silaha

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ghost MVP

    Askari Polisi kutumia silaha za moto za Automatiki (SMG, ASSAULT RIFLES) siyo sahihi, ni silaha za Kivita

    Hizi bunduki za Automatiki zenye risasi nyingi kama 30+ ni silaha mahususi za Kivita sio za kulinda Raia au Kupigia Doria Ukiangalia Nchi za wenzetu Police wanatumia Hand Gun kama Pistol ndogo kama Bereta na Glock kwasababu hizi hazina Impact kubwa ukipigwa katika mwili. Ila hizi Mashine Gun...
  2. Webabu

    Maiti za watu kila sehemu Gaza. Wapo wanaokufa kwa silaha za Israel na wapo wanaokufa kwa njaa

    Takwimu za vifo Gaza ni kubwa mno kiasi kwamba inakadiriwa kati ya kila wapalestina 20 mmoja kati yao ameuliwa. Suala la vifo zaidi ya 100 na baadhi ya siku mpaka 700 ni kitu cha kawaida.Kuna wajumbe wa UN wanasema hawajawahi kushuhudia uwiyano wa vifo namna hiyo katika vita vyovyote duniani...
  3. Webabu

    Yanini kusherehekea siku ambayo maelfu ya watu wasio na silaha wala hatia waliuliwa Zanzibar (12/01/1964)

    Historia huwa inapitia msururu mrefu wa matukio.Yapo matukio ambayo mwanzoni huenekana ni sehemu ya historia nzuri lakini kadri muda unavyokwenda watu hujutia historia hiyo na hatimae kuamua kubadili hisia. Matukio ya aina hiyo ni kama yale ya utumwa barani Amerika na ukoloni uliofanywa na...
  4. JanguKamaJangu

    Ecuador: Watu wenye silaha wavamia studio ya TV matangazo yakiwa ‘LIVE’ na kuwateka Watangazaji

    Wanaume waliojifunika sura zao wamevamua Studio ya TV (TC Television) ya Umma katika Mji wa Guayaquil wakiwa na silaha za moto na marungu wakati wa matangazo yakiwa mubashara kisha kuwateka Wafanyakazi wa kituo hicho kwa muda. Imeelezwa hakuna mtu aliyeuawa katika tukio hilo ambalo lilizimwa na...
  5. Webabu

    Aina ya silaha walizonazo Houthi zinaogopesha na majaribio ya kuzitumia inatoa picha ya azimio lao la vita

    Baada ya jaribio la wiki iliyopita kuteka meli na kuipeleka kwenye maeneo yao kushindwa na kusababisha vifo vya askari 10 wa Houth kumewakasirisha sana wanamgambo hao na serikali ya Iran. Iran imeamua kuingiza meli yake ya kivita katikati ya meli nyengine za kivita zinazojidai kuilinda bahari...
  6. M

    Kwanini Israel iruhusiwe kuwa na silaha za nyuklia?

    Waziri Mkuu wa Uturuki amesema kuwa nchi za Magharibi zinaendesha siasa za nyuso mbili katika suala zima la silaha za nyuklia. Recep Tayyid Erdogan amesema hayo alipohojiwa na televisheni ya CNN na kuongeza kuwa, utawala wa Kizayuni wa Israel ndio utawala pakee unaomiliki silaha za nyuklia...
  7. Webabu

    Uzito uko wapi kwa Urusi kuipatia silaha nzito Yemen ikaipiga Marekani?

    Vita vya Ukraine vilianza kwa ushawishi wa Marekani kwa raisi wa Ukraine mpaka vita vikaanza kupiganwa. Tangu vita hivyo vianze mwezi Februari 2022 Marekani kipekee imetoa misaada ya kila aina kwa Ukraine ili kipigo kwa Urusi kiwe ni cha haraka. Misaada ya Marekani imekuwa ikitolewa kwa...
  8. JanguKamaJangu

    Wahalifu wenye silaha waua watu 113 katika mfululizo wa mashambulizi Nchini Nigeria

    Makundi yenye silaha yameripotiwa kuua watu zaidi ya 100 katika mfululizo wa mashambulizi yaliyolenga miji ya katikati mwa Nigeria eneo lenye mivutano ya Kidini na Kikabila. Uongozi wa Serikali ya Mtaa wa Bokkos, Jimbo la Plateau umeeleza mashambulizi hayo yamejeruhi zaidi ya Watu 300 na kuwa...
  9. Abu Ubaidah Commando

    Algeria yazuia Ndege ya Marekani inayosafirisha Silaha kwenda Israel kutoka anga yao

    Algeria prevents a US aircraft carrying weapons to israel from flying over their space Kwa msaada wa google: Algeria yazuia ndege ya Marekani iliyobeba silaha kuelekea israel kuruka juu ya anga yao. Safi sana الجزاير/Algeria💪🏽❤1🇩🇿
  10. sky soldier

    Heri nusu shari kuliko shari kamili: Magaidi wa Hamas wanaendelea kuweka silaha chini na kujisalimisha kwa jeshi la Israel.

