simba

  1. Kwa sasa Yanga tunasubiria baadhi ya wachezaji waachwe Simba tuwachukue

    Sioni kama tunatafuta mbadala ya hawa group stage failure. Wanasubiri tu waje kushindana na teams kama GOPCO waoneshe ufundi wao. Na Singida big stars, Ihefu, na JKT au DODOMA JIJI. Huku tunategemea Simba ikiacha au ikionesha little interest kwa wachezaji flani ndo tukabebe. Kwani uongo? Makapi...
  2. Nadhani Simba wana mtu wao kule ndani CAF. Sielewi hizi takwimu, ina maana Eng. Hersi kashindwa kuipandisha Yanga?

    Wadau nmeikuta tena hii sehemu. Ina maana Hersi anashindwa kupenetrate kule ndani kuipandisha Yanga? Yaani Simba wapo Shirikisho. Bado wanapigiwa promo na kukuzwa kila sehemu? Why? Kwa nini?
  3. Wakili Madeleka ukipeleka mahakamani suala la uraia wa wachezaji SBS Usisahau Kibu wa Simba

    Wakili Madeleka ametangaza Nia yake kumpeleka pingamiza mahakama ya uraia wa wachezaji 4 wa Singida Black Stars ambao walipewa uraia wa Kimagumashi Nakukumbusha Madeleka huu uhuni watangulizi wake ni Simba na hapa Singida waliiga Kibu anadai alikuwa nchini Toka zamani mwaka 1998, lakini Kibu...
  4. Nawaza hali ya "Mama Abdul" kwa sasa Baada ya Simba kupata Usukani

    Uje wekwa mdahalo wa Lissu Simba na Mama Abdul tupime IQ zao. Nani ana uelewa. Kisha baada ya hapo tuamue tu nani anafaa bila kutumia gharama kubwa kwenye uchaguzi.
  5. Nani anamlipa Eddo Kumwembe kubwabwaja dhidi ya Simba Sc?

    Vitu vya kuchambua vipo vingi, kama umeshindwa kuchambua soka nenda kachambue mchele
  6. Rais wa Yanga SC Injinia Hersi Said jifunze Ustaarabu na una mengi ya Kujifunza kutoka kwa Viongozi wa Simba SC

    Umetoka Uwanjani na kama kawaida Waandishi wa Habari wanakufuata Kukuhoji unawatisha kwa Kuwaangalia kwa Macho makali huku Unazuga unakunywa Maji wakati hata Kiu chenyewe ulikuwa huna. Na kuonyesha Jeuri hukutaka Kuzungumza na ukaingia haraka Garini na Kundoka. Sijawahi kumuona Kiongozi yoyote...
  7. Tathmini ya wapinzani watatu watarajiwa wa Simba hatua ya robo fainali CAF Shirikisho

    Katika hatua ya robo fainali ya mashindano ya CAF Shirikisho, Simba enaenda kukutana na timu mojawapo kati ya hizi tatu, Stellenbosch ya Afrika Kusini, ASEC Mimosas ya Ivory Coast na Al Masry ya Misri. Hii ni tathmini yangu fupi ya timu hizi tatu na aina ya upinzani ambao Simba iutegemee. AL...
  8. Dj wa JamiiForums tafadhali Sisi wana Simba SC tulioko hapa JamiiForums tunakuomba utuwekee ule Wimbo wenye Kiitikio cha Wivuuuuuuu........Wivuuuuuuuu

    Nitafurahi sana kwani kwa Kipindi hiki huo Wimbo unavutia sana Kuuimba hasa ukizingatia anayeona Wivu baada ya Wiki Moja na Nusu ijayo atakuwa Mkoani NBC Premier League halafu yule Mkali wa International Games and Competitions akiwa zake ama Afrika Kusini au Ivory Coast akiwa busy Kuwatafutia...
  9. Salamu za Rais wa Simba SC, Mohammed Dewji baada ya kufuzu hatua ya robo fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika.

