Wanabodi
Japo Sikukuu ya Christmas inasherekewa kwa shamra shamra sana, wengi wakidhani ndio sikukuu kubwa ya Wakristo, ukweli ni kuwa Pasaka ndio sikukuu kubwa ya Wakristo kutokana na fumbo la Paska, hakuna mtu yoyote aliyemshuhudia Yesu Kristo akifufuka, na baada ya kufufuka alikaa duniani...
Kuna msuguano wa fikra mitandaoni kuhusu Katazo la kula mchana adharani huko Zanzibar kipindi hiki cha Mfungo.
Lakini kwa wenzetu wakristo jumapili ni Sikukuu ya Pasaka na naamini Zanzibar kuna wakristo wengi ambao wanajiandaa kusherekea Sikukuu hiyo. Je, Katazo la kula adharani linawahusu...
Wengi wetu tunakaribia kusherekea sikukuu za Pasaka na Eid el Fitr.
Mimi binafsi nitaenda kufurahia sikuukuu yangu katika hiyo Coco Beach
Je, nawe utaenda wapi?
Waslaam wana JF
Kwa wale wazeee wa ma-lovey dovey dovey hii ni sikukuu pendwa sana kwenu
Binafsi, ninafikiria kwenda kusherekea na watoto yatima, nataka nitoe sadaka ya vitu mbali mbali kwa watoto yatima ili upendo wa Mungu uendelee kuwa nao
Asanteni
Hawa niliowataja ni baadhi ya watanzania waliosoma kwa tabu, wakafanya kazi za umma kwa tabu kisha wakateuliwa kukaa mezani na mfalme
Wakiwa wanahudumu kwa mfalme wakadhani mfalme ndo kila kitu; wakatamka adharani kuwadharau watu kwa umaskini wao wa maarifa au uchumi.
Wanaamini maisha siyo...
Utasikia goma langu lililoolewa Dar, Mza au Dom limekuja kula sikukuu.
Lilivyoniona tu likatabasamu na kug'ata kidole.
Mara jamaa yangu nae kalipanga goma lake.
Mara kuna goma langu nimeliinamisha fasta jana. Limekuja kula sikukuu ila limeolewa mjini.
Ndo ilishabaki ishara ya heshima tu.
Huu umeme wa TANESCO kumbe unazitambua sikukuu?
Kwamba huwepo kwenye sikukuu na kuwa zikiisha tu, ile kazi pendwa ya awamu #6 inaendelea!
Bila shaka hapa tulipo sasa itakuwa bila bila, hadi mwaka mpya.
Ipo haja ya kuingia chimboni kutafuta namna ya kutunza umeme kwa matumizi ya baadaye pindi...
Habari zenu Wakuu,
Wakati wengine wakijiandaa kuwapa zawadi Wapenzi wao sio vibaya nasisi tukawakumbuka waliotulea Wazazi/Walezi kwenye msimu huu wa SIKUKUU.
Mimi Mjanja M1 nimechagua kuwapa Wazazi/Walezi wangu zawadi ya kukaa nao SIKUKUU nzima pamoja na kuwapa zawadi nyengine nyingi...
Nahitaji iwe na options ya vitanda double, iwe ufukweni au isiwe mbali na ufukwe. Iwe sehemu tulivu ya kuvutia. Gharama yake isizidi tsh 100,000.
Maana sisi wengine si matajiri, ninataka kukaa hapo siku 7 tu nipumzike na mke na watoto wa 4.
Naombeni msaada wenu.
Mkutano wa 78 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa hivi karibuni umepitisha kwa kauli moja azimio la kuweka Mwaka Mpya wa Jadi wa China kuwa sikukuu ya Umoja huo. Kwa miaka mingi, Katibu Mkuu wa Umoja huo ametoa salamu za pongezi kila Wachina wanaposherehekea Mwaka Mpya wa Jadi wa China, na...
Taasisi ya Vanessa Foundation imetoa msaada wa hali na mali kwa wafungwa wa Gereza la Wilaya ya Kyela Mkoani Mbeya, wakati wa Sikukuu ya Krismasi ikiwa ni sehemu ya kusherehekea nao pamoja na kuisaidia Serikali jukumu la kuhudumia wafungwa hao.
Akizungumza wakati akikabidhi msaada huo...
Yaani hata kama kulikuwa na mgao vipi lakini serikali ilihakikisha umeme unakuwepo then baada ya sikukuu ndio utaratibu wa katakata ya umeme inaendelea.
Niseme tu naumia sana kuona sikukuu yetu hii kubwa hatuna umeme huku nilipo.
Na hili simlaumu Mama bali nawalaumu watendaji wa Sector ya...
Wakuu, pamoja na kuwa kila mtu na maisha yake na life style yake lakini ni vema kukumbushana kuwa na tahadhari kwenye matumizi ya Fedha.
Bila hivyo kuna mambo yataparangana Januari au hata miezi mitatu ya mwanzo mwaka 2024.
Tule bata ila kwa mipango
Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha limesema kuwa kwa kushirikiana na vyombo vingine vya ulinzi na usalama linaendelea kuimarisha ulinzi ambapo limebainisha kuelekea Sikukuu za Krismasi na mwaka mpya (2024) litahakikisha sikukuu hizo zinasherekewa kwa amani na utulivu hasa ikizingatiwa kuwa Mkoa huo...
Wakati wa sikukuu ya IDDI kule Zenji mishahara ilitoka tar 14 ili WAISLAMU wajiandae.
Tuliona mbali tukapiga kelele kuwa serikali isiwe na dini.
Lakini watu wakakaza fuvu.
Haya sasa na sisi WAKRISTO tunaomba mshahara mapema ili tujiandae na Christmas.
WAPENDWA TUKIELEKEA SIKUKUU
MUHIMU KUWA MAKINI HASA MNAPOENDA BAR KULA AMA KUNYWA
KAMA HAUKO NA MWENZIO UKAVAMIA MEZA YA MTU JITAHIDI
USIENDE MSALANI UKAACHA VINYWAJI AMA CHAKULA MEZANI
UTALIA
HII NIMEIKUTA MWAKAJANA MOSHI MTU KALIA VIZURI TUU
NIKAMA WALISHAMJUA ANAGARI AKAJICHANGANYA...
Habari zenu wanaJF wenzangu,
Leo nimeona bora nije na thread ya pamoja kwa ajili ya kutakiana heri ya mwaka mpya na sikukuu ya X-mass.
Lakini pia kila mtu atakuwa huru ku share picha za jinsi watu walivyo celebrity, na kusherehekea mkesha wa mwaka mpya huko atapokuwa, au kuandika matukio yote...
Utangulizi
Msimu wa sikukuu za mwisho wa mwaka huwa na heka heka nyingi na watu hupendelea kufurahia kula na kusherekea walichopanda Kwa mwaka mzima. Hata hivyo Kwa kua ni msimu wenye matukio sio kidogo Kwa sababu ya asili ya shunguli nyingi ni vyema kuzingatia mambo kadhaa.
Mambo ya jumla na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.