Mashabiki elfu 17 pekee ndio wataruhusiwa kuingia ndani ya uwanja wa Lake Tanganyika mkoani Kigoma, kushuhudia mpambano wa watani wa jadi Simba na Yanga siku ya Jumapili.
Mkuu wa mkoa wa Kigoma, Thobias Andengenye amesema wamepunguza idadi ya mashabiki kuingia ndani ya uwanja ili kuthibiti...
Ipo hivi Simba ikiwa inacheza na mwadui FC na Simba ikashinda zomea zomea na maneno mengi yatarushwa kwa Yanga ambao hawahusiki na mechi husika ndivyo hivyo hivyo Yanga ikiwa inacheza na lipuli fc na ikashinda tambo zinapelekwa kwa Simba hali kadhalika wakifungwa tambo zinakuwa hivyo hivyo...
Rais Samia Suluhu amehudhuria mchezo wa Watani wa Jadi kati ya #Simba SC na #Yanga SC unaochezwa Uwanja wa Taifa
Iwapo Simba itaondoka na alama 3 itakuwa imetawazwa Bingwa wa Ligi Kuu Bara kwa mara ya nne mfululizo
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan...
Naaaam..!
Hujambo na Karibu kwenye Matangazo ya Habari za Michezo, Burudani na Uchambuzi.
Patashika ya Ligi Kuu Tanzania Bara kuendelea kupigwa leo Jumamosi ya July 3, 2021, ambapo mchezo unaobeba hisia za mashabiki wengi Tanzania na nje ya Tanzania kati ya Watani wa Jadi, Kariakoo Derby...
Sisi #thecommonwananchi tunauliza sijui sijaona mtonyo ukirudishwa wa ile game iliyochakachuliwa ya Simba na Yanga, sisi watanzania ni wazuri sana wa kusahau na kuvumilia mengi.
Nawezekana uliwekwa utraratibu mwingine na wengine hatujui, tuna haki ya kujua au kukumbushwa manake juzi kati...
Baada ya sintofahamu iliotokea siku ya jumamosi tarehe 8 palipo kua na mchezo mkubwa wa mpira wa miguu Simba vs Yanga,
katika nchi ya Tanzania na Africa kwa ujumla baada ya mechi iyo kuota mbawa pasipo kua na sababu maalumu.
Kichekesho kikubwa ni hiki kuludisha pesa kwa waliokata tiketi ivi huu...
Kufuatia kadhia ya kufuta mechi ya simba vs yanga madhara yake ni makubwa.
Tumeua ari ya wanamichezo
Kuna mashabiki hawataenda tena viwanjani
Kuna mashabiki wameamua kuachana kabisa na habari za mpira wa tanzania
Hatuwezi tena kupata wadhamini wa maana kwa ubabaishaji huu wa TFF & Co.
Kwa...
1. Kulikuwa na Tishio la Kiusalama (Ugaidi )
2. Taratibu za Kiafya kuhusiana na Janga la CORONA hazikuzingatiwa kwa Mashabiki
3. Mfumo wa Umeme wa Uwanjani (kwa Mkapa) ulikuwa si mzuri hivyo ungehatarisha Amani ya Uwanja kama ungezimika.
Na Watanzania wote tutawaelewa tu.
Kila mtu anadai mechi ya Simba vs YANGA ya tarehe 8/5/2021 iliahirishwa.wajitokeze hadharani watujibu yafuatayo
1: Nani aliahirisha?
2: Kwanini iliahirishwa?
My take: Mechi ya jana Yanga aligomea kucheza so tusubiri majibu ya TFF na Wizara
Wakuu Habari za saizi.
Aibu ya jana mechi kuahirishwa aisee inaonesha viongozi wetu hawana weredi kwenye kuongoza mpira ndio maana miaka yote soka letu lipo pale pale tu.
kwenye taarifa yao hapo sijaona sababu zaidi ya kusema tu imepokea kutoka kwa wizara,nini kilikuwa kina fichwa hapo...
Toka sekeseke la kuvurugika kwa mchezo wa watani wa Jadi,Wizara ya michezo imekuwa bubu licha ya TFF kueleza kuwa ilipokea maelekezo ya kubadilisha muda toka Wizarani. Kuna usemi kwamba "If you hide the truth people will create their truth". Sasa kuna uvumi mwingi na kila mtu anaongea lake...
Pamoja na kufanya vizuri kwenye champions league bado hofu ya Simba inabaki kwa Yanga kuliko timu yeyote ile, ukweli ndio huo na hili tunaliona haswa kupitia hata washabiki wake huku mitaani.
Tofauti na Yanga, Yanga timu zote zipo kwenye level moja na kupewa heshima sawa na wote ila si kuhofia...
Siku zinazidi kuchanja mbuga kuelekea pambano la kukata na shoka Kama sio Mundu Kati ya Watani wa Jadi Katika uwanja wa Benjamini Mkapa.Mchezo huo utachezwa majira ya saa 11:00 Jioni
Kuelekea Mchezo huo ,Japo kivyovyote Kama tunavyojua Derby siku zote hua haingalii saaana performance ya Timu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.