    Utaratibu ni ule ule, lazima wavue nguo zote (kasoro boxer) kabla ya kuomba kujisalimisha, Ni hatua za kiusalama kwa tahadhari dhidi ya mabomu ya kujitoa muhanga yanayoshonwa kwenye nguo. They did rejoice on 7th October right?
  11. BARD AI

    Manyara UPDATE: Waliofariki kwa Mafuriko Wilayani Hanang wafikia 80 na Majeruhii 133

    Serikali imetoa taarifa kuhusu maendeleo ya hali baada ya maafa ya maporomoko ya tope, mawe, magogo na mawe kutoka mlima Hanang Wilayani Hanang Mkoa wa Manyara, ambapo imesema hadi kufikiasaa 6:00 mchana leo December 08,2023 idadi ya vifo imefikia 80 (Watu wazima ni 48 wakiwemo Wanaume 19 na...
  12. BARD AI

    Serikali yapiga marufuku Askari wa Usalama Barabarani kutembea na Silaha za Moto ili kuepusha madhara kwa raia

    Zuio hilo limewekwa na Mkuu wa Jeshi la Polisi (IGP) Japhet Koome baaada ya kuwepo kwa ongezeko la Malalamiko ya Wananchi kuwa baadhi ya Askari wa Barabarani wamekuwa wakitumia vibaya silaha zao ikiwemo kushambulia raia hata wasioweza kusababisha madhara. Uamuzi huo pia umechangiwa na kauli ya...
  13. benzemah

    Askari Polisi amuua kwa Risasi Mlinzi wa Baa ya Boardroom Iliyopo Sinza jijini Dar es Salaam

    Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dares Salaam lilipokea taarifa kuwa tarehe 29/11/2023, Saa sita usiku maeneo ya Sinza Mapambano Kinondoni askari wawili walimjeruhi kwa risasi mu mmoja aliyefahamika kwa Jina la Razaki Azan mwenye umri miaka 29 mlinzi binafsi wa Bar itwayo Board room iliyopo Sinza...
  14. Ritz

    Tazama Waisrael waoga wakipambana na raia wasio na silaha tena kiziwi

    Wanaukumbi. Wanajeshi wa Israel wanachapisha video inayowaonyesha wakimtesa kiziwi kutoka Gaza. Hili linakubalika kabisa kwa utawala wa mauaji ya halaiki huko Tel Aviv na kusherehekewa na Wazayuni kote Palestina inayokaliwa kwa mabavu. Israel haina nafasi katika Asia ya Magharibi...
  15. Webabu

    Vita, vibali, kuta na mageti vinatumika kama silaha kutaka kuimaliza Palestina

    Israel tangu kuundwa kwake limekuwa ni taifa hatari sana kwa usalama wa wenyeji waliowakuta na usalama wa majirani zake wote na hata kwa ulimwengu mzima. Taifa hilo linaongoza kwa kupinga maazimio ya umoja wa mataifa na hata kuvunja mikataba inayowekeana na majirani zao. Kwa ujumla ni taifa...
  16. Ritz

    BBC inathibitisha kuwa ISRAEL inaweka silaha katika majengo ya raia!

    Wanaukumbi. Naona vyombo vya habari ambavyo vilikuwa vinasambaza propaganda za Israel vimeona vinakwenda kuabika mbele ya dunia kwenye hili sakata la SHIFA HOSPITAL BBC, FOX NEWS waliogozana na Jeshi la Israel hadi Hospital lakini wakapewa masharti sehemu za kufika na kuchukua picha...
  17. K

    Israel yaumbuliwa kwa kupandikiza silaha zake ndani ya hospital ya Shifah na kuhadaa Ulimwengu- kua ni zaHAMAS na makao makuu ya HAMAS!

    Israel iimefanya mauaji ya watoto, wanawake na raia wasio na hatia kwa kuipiga mabomu hospital kuu Gaza kwa kisingizio kua ni chini kuna makao makuu ya HAMAS,wamefichwa mateka na ni hifadhi ya silaha za HAMAS. Tazama uongo wa Israel ambayo yenyewe binafsi imepandikiza silaha na kutengeneza...
  18. MK254

    Israel wagundua handaki la silaha chini ya hospitali ya watoto Gaza

    Ndio maana wanapaswa kupigwa popote.... ========= Hagari presented evidence showing Hamas weapons being stored underneath Rantisi children’s hospital in Gaza, as well as rooms seemingly used to hold hostages. One room staged to look like a living room featured window curtains covering a tiled...
  19. MK254

    Silaha za kila aina zakutwa ndani ya misikiti na shule, Gaza waliishi maisha ya ovyo sana

    Hawa watu waliishi maisha ya kishetani sana, ikiwemo kufundisha watoto namna ya kuchinja binadamu, ndio maana wanafumuliwa tu hamna namna. Hii picha hapa mtoto anafundishwa jinsi ya kuchinja mwenzake kama kondoo ====== The Israel Defense Forces says ground troops continue to find Hamas...
  20. MK254

    Urusi yaanza kuomba silaha ilizouza zirudishwe, hali mbaya

    Mataifa kama vile Misri, Brazil n.k. yaliyokua yameuziwa silaha na Urusi, yameombwa yazirejeshe maana Urusi imeishiwa na ina shida nazo, inazitaka hizo silaha jameni. Unamuuzia mtu sime au upanga kisha unamfuata na akurudhishie maana una shida nawo... Russia is trying to get back some of the...
Back
Top Bottom