho siku ya wanawake waahidiwa majengo mapya kwa ajili ya kujifungulia

    Katika kusherehekea Siku ya wanawake Duniani huko Mkoani Tabora wilayani Kaliua wanawake wilayani humo wamepata tumaini la kupata majengo mapya kwa ajili ya kujifungulia
  2. Matanga na siyo siku ya wanawake

    Hii siku kuu ya wanawake hua ina mbwembwe nyingi hadi kuwafanya kama miungu flani hali ya kua mioyoni mwao wanajua ushetani waliouficha. Mungu tukubalie saumu zetu 🤲🏼 .
  3. R

    Siku ya wanawake duniani na maajabu yake Tanzania

    Habari za muda huu ndugu wanajukwaa Nimefuatilia kwa shamrashamra za siku ya wanawake duniani ambayo kitaifa imefanyika mkoani Arusha na mgeni rasmi alikua mh. Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Wanawake wamejisifia sana,wanasema wameweza mambo mengi mpaka kuendesha mitambo mikubwa(...
  4. Arusha ilikua siku ya wanawake duniani au Siku ya Mhe.Raisi Samia Suluhu Hassan?

    Wasalaam Sifa nyingi kapewa mhe. Kahaidiwa na kupata kura nyingi Shughuli hii ilikuwa ya kumpa 'mama' maua yake katika mlengo wa kisiasa hasa kupitia chama chake cha mapinduzi?(sina shida na hilo) Au alialikwa kama mgeni rasmi kwenye sikukuu ya wanawake? Kama jibu ni la kwanza heko shughuli...
  5. Pre GE2025 Mwaka 2025 mageuzi ni lazima: Dorothy Semu awataka Wanawake kusimama imara

    Kiongozi wa ACT Wazalendo, Dorothy Semu, amesisitiza kuwa mwaka 2025 ni mwaka wa mageuzi na wanawake hawatarudi nyuma katika mapambano ya kudai haki zao. Akizungumza katika Kongamano la Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani jijini Dar es Salaam, Semu ameeleza kuwa hali ya kisiasa nchini...
  6. Mapokezi ya Tundu Lissu Mlimani City kwenye sherehe ya siku ya wanawake duniani Kule Samia (Chura Kiziwi) huku Tundu Lissu, Rais wa mioyo ya WaTZ

    https://youtu.be/y8KzIdDQTRY?si=h48lxjkU07dTz-9S Kule Samia na taarabu, huku Tundu Lissu, Rais wa mioyo ya Watanzania..
  7. Kilichowakuta wanaume wengi leo siku ya wanawake Duniani

    Naamini leo wanaume wengi tumejitahidi kuwawish wanawake katika siku yao ya leo (Siku ya Wanawake Duniani - machi 8, 2025). Wengi tumekutana na mapokeo yafuatayo: Mapokeo - Mwanaume asiyekuwa na hela: 🙍MWANAUME:👁️‍🗨️ "Happy woman's Day jirani yangu, Mwenyezi Mungu akupe maisha marefu, afya...
  8. Heri ya siku ya wanawake kwako Mjomba wangu Gentamycine ,Hakika Mjomba ni mama

    Nsikuchoshe na Usinchoshe,Tusichoshane! Ikiwa Leo ni Kilele Cha siku pendwa kabisa duniani,siku ya mwanamke,Napenda kuchukua fursa hii kumtakia heri Mjomba wangu GENTAMYCINE popote pale alipo ,Hakika Mjomba ni mama! Mjomba baadae tukutane Kwa Mkapa Ili siku yako ikawe Bora na Murua kabisa...
  9. Mwanamke tegemezi asiye na Kazi huwezi sema anakuheshimu au kukutii. Heshima inatoka kwa mtu anayejitegemea Nje ya hapo tegemea Unafiki.

    MWANAMKE TEGEMEZI ASIYE NA KAZI HUWEZI SEMA ANAKUHESHIMU AU KUKUTII. HESHIMA INATOKA KWA MTU ANAYEJITEGEMEA NJE YA HAPO TEGEMEA UNAFIKI Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Kwa Sisi tusiopenda unafiki na tunaojua hulka na akili ya binadamu. Kamwe hatutazamii heshima yoyote kutoka kwa mtu asiye...
  10. Pre GE2025 Viongozi wa kiume kushona sare ya kitaifa ya siku ya wanawake ni sababu ya uchawa?

