Niwatakie Sikukuu njema wana Jf wote, wa dini zote, kabila zote na race zote.
Jesus Christ akawe faraja katika maisha ya kila mmoja wetu, kila alie na hitaji basi Mungu akatupatie tunavyohitaji, alie na njaa akapate chakula, asie na makazi akapate makazi, asie na kazi akapate kazi, anaehitaji...