Kumekuwa na kasumba ya kila mdau wa JF aonekane yeye ndio wa kwanza kufungua thread ya mechi ya Simba Vs Yanga.
Matokeo yake mpaka ni mlundikano wa nyuzi japo huwa zinakujwa kuunganishwa.
Mbaya zaidi kuna jamaa yeye ni mod, huwa anafoji hadi muda ili tu thread yake ionekane ya mapema zaidi.
Tayari nimechungulia, gemu inaisha 0-0. Wawekezaji, kazi kwenu! Matokeo ni baada ya dakika 90 na za nyongeza.
Sisi Simba hatutakubali Yanga watufunge tena!
KARIAKOO DERBY | Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) imemtangaza mwamuzi Ramadhan Kayoko kutoka Dar es Salaam kuwa ndiye refa atakayesimamia Sheria 17 za mchezo wa soka, kesho Oktoba 18, 2024 kwenye #KariakooDerby
Kayoko atasaidiwa na Mohamed Mkono kutoka Tanga na Kassim Mpanga kutoka Dar es...
GAMONDI:UNAPEWA DOZI KULINGANA NA UGONJWA WAKO.
''Mechi yetu dhidi ya Simba maandalizi yetu hayana tofauti na mechi yoyote ya ligi kuu.
Hii ni mechi kubwa sana kwa mashabiki na wapenzi wa soka, lakini kwetu kama technical stuff hii ni study ya kawaida.
Idadi ya goli tutakazofunga itategemea na...
Mechi ya tarehe 19
Ambayo itaikutanisha miamba ya Kariakoo yaani Simba na Yanga
Mechi imechezwa na imemalizika tayari ampabo Yanga amefunga magoli matatu ya Prince Dube dk ya 17, Azizi ki dk 39 na Duke Abuya dk ya 76. Goli pekee la Simba limefungwa na Ngoma
Tumepambana kwenye ulimwengu wa...
Hii mechi n kati ya mechi nyepesi sana ya Yanga
Pengine ni zaidi ya vs Kagera
Kama kuna mechi Simba atajuta kuingiza timu uwanjan n Derby ijayo.
Halii si nzuri kwao mpaka sasa najua kamati inahangaika kupindua matokeo na ukweli wanajua walichoelezwa
Kifupi tu yanga atashinda kuanzia goki 3...
siku ya jumamosi ndiye namuona kama mchezaji hatari kwa Simba SC kutokana na ubora wake ndani ya uwanja, Maxi kama yupo fiti lazima atakupa mechi bora sana kuanzia nguvu hata kasi na ufanisi kwenye maeneo mengi ndani ya uwanja yameipa uhai mkubwa sana Young Africans
Mechi tatu zilizopita za...
Mechi ya watani wa jadi huwa ni mechi ya wakubwa inaheshima yake na kwa ukubwa ulele huwa autabiriki. Matokeo yanapatikanaga baada ya filimbi ya mwisho ndiyo inajulikana nani ameshinda.
Lakini kwa kiu najuwa Simba watakuwa na kiu kubwa sana ya kushinda mechi hiyo na kwa kweli najuwa mechi...
Wadau hamjamboni nyote?
Nimekutana bila kutarajia na huyu Mzee aliyeshiba siku na uso uliojaa hekima hapa maeneo ya mwandiga tukipata chai mida ya saa tatu hivi asubuhi ya leo.
Namsikia Mzee huyu kwa masikio yangu akieleza Kanuni ya Asili inaonyesha Klabu ya simba itapata ushindi magoli...
Embu tuweke utani pembeni.
Duniani kote kuanzia vilabu hadi timu za taifa, kuanzia katika soka, basketball hadi American Football na michezo mingine ni kawaida timu kubwa kujilinganisha na mnyama fulani anayebeba mfanano wa falsafa na haiba ya ile timu.
Kuna timu zimeweka mnyama wao katika...
Leonel Ateba kitu pekee anachokikosa Tanzania ni chakula cha Okok ambacho ni mchanganyiko wa mboga za majani zilizosagwa zinazoliwa na mihogo.
Hii Ilimlazimu kutafuta chakula mbadala cha kitanzania ambacho kitaziba pengo na hapo ndipo alipopagawa na Wali kuku nazi.
Ninaipenda sana hii system ya ukimya wa Yanga, huwa hawaongei wala kujimwambafy linapokuja suala la michezo mikubwa, hauwezi kumkuta Max akizungumza na waandishi au Job akiwa busy na camera, labda ikiwalazimu kufanya hivyo.
Utakumbuka mechi dhidi ya CRB hakuna aliyejua au kutarajia Yanga...
Nimesikitishwa na kuona mahojiano ya mchezaji wa Simba anayetamba eti ni lazima aifunge Yanga na kwamba haamgalii mabeki walio nao.
Jambo hili linasikitisha sana ukizingatia kuwa hizi ni tabia za wachezaji wa timu ndogo kutamba tamba lakini hatimae hufungwa tu.
Wakatazeni wachezaji wasiongee...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.