    Wakuu, Kama mnavyojua leo ni siku ya wanawake duniani na huko mitandaoni nimeona baadhi ya viongozi wa CCM wamevaa mavitenge yenye picha za Rais Samia. Vitenge kama mnavyojua ni fabrics za wanawake. Nyie wana CCM wanaume ambao mmmeshonesha mashati ya vitenge mnataka mtutumie ujumbe gani? Ni...
  11. Dkt. Slaa yupo Mlimani City akishiriki maadhimisho ya BAWACHA siku ya wanawake duniani

    Aliyewahi kuwa Katibu Mkuu wa CHADEMA Dkt. Wilbroad Slaa naye yumo leo Mlimani City kwenye Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani yanayoadhimishwa na Baraza la Wanawake wa chama hicho katika ukumbi wa Mlimani City Dar Es Salaam
  12. Video: Shangwe la BAWACHA wakimpokea Lissu maadhimisho siku ya wanawake Mlimani City

    Hivi ndivyo Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu alivyoingia na kupokelewa kwa shangwe Mlimani City kwenye Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani. Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Tundu Lissu ndiye Mgeni Rasmi wa tukio hili.
  13. B

    Pre GE2025 Mbunge kasaka ashiriki siku ya wanawake kwa aina yake, atoa mitungi ya gesi 100 na milioni 3 kwa akinamama

    Mbunge wa Jimbo la Lupa Wilaya ya Chunya mkoani Mbeya Masache Kasaka ameshiriki katika maadhimisho ya siku ya Mwanamke duniani ambapo kiwilaya ya Chunya yamefanyika ukumbi wa Halmashauri Sapanjo. Sambamba na hilo ametoa mitungi midogo ya gesi 100 kwa ajili ya Mama Lishe na kiasi cha Tsh...
  14. Video: Siku ya wanawake kimataifa, Wanawake madereva wa magari na mitambo wakionesha umahiri wao mbele ya Rais Samia

    Tazama Wanawake madereva wa magari na mitambo walivyoipamba Siku ya Kimataifa ya Wanawake Jijini Arusha mbele ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan.
  15. Siku ya Wanawake duniani:- Ni aibu mwanaume kuomba lift kwenye gari ya mwanamke, kumuomba mwanamke vocha, rent ya nyumba etc

    Huna gari, huna nauli, msomeshe mwanaume mwenzako akusaidie. Sio umuombe Hela, mweleze, nafika sehemu Fulani ila nimekwama nauli, je unanisaidiaje ili nifike huko niendako? Kama atajisikia kukupa pesa, sawa, kama atakuitia boda sawa, kama atakuombea lift kwa jamaa zàke waendao huko uendako ni...
  16. Siku ya Wanawake Duniani: Wewe kama mwanamke umefanya kipi mpaka sasa cha kuuthibitisha huu msemo mnaoupenda? "What a man can do, a woman can do"

    Huyu mwenzenu ameshasema "Count me out", amesema yeye kubeba zege, kulima bado sana, hayo tuachiwe wanaume. Kumbuka kauli mbiu ya mwaka huu ni “Kwa Wanawake na Wasichana Wote. Usawa. Haki na Uwezeshaji.”
  17. Siku ya Wanawake Duniani: Haiba ya Wanawake wa Mwanzo Kuingia TANU

    Hizo picha mbili hapo chini zote zimepigwa siku za mwanzo kabisa za kuundwa kwa TANU na kuanza kwa harakati za kupigania uhuru wa Tanganyika. Nimechagua picha hizi mbili ili kuonyesha haiba ya wanawake wapigania uhuru wa Tanganyika. Wanasema picha inazungumza maneno 1000 na pia jicho la camera...
  18. RC Simiyu apamba Mkesha wa Siku ya Wanawake kwa kuchana mistari mbele ya Makonda

    Mkuu wa mkoa wa Simiyu, Kenani Kihongosi amepamba kwa kuchanaaa mistari, Ni usiku wa mkesha kuelekea sikubya wanawake Duniani Kitaifa inafanyikia Arusha ambapo mkuu wa mkoa wa Arusha Makonda ameandaa nyama kwa wakazi buree.
  19. B

    Siku ya wanawake yawa agenda iliyoporwa na mfumo mpya wa kitabaka ndani ya tabaka

    SIKU YA WANAWAKE YAWA AGENDA ILIYOPORWA NA MFUMO MPYA WA KITABAKA NDANI YA TABAKA Ni muhimu kurejesha mwelekeo wa siku hii ili uweze kutumikia lengo lake la awali la kutetea haki za wanawake Historia ya Siku ya Wanawake Siku ya Wanawake Duniani ilianza kuadhimishwa rasmi mnamo Machi 8, 1975...
  20. Pre GE2025 Makonda: Wapenzi (couple) watakaopendeza kesho Machi 8 Arusha kupata zawadi

    Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda amesema wapenzi (couple) itakayopendeza kesho katika maadhimisho ya Siku ya Wanawake itapewa zawadi maalumu. Makonda ameyasema hayo leo Ijumaa Machi 7, 2025 alipokuwa akikagua eneo ambalo nyama choma italiwa bure kwa wakazi wa Arusha kuelekea maadhimisho...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…