KUELEKEA SIKU YA WANAWAKE UCSAF YATOA MSAADA KWA YATIMA
Na: Celina Mwakabwale
Katika kuelekea kilele cha maadhimisho ya siku ya Wanawake Duniani Machi 8, 2021, Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote ( UCSAF) umetoa msaada wa vifaa mbalimbali kwa kituo cha kulelea watoto yatima cha Nyumba ya Matumaini...