sikukuu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. UMUGHAKA

    Msimu huu wa Sikukuu ni vema ukatoa misaada kwa watu!

    Nsikuchoshe na Usinchoshe,tusichoshane! Ni vema kipindi hiki cha Msimu wa Sikukuu za Mwisho na Mwanzo wa Mwaka ukajitolea kusaidia watu kwa kiasi cha Pesa!. Haujakatazwa kufanya starehe lakini angalau tenga kiasi kidogo ambacho kitawagusa wengine ili nao wajihisi ni sehemu ya wanadamu...
  2. Mohamed Said

    Kuelekea sikukuu ya uhuru wa Tanganyika: Historia ya Mshume Kiyate na Ali Msham

    Mshume Kiyate akiishi Kariakoo Mtaa wa Tandamti na Ali Msham Magomeni Mapipa Mtaa wa Jaribu. Wote wawili walikuwa wanachama shupavu wa TANU na marafiki wa Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere na Mama Maria Nyerere. Itapendeza sana kama tutawazawadia mitaa waliyoishi kama kuonyesha...
  3. R

    Nasikia Panya Road wamerejea kwa kasi DSM wanatafuta fedha ya sikukuu; chukua taadhari

    Kuna jamaa yangu kavamiwa jana huko maeneo ya Kinyerezi na kundi la vibaka wakamsachi na kuchukua kila alichokuwa nacho. Anachoshukuru ni kwamba amefanikiwa kuondoka akiwa mzima wa afya na sasa yupo njiani kurejea Mwanza. Naongea naye ananiambia kwa idadi ya vijana waliomvamia aliona kifo...
  4. Mkyamise

    Haya ndio maisha halisi ya familia zetu hasa msimu huu wa sikukuu za mwisho wa mwaka

    Jinsi ya kujitambua kuwa wewe ni paratrooper msimu huu wa sikukuu za Christmas na mwaka mpya 1. Ni pale vikao vya familia vitakapoanza bila kujali uwepo wako na vikaweza kuendelea hata ukisusa. 2. Ni pale utakuwa mtu pekee atakayehitajika wakitaka kuchinja mbuzi au kufanya shughuli yoyote...
  5. J

    Leo tarehe 15 August Wakristo Wanaadhimisha Sikukuu Ya Kupalizwa Mbinguni Bikira Maria

    Ufunuo 12:1 "Kisha, ishara kubwa ikaonekana mbinguni: Mwanamke aliyevikwa jua na mwezi chini ya miguu yake na taji ya nyota kumi na mbili juu ya kichwa chake!" Luka 1:26 "Mnamo mwezi wa sita, malaika Gabrieli alitumwa na Mungu aende kwenye mji uitwao Nazareti huko Galilaya, kwa msichana mmoja...
  6. Roving Journalist

    Rais Samia: Serikali haijafunga mipaka kuuza mazao nje ya Nchi

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akishiriki kilele cha sikuku ya Nane Nane jijini Mbeya, leo Agosti 8, 2023. Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Tulia Ackson amesema wakazi wa Mbeya wanaunga mkono uwekezaji unaofanywa na Serikali kwenye Bandari ya...
  7. Stephano Mgendanyi

    Kilele cha Sikukuu ya nane nane, ushiriki wa Wilaya ya Ludewa

    Mkuu wa Wilaya ya Ludewa, Mhe. Victoria Mwanziva, ametembelea kwenye mabanda mbalimbali kwenye maonesho ya Nane Nane 2023, Mkoani Mbeya Lengo ni kuzidi kubadilishana mawazo, uzoefu na ujuzi haswa kwenye sekta ya kilimo. Wilaya ya Ludewa- imeshiriki kikamilifu kwenye maonesho ya Kilimo ya...
  8. benzemah

    Rais Samia Awasili Mbeya Kushiriki Maadhimisho ya Sikukuu ya Wakulima (NaneNane)

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na viongozi mbalimbali mara baada ya kuwasili katika uwanja wa Ndege wa Songwe Mkoani Mbeya tarehe 07 Agosti, 2023.
  9. L

    Wanafunzi wa taasisi ya Confucius katika chuo kikuu cha Dar es Salaam Tanzania wajifunza utamaduni wa sikukuu ya Duanwu

    Tarehe 21 Juni, wanafunzi wa shule za upili wa Taasisi ya Confucius katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam Tanzania (UDSM) walitembelea chuo kikuu cha wazi cha Jinhua, mkoani Zhejiang, China, ambapo walijifunza utamaduni wa sikukuu ya jadi ya China –Duanwu. Sikukuu ya Duanwu ni moja ya sikukuu nne...
  10. Roca fella

    Uchumba unavunjwa kabla ya sikukuu

    Ni mwanangu Sana, yaani mshikaji tu wa kushare nae mawazo mbili tatu, Basi akanidekeree ( kunipigia simu ) kunichana wazi kuhusu maelekezo wake ( mchumba wake ) amefuma meseji zake akimpiga kibomu mchizi boti mwingine akiomba pesa, ile kusearch zingine eeeh bhanaa meseji zingine ametumiwa...
  11. Donnie Charlie

    Kwa hiyo Sudan wameamua kusitisha mapigano siku mbili kupisha sikukuu ya kuchinja kisha waendelee kuchinjana.

