sikukuu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mtazamo wangu: Sikukuu ya Krismass ni sikukuu ya kawaida ya kijadi ya wazungu kama zilivyo sikukuu zetu za mavuno vijijini

    Sikukuu hii imekuwepo kabla ya kuhusishwa na Ukristo. Inasemekana ili ukristo ujivunie waumini ilibidi waiingize kwenye dini na kuihusisha na Yesu. Matokeo yake wazungu wengi wasio na dini walivutwa. Mimi ni mkristo, ila siichukulii siriasi licha ya huhusiswa na Yesu. Naichukulia kama Zile...
  2. Mkuu wa Polisi Songwe: Hakuna kupiga fataki katika sikukuu za mwisho wa mwaka bila kibali

    Wakuu, Jeshi la Polisi Mkoa wa Songwe limepiga marufuku wananchi kulipua vilipuzi (fataki) bila kuwa na kibali cha Jeshi la Polisi katika Sikukuu Za Krismasi na Mwaka Mpya. Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Songwe Kamshina Mwandamizi Msaidizi wa Polisi Augustino Senga amesema Jeshi la...
  3. B

    Mambo kwa ushahidi: Nimeshampa baby wangu Anita hela ya sikukuu

    Ni Mimi David Omujuni rekwanzila mjukuu wa kanyaitodi Tukogee ebu hatari ola ita NIWATAKIE CHRISTMAS NJEMA AND HAPPY NEW YEAR
  4. Syria yatangaza Krismasi kuwa Sikukuu ya umma

    Serikali mpya ya Syria imetangaza Krismasi kuwa sikukuu ya umma. Ofisi za Serikali zitafungwa tarehe 25 na 26 Desemba ya kila mwaka. Cc. Ritz Cc. FaizaFoxy https://x.com/visegrad24/status/1871516597107736691?t=-uBxA8srUJ7bZ61coYFMSg&s=08
  5. SPECIAL THREAD: Heri Ya Sikukuu ya Christmas 2024 Na Mwaka Mpya 2025.

    Welcome On board... Nawatakia wadau wote wa JamiiForum, wakiwemo members na non members na Uongozi mzima Wa JF, ukiongozwa na Director Maxence Melo, heri ya sikukuu ya Christmas 2024 na mwaka mpya 2025. Bwana Yesu amezaliwa kwa ajili yetu, basi tuende tukahubiri upendo na amani, kwetu na kwa...
  6. Wanyakyusa: Mbadilike na nyie muwe mnaenda kwenu wakati wa sikukuu za mwisho wa mwaka. Kwenu mbona kuzuri kama Moshi tu au mlifukuzwa?

    Mbadilike kazi kuvaa suti mjini na misifa ya hovyo hovyo kujenga kwenu aaah. Mbona Tukuyu kama Moshi hamuoni wenzenu wachaga. Misifa tu kina Eliudi, na chief Godlove na wengine mnakera mijini. Mapovu ruksaaaaaa!
  7. Mambo ya kuzingatia kwa wanaoenda kusalimia ndugu mikoani nyakati hizi za Sikukuu

    Katika kipindi hiki cha mwisho wa mwaka kama ilivyokuwa desturi ya Watanzania wengi kwenda kusalimia ndugu na jamaa mikoani. Inawapasa kufahamu mambo gani ya kuzingatia zaidi katika safari zako za kwenda kusalimia. 1. Tengeneza bajeti ya safari ikijumuisha gharama za usafiri, chakula, zawadi...
  8. B

    Tunapoelekea msimu wa sikukuu, tuma hela ya Kusuka, hela ya nguo, hela ya viatu lakini usimsahau Mama yako na Baba yako.

    Ewe kijana jitathimini sasa. Mpaka sasa umeshamtumia pesa ya kusuka, pesa ya viatu na mmeshapanga sehemunya kukutana kula bata. Mpak muda huu Atm ishaumia mara kadhaa kqa ajili ya kumnunulia pamba za sikukuu. Je umejiuliza mpaka muda huu umemtumia Baba yako na Mama yako kiasi gani? Panga...
  9. Nina safari ya Singida kabla ya sikukuu, mwenye gari tuungane

    Habari mwenye anasafiri Singida anipe lift booking zinasumbua sana Asante
  10. Latra fwatilien nauli zimepanda gafla na mnajua hili..shida sikukuu ama someni mwananchi la leo

    Ntashangaa kusikia tkt za kulanguliwa hazipo Dec Hii n miradi mirefu sana KUNA jamaa huwa ananunua HATA tkt 30 Dec analangua na ana madalali kabisa ukienda kwenye basi wanakwambia limejaa Basii halijajaaaa kinachofanyika Wana mtu special ana tkt zao ndio maana wakikwambia tkt zimeisha ama...
  11. R

    Swali: Mbinguni Kuna sikukuu ya Christmas 25 December?

