simba atinga fainali cafcc

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. ProcrastinatorInChief

    JamiiForums Tanzania Hoja 3 nzito kutoka simba kwenda CAF kuhusu kuhamisha mchezo kutoka Mkapa kwenda Amani

    UONGOZI wa Simba baada ya kupata taarifa ya kubadilishwa ghafla kwa uwanja ambao utatumika kwa mechi yao ya nyumbani ya hatua ya fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya RS Berkane, ulifanya kikao kizito Morocco kujadili jambo hilo. . Kikao hicho kilimalizika kwa azimio la kuandika barua...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Simba ni timu ya kwanza Tanzania kuingia fainali za Caf mara 2

    Pia itakuwa ni timu ya kwanza Tz kuleta kombe la Caf. Yanga kwa sasa Tuweni wapole tu, hakuna namna. Tuwe wakweli tu kuwa kwasasa hatuna hoja za mabishano na majigambo. Hata itokee Yanga tuchukuwe kombe la ligi kuu na la crdb na hata itokee tumfunge Simba bado haitazidi HESHIMA NA HADHI YA...
Back
Top Bottom