Nov 19 ni siku yetu tena, Duniani.
Ila hauoni majigambo mitandaoni wala meseji za heri ya siku ya wanaume Duniani wala kupongezwa kwa mchango wetu katika Taifa.
Ila ikifika March 8, utashangazwa.
SIKU YA WAZEE DUNIANI 1 OCTOBER 2024
Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe Petro Magoti jana aliandaa Chakula cha Mchana na wazee zaidi ya 300 ktk Ikulu ndogo ya Kisarawe kwa niaba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan na katika Hafla hiyo Mgeni Rasmi alikuwa Dkt. Suleiman...
Usithubutu kuwambia msabato maneno haya, Basi, mtu asiwahukumu ninyi katika vyakula au vinywaji, au kwa sababu ya sikukuu au mwandamo wa mwezi, au sabato; mambo hayo ni kivuli cha mambo yajayo; bali mwili ni wa Kristo.
Wadau hamjamboni nyote?
Ukitaka ukosane na Ndugu zetu Wasabato wewe...
Wasalaam JF
Nimejaribu kufuatilia vituo vingi vya habari na hata mazungumzo ya baadhi ya maeneo niliyopo na kushtushwa na kupotea kwa umaarufu ya sikukuu ya wakulima 8/8.
Katika fuatiloa yangu nimegundua kuwa mechi ya juzi ya watani wa jadi ni kama nayo imepigilia msumari wamoto kwenye...
Sikukuu ya wakulima inayofahamika kuwa Nanenane ina sherekewa nchini kote tarehe 8 Agosti kila mwaka. Sherehe hiyo inatayarishwa na kuratibiwa na Wizara ya Kilimo kwa kushirikiana na Shirika la Chama cha Kilimo Tanzania (TASO) na kuhusisha Taasisi, Wizara na mtu mmoja mmoja wanaoshughulika na...
Sikukuu ni watoto, mtu mzima siku yoyote ukiwa vizuri unaenjoi tu. Kama kuswali ushaswali, kilichobakia ni kula, na kula ni hadi mchana. Unakataa kufanya kazi et “ mi leo nakula sikukuu”. Mambo ya ajabu sana. Mi napendaga kazi kazi.
Watu wa pwani na Tanga mbadilike, wengine tunaenda kwa ratiba.
Kulingana Na Historia Ndogo Kutoka Kwa Walimu Wetu wa Historia... Sikukuu Ya Wafanyakazi Ni Matunda Ya Mapinduzi Yaliyochochewa na Unyonywaji (Excessive Exploitation) Waliopitia Wafanyakazi Wakiwa Kazini, Mfano;
Kufanya Kazi Kwa Saa Nyingi Na Kulipwa Kidogo, Kufanya Kazi Katika Mazingira...
New Year
Mapinduzi
Karume Day
Muungano Day
Mei Mosi
Saba Saba
Nane Nane Day
Nyerere Day
Christmas Day
Boxing Day
Good Friday
Easter Monday
Eid El Fitr[Shehe atavyoamua kutangaza]
Mauli day
id El Hajji[siku mbili]
Mapinduzi
Uhuru
ZIJAZO
1. Magufuli Day.
2. Mama Day
SIKUKUU ZA WANAOTUKOPESHA...
SOLIDARITY!
Mei Mosi, au Siku ya Wafanyakazi Duniani, ilianza kama harakati ya kutetea haki za wafanyakazi katika karne ya 19.
Mnamo mwaka 1886, maandamano ya wafanyakazi nchini Marekani yalifanyika kudai saa za kazi zisizozidi masaa 8 kwa siku. Tukio hili linajulikana kama "Haymarket affair"...
Wajuzi na wajuvi, ni lini hizi sherehe za sikukuu za kitaifa zisizo za kidini ziligeuka na kuwa fursa ya wanajeshi kufanya maonyesho ya kazi zao?
Maana sikumbuki kabisa kuona mambo kama haya miaka ya nyuma enzi za Mkapa, Mwinyi, na kwa kiasi hata Nyerere.
Pengine labda nimesahau. Kama ni...
Habari wadau, naona website ya ORS BRELA, kila siku nikiingia haifanyi kazi, mara inachelewa kufunguka. Je, inazidiwa matumizi au wadau wanafaidika kwa kufanya hivi? bado sijaelewa kabisa.
Mm Mjanja M1 bajeti yangu ilikuwa ni nauli tu za kunifikisha kwenye majumba ya watu kuupiga Ubweche, maana nimezipitia nyumba kama 5 ivi kwa haraka haraka kuupiga kwenye sikukuu ya jana.
Nilitumia Buku tu, 1000/=
Vipi wewe bajeti yako ilikuwaje.?
Mwenyekiti wa Chadema Mwamba kabisa , Freeman Mbowe , ambaye huko Zanzibar anafahamika kama Ustaadh Aboubakar Mbowe , ametuma salamu za heri ya Eid El Fitri kwa Waislam wote Nchini na kote Duniani .
Hii hapa ndio Taarifa yake
Salaam wakuu.
Nimeshangaa leo kuna mtu amewasiliana na jamaa yake aliyeko Nigeria na kumwambia kuwa The Federal Government imetangaza rasmi kuwa leo ni Sikukuu ya Eid El Fitr.
Tunajua kuwa kwa kawaida hapa nchini kuna watu huwa wanaswali Eid pindi tu mwezi utakapoandama popote pale...
licha ya kuchelewa kutoa salamu zangu za pasaka kwako na kwa familia yako, nadhani bado ni muhimu sana walau kusema tu heri ya sikukuu ya pasaka mwanafamilia wa JF🌹
ukiachana huzuni na majonzi kwa matokeo ya vitu vingine tangu Ijumaa pale lupaso,
nimewiwa kutoa rai binafsi kwako, ya kuwa...
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Jerry Silaa amewataka waumini wa Kanisa la Kiinjili na Kilutheri Tanzania (KKKT) kuhakikisha wanamuombea Rais Samia katika kazi yake ya kuliongoza taifa.
Silaa ameyasema hayo leo Jumapili, Machi 31, 2024 alipofungua harambee ya kuchangia upanuzi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.