silaha

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. MK254

    Jeshi la Uingereza lakamata silaha na mizinga ya Iran iliyokua kwenye meli

    Iran inapumuliwa kote, kwa sasa inafuatiliwa kwa makini, meli yoyote yenye silaha za Iran ni halali ya wababe wa dunia hii.... The British navy seized anti-tank missiles and fins for ballistic missile assemblies during a raid on a small boat heading from Iran likely to Yemen, authorities said...
  2. Roving Journalist

    Mbeya: Watu wawili washikiliwa kwa tuhuma za unyang’anyi wa kutumia silaha za moto

    Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya, ACP Benjamin Kuzaga Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linawashikilia watuhumiwa wawili Fred Nzunda (40) Mkazi wa Nzovwe Mbeya na John Nsemwanya [40] Mkazi wa Mbozi Mkoa wa Songwe kwa tuhuma za unyang’anyi wa kutumia silaha. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya, ACP...
  3. MK254

    Kundi la Wagner laanza kulalamika kuishiwa silaha, walaumu Urusi

    Watafyekwa sana hawa. The head of the Wagner group, Yevgeni Prigozhin, who commands in Ukraine a network of mercenaries allied with the Russian Armed Forces, has intensified his criticism of the Government for the alleged lack of ammunition suffered by these militiamen, thus aggravating the...
  4. HERY HERNHO

    Urusi kujaribu silaha mpya za nyuklia muda wowote Marekani akifanya hivyo

    Rais wa Urusi Vladimir Putin amekuwa akilihutubia Bunge la la nchi hiyo. Ametumia mwanzo wa hotuba yake kurudia nadharia ambazo amekuwa akitumia mwaka mzima uliopita: anadai kuwa ni Washington ambayo "ilianzisha vita" na mapema mwaka 2022 iliitaka Ukraine kushambulia Crimea na Sevastopol...
  5. ASIWAJU

    China kuipatia silaha Russia dhidi ya Ukraine

    Taarifa inasema kuwa China ina mpango wa kumpatia msaada wa kisilaha Russia dhidi ya Ukraine. Taarifa: - China is considering giving Russia weapons and ammunition for the Ukraine war, US secretary of state Anthony Blinken has said. Mr Blinken told CBS News that Chinese companies were already...
  6. Messenger RNA

    Shehena ya silaha za Iran zakamatwa na Jeshi la wanamaji la Ufaransa, zilikuwa zikipelekwa kwa waasi wa houth

    Jeshi la ufaransa limekamata shehena ya kutisha ya silaha zilizokuwa zikielekea kwa waasi wa huthi nchini Yemen. ============================ French forces seize shipment of weapons headed from Iran to Yemen Officials say the seizure happened in January, with the weapons set for Yemen’s Houthi...
  7. I

    Silaha ya mfumo wa kinga ya anga S-400 ya Russia yaangamizwa na Ukraine

    Ushahidi wa kwanza wa kuangamizwa kwa silaha ya mfumo wa kinga ya anga ya Urusi maarufu kama (S-400 Air Defence System) umepatikana. Hii ni mara ya kwanza kwa Ukraine kutoa ushahidi wa wazi kuthibitisha madai yao ya kuiangamiza silaha hiyo ya kisasa ya Russia...
  8. let the caged bird sings

    Umiliki silaha kinyume na sheria

    Kwa wenye ufahamu na ili. Ni Adhabu gani utolewa endapo ukikutwa na bunduki kinyume na sheria? Nipo nchi Jirani hapa na kuna mwamba ana kadude ila hakana pepa anataka aniachie kwa bei simple kabisa ila kabla ya kufikia uamzi wa kukachukua ninataka nijue kwanza ikiwa nitakamatwa nako athabu yake...
  9. F16 Falcon

    Waziri wa Ulinzi wa Ujerumani ajiuzulu kwa kutoa misaada ya silaha kwa Ukraine

    Waziri wa Ulinzi wa Ujerumani, Christine Lambrecht amejiuzulu kwenye nafasi, kwa mujibu wa taarifa ya Shirika la Habari la Uingereza (BBC Swahili). ======== Waziri wa Ulinzi wa Ujerumani ajiuzulu - Hatua ya Ujerumani kuisaidia Ukraine silaha kufuatia mapigano yanayoendelea baina ya taifa...
  10. M

    Hii biashara imekaaje: Ukraine kuuza damu ya raia wake ili kupata silaha zitakazosaidia kufikia malengo ya NATO dhidi ya Urusi!

    Si siri tena wala siyo madai ya urusi tena, bali ndivyo biashara yenyewe ilivyo. NATO ina malengo yake ya kuidhoofisha urusi, ukraine ikajitokeza na kusema sisi tutatimiza jukumu hilo, tunachohitaji ni kutupatia silaha kwa ajili ya damu ya raia wa ukraine wanayoimwaga ili kufikia malengo ya...
  11. Mr Chromium

    Kwanini marafiki wa DRC wanashindwa kuisaidia silaha za kisasa kupambana na adui zake?

