Mambo vipi, imefika hatua nimeona leo nifunguke kwenu wadada, lengo la uzi huu sio kudhalilisha mtu bali kuwaelimisha tuu.
Mimi nina mdada ambaye ni rafiki yangu toka Facebook basi nikatumiwa request akawa analike post na picha zangu.
Nisiende mbali basi badae akawa anakuja inbox tunachat...