Simba ni timu ya kwanza Tanzania kuingia fainali za Caf mara 2

Muite

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2013
Posts
3,192
Reaction score
7,112
Pia itakuwa ni timu ya kwanza Tz kuleta kombe la Caf.

Yanga kwa sasa Tuweni wapole tu, hakuna namna. Tuwe wakweli tu kuwa kwasasa hatuna hoja za mabishano na majigambo. Hata itokee Yanga tuchukuwe kombe la ligi kuu na la crdb na hata itokee tumfunge Simba bado haitazidi HESHIMA NA HADHI YA SIMBA ILIYOPO SASAHIVI. NA ATAKAPOLETA KOMBE TZ..

Halafu nilishashauri siku nyingi kuwa ifike muda sasa Sisi Yanga tutafute jina Jipya la timu yetu . Jina hubeba mafanikio ya Mtu, timu inajiita VIJANA WADOGO(Young African)na kweli wanabaki kuwa wadogo yaani hata level ya MORANI hawajafikia.

Wenzetu Simba jina lao linawabeba sana maana walichagua jina la Shujaa na jasiri
Angalia hata Azam jinsi inavyosuasua bila ya mafanikio ukilinganisha na uwezo wa fedha walionao. Yaani ni Ice-cream, Juice, unga nk.

Ally Kamwe hawezi kusimama tena mbele ya Ahmed Ali
 
Sasa kama jina ni young African hiyo YANGA imetoka wapi? Hahaha
 
Historia inaonesha washabiki na wanachama wa nyuma mwiko wengi elimu ni mtihani.

Kwahyo walishindwa kutamka Young wakawa wanatamka Yanga.

Wewe waulize Yanga maana yake nini uone kama utapata jibu.
Aisee, hahaha
 
Sasa kama jina ni young African hiyo YANGA imetoka wapi? Hahaha

Mwaka 1979 hadi mwaka 1981 ilitokea njaa Tanzania baada tu ya vita ya Iddi Amini Uganda, Marekani Wakaleta unga Wa njano.

Ule unga ulisaidia sana Kwa Wakongwe waliokuwepo wakati huo watakumbuka. Ule unga uliitwa Yanga. Ndo asili jina La YANGA .
 
  • Thanks
Reactions: Tsh

Ooh, okey. Aisee.
 
Na uzuri hata walipojipendekeza kwenda Ikulu, Mama aliwachana live kuwa "nyie siyo wa kwanza kucheza fainali za Kombe la CAF, Simba walifanya hivyo mwaka 1993".
Walienda Ikulu wakasutwa halafu zaidi wakanyang'anywa mchezaji. Imagine unasutwa Ikulu na wale ndege wanasikia unavyosutwa
 
Back
Top Bottom