silaha

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Nchi za Magharibi wailalamikia sana Urusi! Wanadai inatumia gesi kama silaha . Hivi walipoiwekea vikwazo zaidi ya 6,000 walidhani itatulia tu?

    Nchi za magharibi zinadhani zenyewe ndio zina haki ya kuadhibu nchi zinmgine, na hazitegemei nchi zingine kujitetea kwa namna yoyote ile! Nchi za magharibi na washirika wao waliiwekea vikwazo lukuki urusi ikiwemo kutokuruhusiwa kufanya miamala kwa kutumia Euro na dola. .Kwao hiyo ni sawa...
  2. LUKAMA

    Vita vya Ukraine: Urusi yaharibu miundombinu ya reli kuzuia silaha za kigeni kuingia Ukraine

    Urusi iligonga miundombinu ya reli kote Ukraine siku ya Jumatatu kwa lengo la kuzuia usambazaji wa silaha za kigeni, huku Marekani ikitangaza kuwa itatoa silaha zaidi licha ya pingamizi la Moscow. Takriban watu watano waliuawa na 18 kujeruhiwa katika mashambulizi ya Urusi katika eneo la...
  3. MK254

    Urusi yapokea msaada wa silaha kutoka kwa waasi wa Iraq, kwa kupitia Iran - hali mbaya

    Kwa kweli Urusi imefikia kiwango kipya cha aibu, mpaka wanapokea misaada ya silaha kutoka kwa waasi, kainchi kadogo Ukraine kamekua mfupa uliomshinda fisi.... Iranian networks have been working to smuggle weapons from Iraq to Russia as Moscow’s plans to quickly invade Ukraine’s capital and...
  4. M

    Tujiulize: Kama Ukraine isingekuwa inapewa silaha kila siku na nchi za Magharibi kama ambavyo Urusi haipewi silaha na nchi yoyote, hali ingekuwaje?

    Nimekuwa nikijiuliza hali ingekuwaje kama mpambano kati ya Urusi na Ukraine ungekuwa MMOJA DHIDI YA MMOJA na wengine wakawa watazamaji tu. Ukraine wameshakiri kuwa sehemu kubwa ya silaha zake ziliharibiwa siku ya kwanza ya vita. Bila nchi za magharibi kumpatia ukraine silaha muda wote saa hii...
  5. mitale na midimu

    Je, vita vikiendelea miezi sita ijayo Urusi ataishiwa silaha?

    Nimetafakari na kugundua silaha zinazopelekwa Ukraine ni nyingi sana. Nimesoma Ujerumani wanasitisha kuendelea kumsaidia maana wataishiwa silaha wamebakiza akiba. Mchambuzi mwingine anasema hats US atakoma siku zikiendelea maana silaha zake zitapungua kwenye akiba zake. Najiuliza nchi...
  6. YEHODAYA

    Soko la silaha za Mrusi litadorora vita na Ukraine imeonyesha kuwa silaha za Mrusi dhaifu

    Soko la silaha za Mrusi litadorora vita na Ukraine imeonyesha kuwa silaha za Mrusi dhaifu Mavifaru ya mrusi yanabomolewa hovyo na makombora ya Javelin Meli hodari kivita ya mrusi kulipuliwa na kombora Neptune Ni meseji sent kwa wanunuzi wa silaha kuwa hizo silaha za Urusi si kitu Soko lake...
  7. JanguKamaJangu

    Urusi yatishia kutumia silaha za nyuklia ikiwa Sweden, Finland zitajiunga NATO

    Mmoja wa washirika wa karibu wa Rais wa Russia, Vladimir Putin Alhamisi ameionya NATO kwamba ikiwa Sweden na Finland zitajiunga na ushirika wa kijeshi unaongozwa na Marekani, basi Russia itapeleka silaha za nyuklia na makombora ya masafa marefu katika eneo la Ulaya. Finland ambayo inashirikiana...
  8. Gan star

    Jicho la Mwewe: Kwanini Mataifa mengi seriously sasa yanaelekeza silaha nyingi zaidi Ukraine?

    Mapambano makali zaidi ya kivita yanaendelea Ukraine hasa mashariki mwa nchi, unaambiwa mapigano yaliyoko kule ni zaidi ya movie za kivita , Jeshi la Urusi limeuchakaza mji wa Mariopol lakini kwa sababu ya ushujaa wa jeshi la Ukraine Urusi imeshindwa kuumiliki mji Kwa 💯 hii ni baada ya...
  9. S

    Uingereza, Marekani na Australia zatangaza kuanza kushirikiana katika utafiti wa silaha za hypersonic na namna ya kujilinda dhidi ya silaha hizo

    Mpango huo utakuwa sehemu ya ushirikiano wa AUKUS, mkataba wa usalama uliotangazwa na nchi hizo tatu mwaka jana. Nchi hizo tatu (Uingereza, Marekani na Australia) zimelalamika kuwa mataifa pinzani yakiwemo Russia, China na North Korea yameshawaacha mbali ktk teknolojia ya makombora ya...
  10. MakinikiA