    Salaam, Shalom! Msingi wa SWALI LANGU upo katika Sala Aliyotufumdisha Yesu sisi wanafunzi wake kusali Kwa hiyo, kwamba; (Mathayo 6:10) "Mapenzi Yako yatimizwe, hapa duniani kama ilivyo Mbinguni " Swali no 1. Kusherehekea Christmas tarehe 25 December ni mapenzi ya Mungu aliye Mbinguni? Swali...
  12. Bashungwa Atoa Maagizo kwa IGP Wambura Kuelekea Sikukuu za Mwisho wa Mwaka

    BASHUNGWA ATOA MAAGIZO KWA IGP, WAMBURA KUELEKEA SIKUKUU ZA MWISHO WA MWAKA. 📌 Kuimarisha ulinzi, doria na ukaguzi vyombo vya moto usiku na mchana. 📌 Kuondoa vizuizi na vituo vya ukaguzi maeneo hatarishi barabarani. 📌 Kufanya Operesheni maalum nchi nzima kupambana na wahujumu miundombinu ya...
  13. Zanzibar kwenye sikukuu ya Idd mwezi Aprili walilipwa mshahara tar 16. Huku Tanganyika Christmas mshahara hakuna

    Hivi inakuwaje waislamu walilipwa mapema ili wajiandae na sikukuu yao tar 16 Tu!! Ila ona huku mpaka leo kimya.. Tujikumbushe hapa Pia soma > Wafanyakazi wa Serikali Zanzibar wamelipwa tayari Mshahara wa Aprili 2023
  14. Tatizo la usafiri mikoa ya Kaskazini kuelekea sikukuu za Christmass na mwaka mpya

    Habari ya wikiend wadau.. Naona tatizo la usafiri kila ikikaribia mwisho wa mwaka bado linaendelea kuzoeleka na kuonekana kawaida. Leo nimejaribu kufanya booking kwa bus kampuni zaidi ya tatu naona zote ziko booked mpaka wiki ijayo nafasi zimejaa. Lakini kuna watu wanalangua ticket kwa bei ya...
  15. X

    Wanaume tunakumbushana kuelekea msimu huu wa sikukuu. Kama wewe huwa unafanya hivi basi ni mpumbavu

    Huu ndio uhalisia wa wanaume wengi wapumbavu kwenye mahusiano na girlfriends au wapenzi wao Kwenye birthday ya mwanamke mwanaume mpumbavu ndiye humgharamia atamnunulia wig au salon n.k. Kwenye birthday yake malaya hamnunulii zawadi yoyote. Anaishia tu kumuwish bday then she only opens legs for...
  16. U

    Nyimbo maalufu za msimu wa sikukuu ya Christmas, tupia wimbo mmoja na uweke na maneno ya husika na jina la mtunzi

    Wadau hamjamboni nyote? Kichwa cha habari chahusika Karibuni Jim reeves: •Seno Santa Claus •Jingle bells •Silent night •Mary's boy child SILVER BELLS: "City sidewalks, busy sidewalks Dressed in holiday style In the air There's a feeling Of Christmas Children laughing People passing Meeting...
  17. Pendekezo: Sikukuu ya Uhuru wa Tanganyika Ifutwe rasmi

    Kwakuwa hakuna nchi inayoutwa Tanganyika, serikali isipoteze fedha kila mwaka kuandaa sherehe za uhuru wa nchi hewa. Pia wafanyakazi waende kazini kama kawaida maana kukaa nyumbani kwa kisingizio cha sikukuu ya uhuru wa nchi ambayo haipo ni matumizi mabaya ya rasilimali watu.
  18. Leo ni siku ya uhuru wa Tanzania ni Moja ya sikukuu kubwa sana wananchi kwa nchi zingine tofauti na Tanzania inabaki kuwa sikukuu ya serikali

    Leo ni 9 December ni sikukuu ya uhuru wa nchi yetu Tanzania ni sikukuu ambayo tunakutana watu wote kwa dini zote na sio sikukuu ya kidini hii ni ya wananchi wote.tofauti kabisa na ilivyo unakuta kila mtu anaendelea na shughuli zake na inabaki kama mapumziko tu ni sio siku ya kufalia. Kwa wale...
  19. Una hakika mahusiano yako yatafika sikukuu za mwisho wa mwaka.

    Kinachonifanya nijiulize hili swali nikwamba nimeshaombwa sana pesa ya sikukuu mara out na mm sina pesa ndio maan nimeona nijiulize swali kama hili je wew una uhakika wa kufika mwisho wa mwaka salam kwenye mahusiano yako.
  20. Kuelekea Sikukuu, TRC yaongeza safari za treni kuelekea mikoa ya Tanga, Kilimanjaro na Arusha

    ONGEZEKO SAFARI ZA TRENI NA NAULI Dar es Salaam, Tarehe 07 Disemba 2024. Shirika la Reli Tanzania - TRC linauarifu umma kuwa kuelekea sikukuu za mwisho wa mwaka, kutakuwa na ongezeko la safari za treni kuelekea mikoa ya Tanga, Kilimanjaro na Arusha. Siku ya Jumatano itaongezeka kujumuisha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…