    Habari, Kiukweli bado nashindwa kuelewa nchi marafiki wa DRC? Ni nchi gani za kibeberu, Asia, au zilizoendelea ambazo ni marafiki wa DRC? Nadhani hazipo kama zipo pasi imapact yake ndogo. Aidha diplomasia ya DRC katka kutafuta marafiki wa faida ni ndogo. Ikiwa ni nchi iliyogubikwa na majangili...
  12. MK254

    Kumbe Urusi walipokea msaada wa silaha kutoka Korea Kaskazini na bado wakashindwa!

    Supapawa anazidi kutia huruma, amesaidiwa na Syria, Iran, Korea Kaskazini, wafungwa kwenye gereza zake wakiwemo baadhi ya Waafrika, ameokoteza hadi wanywa gongo mtaani ila bado anapigwa tu. WASHINGTON - ;North Korea has delivered arms to Russia's private military group Wagner, the White House...
  13. BARD AI

    Umoja wa Mataifa waiondolea DRC zuio la kununua Silaha mpya

    Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limechukua hatua hiyo iliyowekwa kwa Majeshi ya Serikali ya DRC kutonunua Silaha mpya hadi wapate kibali kutoka Kamati ya Vikwazo ya UN. Wajumbe wa Baraza hilo wamesema wanatambua Hali Mbaya ya Usalama nchini humo na hivyo kuondoa vikwazo hivyo ni katika...
  14. Kinoamiguu

    Tetesi: Handeni, walioiba silaha Ofisi za TAKUKURU ni TAKUKURU wenyewe

    Habari za mapumziko, Inasemekana walioiba Silaha kwenye ofisi za TAKUKURU huko Handeni ni maafisa TAKUKURU wenyewe. Chanzo chetu kutoka Handeni kinasema maafisa hao wakishirikiana na watu wa ishu/Majambazi walisuka njama za kuziiba silaha hizo huku wakiahidiwa kupewa donge nono. Inasemekana...
  15. Kinoamiguu

    Kuibwa kwa silaha ofisi za TAKUKURU Handeni Maswali ni mengi kuliko majibu

    Habari za mapumziko wana jamvi Mapema wiki hii palitokea wizi wa silaha za moto kwenye ofisi za PCCB Huko Handeni Tanga. Kama kawaida jambo limepita na hakuna kilichotokea. kwa mujibu wa gazeti la mwananchi silaha zilizoibwa ni mbili na zenye risasi ndani. hatujui zimeenda wapi na zinaenda...
  16. Akilihuru

    M23 yatuma salam za uimara wake kwa vikosi vya KDF na FDNB vilivyopelekwa Congo kuthubutu kuwapokonya silaha

    Za asubuhi wakubwa, weekend inaendeleaje? Leo nawaletea muendelezo wa kile kinachojiri huko Congo katika oparation ya jeshi la kanda yetu hii ya EAC. Oparation hii mahsusi imebuniwa kwa lengo la kuwapokonya silaha waasi wote waliopo katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, ila walengwa haswa wa...
  17. BARD AI

    Polisi: Silaha haramu 6,208 zimeteketezwa baada ya kusalimishwa kwa hiari

    Jeshi la Polisi nchini limeteketeza silaha haramu 6,208 ambazo zilikusanywa wakati wa kampeni maalum ya wananchi kusalimisha silaha hizo. Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Jumanne Sagini, amelitaka Jeshi la Polisi nchini kuongeza nguvu kudhibiti uingizaji silaha haramu ili kusaidia...
  18. J

    Shujaa Magufuli alikuwa ni jeshi la mtu mmoja aliyetegemea silaha ya kuteua na kutumbua, Bashiru usiamini kama kuna Sukuma Gang

    Kiukweli hii kitu inaitwa Sukuma Gang haikuwa kitu halisi kwa sababu Shujaa Magufuli alikuwa ni Jeshi la Mtu mmoja aliyekamata mihimili yote mitatu. Magufuli hakuwa na Wapambe ila Watu walijipendekeza Kwake ili wateuliwe na wengine walijipendekeza ili wasitumbuliwe. Shujaa Magufuli aliweza...
  19. Shujaa Mwendazake

    Maelfu waandamana Italia kupinga upelekwaji wa silaha Ukraine

    Makumi ya maelfu ya Waitaliano wameandamana kwa ajili ya amani huko Roma Umati wa watu ulimiminika kwenye mitaa ya Roma siku ya Jumamosi kutoa wito wa amani nchini Ukraine. Waandamanaji hao pia waliitaka serikali ya Italia kuacha kuipatia Kyiv silaha na badala yake kushirikiana na Urusi...
  20. BARD AI

    Geita: Afungwa miaka 120 na viboko 48 kwa unyang'anyi wa kutumia Silaha

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Geita imewahukumu watu watatu kifungo cha miaka jela miaka 120 na kuchapwa viboko 48 kila mmoja baada ya kutiwa hatiani kwa makosa manne ya unyang'anyi wa kutumia silaha. Hata hivyo, ingawa kila mshatakiwa amehukumiwa miaka 30 jela na viboko 12 kwa kila kosa, kwa makosa...
Back
Top Bottom