"Historia ya sifa ya wanawake na siku ya wanawake Duniani inajulikana ambayo ni kesho tarehe 8 Machi na hii ni njia ya kuendelea kuhamasishana katika kufanya kazi na kupeana nguvu ya kuinuana kiuchumi."
"Tunaomba rai kwa wanawake wote mjitokeze kwa wingi kwenye maadhimisho haya katika Mikoa...
Wilaya ya Mbogwe Leo inaadhimisha siku ya Wanawake Duniani chini ya kaulimbiu " WEKEZA KWA WANAWAKE KUHARAKISHA MAENDELEO YA TAIFA NA USTAWI WA JAMII" huku takwimu za unyanyasaji zikionesha wanawake waliofanyiwa unyanyasaji na kutoa taarifa zikiwa 1309 na wasichana zikiwa 50.
Taarifa...
Afisa Mawasiliano wa Barrick, Neema Ndossi (kulia) akikabidhi msaada wa mashine ya Patient Monitor, kwa Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa ya Mwananyamala,Dkt. Zavery Benella.Wengine pichani ni Wafanyakazi wa Barrick alioongozana nao.
---
Katika kuelekea kilele cha maadhimisho ya Siku...
Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) kwa kushirikiana na Mamlaka ya Reli ya Tanzania na Zambia (TAZARA) wameandaa safari ya kutembelea Hifadhi ya Taifa ya Nyerere mnamo Machi 2, 2024 katika kuadhimisha Siku ya Wanawake Duniani.
Akizungumza na Waandishi wa Habari, Februari 19, 2024...
KILELE CHA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI
8/3/2023
NANSIO - UKEREWE
MH Hassani Bomboko Mkuu wa wilaya ya Ukerewe ameshiriki Kongamano la Siku ya Wanawake Duniani katika Kuhitimisha Wiki ya Mwanamke Wilayani Ukerewe
Akizungumza na wanawake wa wilaya ya Ukerewe Mh Bomboko amewataka Wananchi...
NW UTALII MHE. MARY MASANJA ALIVYOSHIRIKI MAADHIMISHO YA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI
Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Mary Masanja ameshiriki katika Kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani yaliyofanyika Wilayani Kwimba Mkoani Mwanza Machi 8, 2023.
Akizungumza katika Maadhimisho...
MBUNGE MHE. MARTHA GWAU AWAFUNDA WAKINAMAMA NA MABINTI WA SHULE SIKU YA WANAWAKE DUNIANI
Mhe. Martha Gwau, Mbunge Viti Maalum Mkoa wa Singida alikuwa ni miongoni mwa viongozi waliofika shule ya Sekondari Ilongero kuzungumza na kusikiliza midahalo miwili ya mabinti wa shule pamoja mdahalo wa...
Acheni kabisa..
Mwanamke apendeze ndiyo utaona urembo ni mzuri kias gani..siku ya Wanawake nimepata pisi za maana tatu.
Kwa kuwa ilikuwa siku yao ya kujiachia nilitumia fursa hiyo. Mnamo saa sita mmoja nilimuona nikamuomba tukapate lunch. Tukazama zetu...mlo saaadi 25,000 ikanitoka tukazama...
SIKU YA WANAWAKE DUNIANI/SIKU YA WANAWAKE TANZANIA
Picha hiyo hapo chini nniliipata kwa Jim Bailey aliyekuwa akimilika gazeti la DRUM.
Picha hii haikuwapo kabla ya mimi kuipata na kuiweka mtandaoni.
Bailey alikuwa na mswada wa kitabu cha picha Mwalimu Nyerere na akanipatia kwa ajili ya uhariri...
Dear boys dear... men
Ni sisi wasichana kina dada, mabinti na mama zenu
Tunaongea kutoka upande wa chini, upande mbali upande kutoka usawa wenu
Upande nilipo msichana kuna hitilafu
'So' sikio lako thabiti ni ushindi kwangu
Ninayotaka kusema hapa sio siri katu
Ili ujue nina vingi vya ku-offer...
Vuguvugu hili linaloonekana linania njema lakini kinyumenyume linatengeneza tatizo kubwa kwa wanawake na familia.