    Kwa Wasudan wengi wanaotatizika kunusurika kwenye vita, ladha ya kondoo ambayo Waislamu hujitolea kijadi kwa ajili ya sikukuu ya Eid al-Adha ni kumbukumbu ya mbali. Mzozo huo ambao sasa uko katika mwezi wa tatu, umeleta vifo na misukosuko na kusababisha mamilioni ya watu kuyahama makazi yao...
  12. B

    RSF kusitisha mapigano kupisha Sikukuu ya Eid

    Wanajeshi wa RSF nchini Sudan wametangaza kusitisha mapigano kwa upande wao kwa ajili ya kupisha Sikukuu ya Eid-al-Adha itakayoanza Jumatano. Kiongozi wa RSF, Muhammad Hamdan Dagalo (Hemedti) ametengaza katika moja ya televisheni ya nchini humo huku akilaani dhuluma zinazofanywa kwa raia ikiwa...
  13. Kalaga Baho Nongwa

    Nauza pazia, mashuka, foronya na taulo

    Habari ya muda huu wakuu. Kwa majina naitwa Mr. Dwelnish ni sehem ya uendeshwaji wa duka letu jipya kabisa kariakoo la Dwelnish linalojihusisha na uuzaji wa mashuka,pazia, foronya, na taulo Kwa sasa. Duka lipo KARIAKOO MTAA WA AGGREY NA SIKUKUU. Uzi huu ni maalum Kwa akili ya kupata Updates na...
  14. MK254

    Mei 9 sikukuu muhimu kwa Warusi, Putin atawaambia nini Warusi, Bakhmut imeshindikana

    Kila mwaka, Mei 9 Warusi husheherekea ushindi wao kwenye vita vikuu vya pili vya dunia, huwa na mbwembwe kama zote za kutunisha misuli, mwaka jana kwenye hotuba ya sikukuu, Putin alibwatuka mikwara kama yote na kuahidi ushindi. Lakini hali imekua ngumu, ameshindwa hata kuteka kamji ka hovyo tu...
  15. Mr Q

    Kwanini watumishi hawana hamu na tarehe 1/5/2023 sikukuu ya wafanyakazi? Ni majeraha ya nyongeza ya 23% mshahara?

    Kama mjuavyo mwaka jana watu walikuwa kimuhemuhe cha nyongeza ya mishahara kwa asilimia 23.3 kitu ambacho "msigwa na raisi wa tukta" hawana majibu ya namna asilimia hizo zilivyo ongezwa kwenye mishahara ya watumishi. Jambo hilo huwenda ndio chanzo cha watumishi walio wengi kupoa mioyo yao...
  16. W

    Ila wabongo wabishi aisee, tozo na mfumuko wote huu wa bei bado sikukuu zimefana kama kawa!!!

    Nazungumzia sikukuu zote za hivi karibuni; x-mas, mwaka na hii eid el fitr ya leo. Yaani... -majumbani mapilau yametawala -watoto wamewaka kwa mavazi mapya -kuna maeneo bidhaa kama viazi mpaka vilikwisha kwa jinsi vilivyonunuliwa kwa wingi. -wanawake walivaa -shows za wanamuziki kama zote -kumbi...
  17. Ricky Blair

    Ushamba wa sikukuu

    Iwe krismasi au Eid au Pasaka na sikukuu zote za Waislamu au Wakristo. Jamani Watanzania tuache ushamba wa kuweka mafoleni barabarani au malls au beach kwa ushamba tu, si upike pilau home yaishe? Kweli unatoka Gongo la Mboto kwenda Coco beach? Au kushangaa tu malls na mnaweka mafoleni na watoto...
  18. Mohamed Said

    Kumbukumbu ya Sikukuu ya Eid Miaka ya 1960

    SALUM ABDALLAH NA CUBAN MARIMBA CHACHA BAND "MKONO WA IDDI" Katika utoto wetu tukiisikia nyimbo hii ya Salum Abdallah inapigwa TBC tunajua Iddi imeingia. Watoto wa kike wako uani wanapakwa hina. Jikoni unakandwa unga wa maandazi na matayarisho ya kutengeneza kaimati na mapochopocho mengine...
  19. S

    Sikukuu za kidini ndio ziwe siku za kutoa msamaha kwa wafungwa badala ya siku ya uhuru

    Huu ndio ushauri wangu kwasababu dini zote zinatambua na kuhuburi msamaha kwa wakosaji. Kwa msingi huo, kiongozi mwenye imani ya kidini, atakuwa sahihi zaidu kutoa msamaha kwa wafungwa katika sikukuu za kidini. Na jatika hili, sidhani kama kuna sheria inatamka kuwa misamaha hiyo itolewe...
  20. Dr Matola PhD

    Kama Saudi Arabia wanasherehekea Eid Ijumaa inakuwaje BAKWATA wadai mwezi haujaonekana?

    Kesho ijumaa kama Saud Arabia nchi ya mtume SAW hawatakula IDD basi JF wanipige ban ya masaa 24. Hizi dini ni za magumashi amkeni. Cc: Kiranga
Back
Top Bottom