    Kabla ya vita raia wanaambiwa shikeni silaha teteeni nchi yenu,baada ya vita wanasema war crime mbona siwaelewi hawa mabeberu

    Nato wamechanganyikiwa na sasa wanajiandaa kuwapa silaha zaidi hivi hawa watu wana akili sawasawa ,havi raia gani huyo anakufa pembeni ya kifaru ??????
  11. Lady Whistledown

    Uchambuzi: Vikwazo vya Urusi vinaweza kuchochea mauzo ya silaha za China kwa Nigeria

    Vikwazo vya Magharibi kwa Urusi na Belarus vinaweza kusukuma Nigeria kuagiza silaha za China zinazoweza kufikiwa zaidi na za bei nafuu Uvamizi wa Februari 24 wa Ukraini uliofanywa na Urusi umevuruga uhusiano wa kisiasa wa kijiografia na kibiashara kote ulimwenguni, kutoka kwa maswala ya kununua...
  12. Da Vinci XV

    Die Glockie: Je, ni kweli chombo hiki chenye nguvu ya ajabu, Hitler alikitumia kuunda silaha za ajabu na kufanya time traveling?

    Wasaalam Naam, Miaka fulani hadithi kuhusu ndege zenye umbo la sahani Almaarufu kama UFO (unidentified Flying Object ) zilishamili sana kuliko hata neno lenyewe, na usichokijua ni kwamba hata jina lenyewe lilipatikana kwasababu ya kutokufahamu vyombo hivi vilikuwa vinatoka wapi! Na viko chini...
  13. A

    MUZIKI: SILAHA KUNTU KUELEKEA MEI MOSI HII

    Wanabodi Habari zenu. Kuna watu wengi wanao uwezo wa kutunga nyimbo. Nawaalika watu wote wenye uwezo huo katika uzi huu. Tungeni mashairi yenye heshima na staha kuelekea mei mosi hii(2022). Zimebaki siku chache sana kufahamu mbichi na mbivu juu ya stahiki za wafanyakazi wote hapa Tanzania...
  14. jingalao

    Lazima Tanzania iwe na mpango maalumu wa kutengeneza Silaha za kujilinda

    Bajeti ya kila mwaka inaputa tu lakini sijawahi kuona bajeti mahususi ya kuunda silaha zetu. Tanzania ina Uranium lakini sijasikia bajeti ya kuunda Silaha kali za nyuklia kwa ulinzi wetu. Je, tunaogopa walami? Hakuna siku walami wataturuhusu kuunda silaha kali za kivita bali sisi tunatakiwa...
  15. M

    Marekani imetwanga maji kwenye kinu: Silaha walizopenyeza Ukraine hivi karibuni zimeteketezwa

    Marekani hoi! Silaha walizojinadi kupeleka Ukraine hivi karibuni na kuzificha kwenye ghala LA silaha lililojengwa kwenye kambi ya jeshi, ghala lililochimbiwa chini (underground), zimeteketezwa zote hata kabla hazijaanza kusambazwa kwa walengwa!! Iko hivi: Urusi kwa kutumia silaha Kali iitwayo...
  16. M

    Mgogoro wa Urusi na Ukraine: Nchi za magharibi zaumbuka. Zilitaka kupeleka silaha Ukraine zikidai ni misaada ya kibinadamu

    Wafanyakazi wa viwanja vya ndege wamegoma kupakia shehena ya silaha Toka Nchi za magharibi, huku zikiwa zimeandikwa kuwa ni shehena ya madawa na vyakula Kama misaada ya kibinadamu! Nchi za magharibi ni washenzi! Wanashangilia vita kwa kuwa kwao ni soko la silaha na fursa ya kufanya majaribio ya...
  17. S

    Maafisa wa Marekani waduwazwa na silaha 'ngeni' za Urusi

    Wanaintelijensia wa Marekani wamesema kuwa Russia inatumia silaha za ajabu nchini Ukraine. Wanainteligensia hao wamebaini kuwa makombora ya balistiki (Iskandar-M short range ballistic missiles) yanayovurumishwa na majeshi ya Russia nchini Ukraine yameongezewa vionjo au vikorombwezo fulani...
  18. Natty Bongoman

    Taarifa za uongo ni silaha kubwa ya Mzungu tangu enzi

    WENGI wetu hata humu jukwaani wanameza kirahisi sana taarifa za habari za uongo na elimu za uongo, espesheli, historia. Ili mradi zimeletwa na mzungu... afu Cha kusikitisha, ndo wanakuwa wabishi wakubwa. Historia za uongo wa mzungu tunazijua sana sana, ila sielewi kwa nini kila kukicha akatoa...
  19. Natty Bongoman

    Nchi zenye vinu vya nyuklia na silaha za nyuklia humu duniani

    NCHI ZENYE VINU VYA NYUKLIA (angalia Ukraine) NCHI ZENYE VINU VYA NYUKLIA NCHI ZENYE SILAHA ZA NYUKLIA Yaani nahisi ajali ya nyuklia ni tishio zaidi ya vita vya nyuklia
Back
Top Bottom