Hawa makocha baada ya kupigwa na Yanga walitimuliwa wote Kwa nyakati tofauti, hadi Leo hawajulikani wapo wapi? Labda wapi makwao wakilea wajukuu
Yaani hao makocha hawana hadhi hata ya kufundisha championship
Yanga ndo timu inawapa platform coaches, wanakuja Yanga wanapata jina na kuaminiwa na...
Uongozi wa Klabu ya Simba Pamoja na wachezaji wamehudhuria Mkutano wa 18 wa Bunge leo tarehe 4 Februari, 2025, jijini Dodoma ambapo wapo jijini humo wakiwa wameweka kambi ili kuikabili Fountain Gate tarehe 6 Februari, 2025, shangwe nyingi zimesikika bungeni wakati wekundu hao wakitambulishwa na...
Kwa mechi ya Jana na Tabora na mechi iliyopita na CS Constantine inaonekana kabisa kuna marekebisho makubwa Sana yanatakiwa kufanyika wakati Simba inajenga timu.
Kwanza wachezaji waongeze umakini kwenye kumalizia mipira ya mwisho ili yale magoli wanayokosa kwenye Kila mechi wafunge.
Naamini...
Timu iko nafasi ya 5 sijui ya 6 kwa orodha za CAF, Orodha za dunia haikosi ya 100 bora
Kuna vitimu havijulikani hata CAF na hata ukilazimisha Rank zitaangukia 1000+
Ila ukisikia tambo zao mwezi mmoja kabla ya mechi unaogipa na unaweza kupata stroke.
Simba wao kimyaaa wanadai wanajenga timu...
Tuweke Ushabiki kando.
Hii ligi yetu inaelekea wapi.
Timu za Arsenal na Manchester City tunazozifahamu wengi wetu. Ni timu zilizo kwny nafasi za juu kwenye ligi ya Uingereza.
Ni timu zilizo na falsafa ya kuchezea na kumiliki mpira wakati mwingi.
Sasa Inakuwaje timu hizo hadi leo hii zimepewa...
Wote tumeshuhudia mechi ya ovyo ya upangaji matokeo
Watanzania wote tungeshangaa kama matokeo yangekuwa tofauti na haya
Yaani Rage mlezi wa Tabora United ambaye ndo alikuwa Mwenyekiti pale Simba na alipata kuwaita mashabiki wa Simba mbumbumbu
Na waamzinwakafanya Yao
Wacha Sasa nitazame...
Kiboko ya Simba koko ni Yanga... Simba watapiga piga kelele...waambie Yanga huyoooo.... Wanaweka mkia makalioni wanalala mbele. Wepesi kama kamasi za kichanga.
Wacha washinde match zoooote. Watakuja tema points 3 kwa sisi wakali wao. Wakali wa hizi kazi. Mi nawacheck....nasikitika tu maana...
Tabora siku zote wanazocheza na Simba uwa wanacheza kama ni timu ya daraja la 4, lakini wakikutana na timu nyingine huwa wanakuwa Tabora wenyewe
Huwezi kusikia kelele za GSM anaharibu ligi na match fixing kwenye mechi wanazopata ushindi wa mipango mipango, but wakipigwa wengine utasikia...
Somo la uzalendo limekuwa gumu sana hapa kwetu ,wenzetu huko epl na ulaya yote kwa ujumla timu ya nyumbani inapocheza hata na timu kubwa unayoishabikia uzalendo ni kuvaa jezi ya timu ya nyumbani ,skafu za timu ya nyumbani kuishangilia timu yenu ! Hakuna faida yoyote wakayooipata tabora ikiwa...
Sioni....kila nikitizama naona leo Mkia lazima achapwe. Tabora United wamemaliza mchezo na sasa wanaenda tu kukamilisha ratiba mzee saidi mitangano hongera sana.
Hujawahi kutuangusha kamwe.ushauri wako umefanyiwa kazi na mkia wamejaa kwenye mfumo. Leo rasmi yanga tunajikita kileleni na...
Kwanza Tabora wachezaji muhimu hakuna kama kawaida yao.
Referee ni yule yule Rose Mhando
Hawana fitness ya kueleweka
Rage yupo kwenye kamati kuu
Hata wakibana vipi dk za fidaa ata zifike 150+ patawekwa tuta na watafungwa
Ni hayo tuu mods naomba mnitimizie nilichoomba
Hii mtaani tusema
"Utaoga lakini mjini huendi"
Yaani Simba atashinda dhidi ya shoga aje Tabora United ila ubingwa atausilikizia redioni
Yanga mkakatu wetu ni kuwafanya mfurahi kipindi hiki ili muache lawama Kwa uwekezaji wa GSM na pia mmuache Mangungu na Mo wale keki Yao hapo Msimbazi
Tuna...
Ubaya Ubwela.
Tabora United wakiwa dimba la nyumbani la kumbukumbu ya Ali Hassan Mwinyi watawaalika Simba katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC
Ikumbukwe katkla mchezo wa kwanza Simba alimkung’uta Tabora 3-0, je Tabora watalipa kisasi?
Tabora United wamehaidiwa Milioni 50 endapo watamfunga...
SIKU YA MECHI KALI.
MCHEZO: Ligi Kuu Tz Bara NBC Premier League
Mwenyeji : Tabora United
Mgeni : Simba Sc
Uwanja : Ali Hassan Mwinyi, Tabora
Muda : Saa 10 Jioni.
VIKOSI VYA LEO
Game On
3' Tabora 0-0 Simba
6' Simba wanapata kona, inapigwa kona na Kibu, haileti madhara yoyote kwa nyuki
12'...
Huwa tunajiuliza kwanini Tatu Malogo, Amina Kyando hawa mabinti Huwa wanapewa mechi za Simba?
Licha ya kufanya makosa ya kujirudia lakini Huwa bodi ya ligi haikomi kuwapa michezo ya Simba
Hawa Wanachama watiifu wa Simba sports club
Pia Mzee wetu Rage japo aliwapa jina zuri Wanachama wa Simba...
Imeripotiwa kuwa Tabora United imekosa kiasi cha million 20 ili kulipia vibali vya wachezaji wa kigeni.
Lakini tukumbuke Mkuu wa mkoa wa Tabora ametoa ahadi ya million 50 timu hiyo ikiifunga Simba.
Hiyo ahadi ya Mkuu wa mkoa wa Tabora ni zuga tu, kama ana million 50 kwanini asiwape Wakamilishe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.