Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mara Agnes Marwa amefanya maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani kwa kutembelea Kituo cha Afya Mugango na kutoa Misaada mbalimbali kwa akina mama wenye uhitaji.
Akiwa ameambatana na kamati ya Utekelezaji ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Wilaya ya Musoma...
Agosti 30, wakazi wa mji wa Jackson kwenye jimbo la Mississippi, Marekani ambao hivi karibuni walikumbwa na mafuriko, sasa wanakabiliwa na tatizo lingine la ukosefu wa maji ya bomba.
Kwa mujibu wa gavana wa jimbo hilo Tate Reeves, kutokana na hitilafu za miundombinu ya shughulikia maji, hivi...
Agosti 30, 2022, Kathmandu, Nepal, waumini wanawake wa dini ya kihindu walisherehekea Tamasha la Teej(siku ya wanawake), wakitoa heshima katika Hekalu la Pashupatinath kwa Mungu Shiva huku wakiimba na kucheza ngoma.
Katika baadhi ya maeneo ya Nepal, India na Bangladesh, waumini wanawake wa dini...
Mbunge wa Jimbo la Muhambwe Mkoani Kigoma Mhe. Dkt. Florence George Samizi Jana Jumanne Machi 08, 2022 alikuwa Mgeni rasmi kwenye Maadhimisho siku ya Wanawake duniani ambayo yalifanyika Jimboni kwake.
Maadhimisho hayo yamefanyika Kata ya Kibondo Mjini kwa kuanza na maandamano yaliyoanzia Ofisi...
Baada ya kumsoma Balozi Mpungwe nami nikaona nitie langu kumuunga mkono lakini si leo bali kurejea nyuma miaka mingi sana nikiwa na umri wa miaka 15 mwanafuzi wa sekondari:
Ujumbe mzito.
Nashukuru mimi niliyajua haya ya uwezo wa akina mama miaka mingi sana nyuma nina umri wa miaka 15 na ninae...
Ni vyema kuwashukuru na kuwapongeza mama zetu kwa kutulea toka tumboni mpaka leo. Watu husema wababa wengi hufa mapema kuliko wamama kutokana na kutokuongea na hivyo kupata magonjwa yatokanayo na misongo ya mawazo.
Jana ilikua siku ya wanawake duniani, wanawake wengi waliongelea ubora wao na...
Mkuu wa Wilaya ya Iramba Mkoani Singida Mhe. Suleiman Yusuph Mwenda amesema kwa muda mfupi wa Uongozi wa Rais Samia Suluhu, Wilaya yake imepokea Mabilioni ya fedha ambayo hayakuwahi kuletwa kwenye maendeleo kwenye Wilaya hiyo.
Mhe. Mwenda ameyasema hayo Jana Jumanne Machi 08, 2022 wakati...
Wakati wanawake wakiadhimisha siku yao leo, wadau wamesema rushwa ya ngono ni tatizo linalotafuna ndani kwa ndani, huku wakitaka wanawake zaidi kuongoza katika sekta mbalimbali nchini.
Baadhi ya wadau hao ni Chama cha Wanahabari Wanawake Tanzania (TAMWA) na Taasisi ya Vyombo vya Habari Kusini...
Nichukue fursa hii kuwatakia Wanawake wote sikukuu yenye baraka.
Pili, niwapongeze akina mama Wajasiriamali waliofunga safari kutoka Dar es salaam wakielekea Chato kusafisha kaburi la hayati Magufuli wakikumbuka jinsi alivyowapambania.
Mungu wa mbinguni awabariki Wanawake wote.
Kwaresma njema!
AISHA ''DAISY'' SYKES ANAVYOWAKUMBUKA MAMA NA BIBI ZAKE WALIOSAHAULIWA NA HISTORIA
Utangulizi
Kila ninapofikiri kuhusu historia ya kupigania uhuru wa Tanganyika hasa katika zile siku za mwanzo za TAA kabla ya kuundwa kwa TANU na baada ya TANU kuundwa mwaka wa 1954, nashawishika kufanya rejea...
Kuelekea Siku ya Wanawake Duniani (Machi 8, 2022), inaelezwa kuwa Wanawake na Wasichana wanakumbana na athari kubwa zaidi za Mabadiliko ya TabiaNchi, kwani yanazidisha ukosefu wa UsawaWaKijinsia
Umoja wa Mataifa (UN) unasema Ulimwenguni kote Wanawake wanategemea zaidi Maliasili, ilihali wana...
KATIBU WA UHAMASISHAJI NA CHIPUKIZI UVCCM TAIFA ASHIRIKI UTAOAJI WA ELIMU YA UONGOZI KUELEKEA KILELE CHA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI
Kuelekea kilele cha siku ya wanawake Duniani Tarehe 8 machi 2022, Katibu wa Uhamasishaji na Chipukizi UVCCM Taifa Ndugu. Victoria Charles Mwanziva Leo Tarehe 3...
Leo ni Siku ya wanawake wanao ishi kijijini, Siku hii huadhimishwa kila Oktoba 15 ikilenga kutambua Haki za Wanawake wanao ishi kijijini pamoja na changamoto mbalimbali wanazokumbana nazo
Siku ya Kimataifa ya wanawake waishio kijijini inaweka msisitizo kwenye kushughulikia matatizo...
Jana ilikuwa ni siku ya wanawake duniani.
Nafikiri tumeona mengi sana pia mnakaribishwa kuandika mliyo yashuhudia hiko kwenu.
Upande wangu nilichoshuhudia na kunishangaza,, post nyingi mitandaoni HAPPY WOMAN DAY ililengwa kwa kumuwish mama Mzazi, bibi, shangazi, Dada, workmate wa kike, na...
Kwenye ndoa kuna changamoto nyingi mojawapo ambayo naomba sana dada zangu mzingatie, msilazimishe kupigwa. Please please nawaomba ile tabia ya "nipige kama wewe mwanaume kweli" si kauli nzuri. Ila pia muwe mnaelewa kiurahisi, asilimia kubwa ya wanawake ni wagumu sana kuelewa, wazito mpaka...
huyu dada nilimuunganisha na watu wa Kampuni flani kikazi. alikuwa dada mzuri ila sikuwa na mpango naye kabisa. mara nyingi alikuwa anaonesha nia ya kutaka uhusiano. mimi niliona ni kujiongezea shida tu. hana kazi anaishi kwa walezi wake amemaliza chuo , sina mpango naye kimahusiano, sitaki...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.