    Pokeeni salamu na shukrani
  10. Ni aibu Kwa timu kama Simba kutamba na mashindano ya shirikisho

    Mashindano madogo ya Shirikisho ambayo CAF ilitaka kuyafuta Kwa kutoona tija Yake, Leo mtani ndo anatamba nayo Mashindano ambayo mwaka huu alishiriki Coast union, Leo mtani ndo anatamba nayo Hii hatua ya robo Namungo na Biashara united zilifika, Leo mtani ndo anatamba nayo Haya mashindano...
  11. W

    Wakati kocha wa Yanga anasingizia ligi ya Tanzania haina ushindani baada ya kutolewa makundi, Simba yupo Nafasi ya sita CAF Ranking,

    Orodha ya vilabu bora africa baada ya hatua ya makundi
  12. Simba atakutana na zamalek robo fainali

    Huu ndio ukweli mchungu mbumbumbu fc wanaenda kuaga mashindano haya ya looser kama kawaida Yao Kwa aibu ya mwaka ambapo itakutana na kichapo Cha mbwa Koko kutoka Kwa wababe Hawa kutoka misri kinachosikitisha mbumbumbu wataaibika kwenye kombe la kina mama
  13. N

    Uzalendo kwanza:Tunaomba 'CAF' wairuhusu Simba iwape Yanga alama mbili ili wafuzu kuingia robo fainali!

    Habari wana jukwaa... Kwa heshima na taadhima tunaliomba shirikisho linalosimamia mpira wa miguu Afrika 'CAF' waturuhusu tuwape utopolo alama mbili Ili wafuzu hatua ya robo fainali. Yanga atakuwa na jumla ya alama kumi ambazo zitaiwezesha timu hiyo kushika nafasi ya pili kwenye msimamo wa...
  14. M

    Simba tupeleke kileleni leo, inshaallah

    Ewe mwenyezi mungu, muumba mbingu na ardhi, mwenye majina tisini na Tisa, ulisema niombeni nitawapa, sisi tunakuomba utujaalie ushindi leo uwanja wa Taifa dhidi rangi ya mitume. Sisi sio wale waliokukufuru na kudiriki kusema kuwa wana uwezo wa kucheza na shetani au malaika, sisi ni waja wako...
  15. Tunapolipa team ziikazie Simba. Tunawasadia Simba zaidi kujinoa na Wachezaji wetu kulegea. Saed Ramovic ameongea

    Nliwahi waambia wenzangu kwenye group letu la Wa Kimataifa kuwa sawa tunatoa bakshishi wapinzani wa Tz wawabanie sana Simba. Simba wapate ugumu. Hii inawanoa Simba sana. Simba wanapata ushindi kwa mbinde kila match kwao ngumu. Hapo wanajifunza mbinu mbalimbali. Sisi kuna matches tukicheza...
  16. Mbona hatumuoni shabiki mwenzetu wa Simba bwana Mchome tukifurahi nae baada ya Yanga kutolewa Ccl na Simba kuingia Robo fainali CCC

    Imekua ni kawaida kwa huyu bwana Mchome kutoa hisia zake hasa baada ya mechi za Simba na Yanga kumalizika na kutoa madhaifu ya timu ya Simba huku akiwa amevaa jezi ya Simba na kujiita kwamba yeye ni mwana Simba Sasa tulitegemea tufurahi nae shabiki mwenzetu wa Simba baada ya Yanga kutolewa CAF...
  17. P

    FT: CAFCC: Simba SC 2-0 CS Constantine | Estadio Benjamin Mkapa | 19.01.2025

    Wawakilishi wa Tanzania kwenye Kombe la Shirikisho barani Africa, Simba SC leo wataingia uwanjani kupambana na CS Constantine kutokea Algeria kwenye mechi ya mwisho ya makundi Mechi hiyo ni muhimu kwa timu zote mbili kwani ndio itakayoamua nani ataongoza kundi lao. CS Constantine wapo nafasi ya...
  18. Simba ni mwakarobo, je Yanga ni mwaka?

    Simba ni mwakarobo, je yanga ni mwaka.....? Tusaidianeni tuwapatie jina hawa wazee wa four figure na calculator.
  19. Aliyefikiria kupeleka mechi ya Simba vs Constantine uwanja wa Mwembeyanga alifikiria mbali sana

    Huyu jiniasi aliyefikiria kwenda kuweka screen ya mechi ya Simba vs Constantine uwanja wa Mwembeyanga ujiniasi wake ni levo za kina Newton na Einstein, tumlinde kwa wivu mkuu sana. Uto tumekuja kwenu kuwaonyesha siyo tu jinsi ya kwenda robo fainali ukiwa na mechi moja mkononi, lakini pia jinsi...
  20. Fatma Dewji awapelewa Mashabiki wa Simba Mwembe Yanga

    Tajiri ametoa ofa ya kuwapeleka wana simba wote kutazama mechi yao ya mwisho kwenye TV screen kubwa huko Mwembe Yanga; Ingependeza sana angewapeleka Mwembe Simba https://www.youtube.com/watch?v=s3hCZxEz0kE
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…