Linamfanya kila mwanamke ajione kama anaonewa na kunyimwa haki za msingi hata kama anazo.
Matokeo ya mafanikio ya vuguvugu hili ni pamoja na:
1. Kuzalishwa kwa kundi kubwa la...
Jamani wanawake wa humu heri ya siku kwenu wengi mpo vibaruani mkitafuta riziki ya watoto wenu .
Good day Kwa wote wanajamiiforums To yeye Lovelovie Kalpana Antonnia Lenie Depal na Nakadori mpenzi upo wapi?? Ukiwa online nitext sikuwepo kabisa hiyo siku jf naongea na wewe Nakadori .
Good day...
Ni Asubuhi tulivu siku ya Jumatano tarehe 8 March ikiwa ni kilele Cha Siku ya Wanawake Duniani.
Macho na masikio ya Watanzania leo yanaelekezwa katika mji maarufu wa Moshi mkoani Kilimanjaro.
Chama kikuu Cha Chadema chenye wafuasi takribani Milioni 10 nchini kupitia Baraza lake la Wanawake...
SIKU YA WANAWAKE DUNIANI/SIKU YA WANAWAKE TANZANIA
NYANGE BINT CHANDE MWANAMAMA ALIYEJITOLEA NYUMBA YAKE KUWA OFISI YA TANU KUPIGANIA UHURU WA TANGANYIKA
Kuna mtu alipata kusema kuwa utafika wakati watoto na wajukuu wa wapigania uhuru wataingia katika makabati na masanduku ya wazee wao kutaka...
Upatikanaji wa Intaneti pekee hautoshi kuongeza Ushiriki wa Wanawake katika Majukwaa ya Kidigitali.
Ni muhimu vikwazo wanavyokumbana navyo vipate ufumbuzi. Masuala ya Unyanyasaji wa Mtandaoni na Gharama kubwa ya Huduma ya Intaneti yanahitaji suluhisho
=====
As our daily lives become...
Wanawake ndio waliozaa watoto wote wa kike na kiume kwa uchungu na mahangaiko makubwa, kisha wakashiriki kwenye kuwakatia vitovu vyao mara tu baada ya kuwazaa. Wakawanyonyesha, kuwaogesha na kuwavisha na kuwasomesha hadi pale watoto walipoanza kujitegemea wenyewe.
Inatisha na inashangaza kuona...
Nawasalimu ndugu Watanganyika,
Hiyo Leo 8-3-2023 zitapigwa picha na video za kuombea mikopo kuwa Rais TZ ana practice Fair Democracy kwa kufungua Mkutano wa Women Wing Council ya Chama Kikuu cha Upinzani.
Risala zitasomwa na zitajibiwa kwa hotuba na maneno mazuri lakini kiukweli behind hiyo...
Kuelekea siku ya wanawake Duniani, Jamii Forums inatambua umuhimu wa wanawake kushiriki katika sekta mbalimbali kwa kuwa wana uwezo na juhudi za kufanya kazi kwa ufanisi na inajivunia ufanisi na jitihada zinazooneshwa na wanawake katika kutimiza majukumu yao.
Mwanamke anapaswa kuaminiwa kupewa...
Wanabodi,
Hii ni Makala ya Nipashe ya Leo.
Tunapoelekea kuadhimisha Siku ya Wanawake Duniani, kila Machi 8, leo naomba tujadili uwezo wa wanawake kwenye baadhi ya maeneo, kuna wanawake wana uwezo mkubwa kuliko wanaume, ila wamekuwa wanabaniwa, na wanafunikwa na mfumo dume, wakipewa fursa za...
Wanawake wa Tanzania wamepewa kanga zakutosha na vitenge kuelekea siku ya wanawake Duniani.
Wanawake wengi wamejipanga Kuvaa vitenge kusherekea siku ya wanawake Duniani.
Wanawake wengi watabeba mabango yaliyobeba ujumbe wa kisiasa kuhusu mwanamke mwanasiasa.
Wanawake wengi watalipwa kushiriki...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.