Kama mmoja wa Taifa na Bara ambalo limekuwa marginalized kwa kutumia mabavu hapo kabla na mpaka sasa hivi kwa hila / ujanja na ulafi wa viongozi wetu ninafurahia kinachotokea....
Nina uhakika hata Trump anachofanya anaelewa detriment kwa taifa lake in long term ila hajali (ni populist na mpenda...
Kwahiyo wala msipoteze muda wenu kusubiria Matokeo yao ya Kesho au Keshokutwa hapo Mwenge Kwao kwani si tu kuwa Watafungwa bali Watafungwa nyingi sana.
Kuna wakati utamsikia Mtu anakwambia Tanzania kuna Washabiki wengi wa mpira wa miguu,hii si kweli hata kidogo bali Tanzania kuna Usimba na Uyanga usiohitaji hata kushabikia mpira wa miguu au soka.Kwa hali hii ningeshauri kufanyike ubunifu zaidi wa mapato kupitia utajiri huu wa wafuasi...
Hili Jambo linashangaza sana, Kuna namna fulani ya kimazingira haijakaa sawa. JKT pia ilikuwa hivihivi, Sasa ni Dodoma Jiji, Pia kuna mazingira ya timu bora mfano Tabora utd kupata majeraha ya wachezaji muhimu pale wanapokutana na hii timu.
Poleni Wachezaji wa Dodoma Jiji
Mchezo wa Simba Sports Club dhidi ya Dodoma JIJI FC hautachezwa tena Februari 15, baada ya leo kikosi cha Dodoma JIJI FC kurudi nyumbani kwao Dodoma.
Taarifa ya Bodi Ligi
Kipa wa Simba, Moussa Camara amefikisha clean sheet ya 14 kwenye ligi msimu huu akicheza mechi 18 akiendelea kuongoza.
Clean Sheet hizo zinalingana na zile ambazo Djigui Diarra wa Yanga alizomaliza nazo msimu uliopita alipocheza mechi 21, huku pia akibakisha moja kuzifikia za Ley Matampi...
Sasa hivi kinachoendelea katika ligi yetu sio kitu cha kawaida, sio tena uwezo wa kocha wala wachezaji, ndio maana unaona kocha anafukuzwa leo na kesho timu inapata matokeo kama kawaida, kocha wala sio ishu hapa bongo, ishu iko kwa wataalamu wetu wanaojua kuchomeka vijiti kwenye mageti, golini...
Kuna watu wanashupaza shingo zao hadi zinakaribia kukatika na wengine wanajipa matumaini hewa kuwa labla katimu kao ambako kanaenda kama gari bovu kanaweza kuchukua ubingwa wowote msimu huu. Huku ni kujipa magonjwa ya moyo na sonona bila sababu ya msingi. Niwatoe matumaini wale wote wenye...
Arajiga ni mwamzi Bora kabisa katika nchi yetu tukubali tukatae, akiamua mchezo kila mpenda mpira Huwa anaridhika kabisa na kuona haki imetendeka
Arajiga msimu huu pekee amechezesha mechi za Yanga 6 Yanga lakini hajapewa mchezo wowote wa Simba auamuwe.
Simba wamekuwa walipewa waamzi...
Zinarudi zote na zinaweza kuzidi,
Kocha mpya wa Yanga itamchukua muda mrefu kuingiza kikosi kwenye mfumo wake, Motivation ipo chini, wachezaji wamechanganyikiwa kubadilishwa makocha kila leo, Mindset za wachezaji wanajua kocha mpya anatimuliwa muda wowote.
Unahitaji akili za kawaida kabisa...
Kufanya kosa si Kosa bali kurudia Kosa ndiyo Kosa. Kesho tukiwaacheni kwa Moko Alama sahauni kwani tayari tumeshajipanga hadi Ubingwa.
Kudadadeki....!!!!!!!
Leo Azam fc- imekubali kipigo kutoka Kwa Pamba Jiji
Hiki kipigo kinamaanisha kuwa ametoa nafasi ya Simba kushika nafasi ya pili Kwa maana hiyo Simba hatacheza tena shirikisho msimu ujao
Karibu tena Simba CAFCL tokeni huko shirikisho kwenye mashindano ya akina mama
Kama unakumbuka sakata la Oktoba 25, 2023 la kukamatwa Makontena yenye jezi feki za klabu za Simba, Yanga, Azam na Timu ya taifa zilizoingia kimagendo nchini.
Wanahabari walikurupushwa usiku wakati wa ukamataji makontena hayo huku Afisa Habari wa Klabu ya Yanga Ally Kamwe akiwa mstari wa mbele...
Mliacha kuandaa timu,mkavalishwa madera ya kijani na njano rangi xa timu ya Chasambi
Sisi ni wekundu jamani rangi za matunda na mbogamboga wapi na wapi
Mashabiki wa Simba wamepaza Sauti na kuhoji kama michango iliyoitishwa na Meneja Habari wa klabu hiyo kama ililipwa kama lilivyokuwa kusudio
Kimsingi kama timu inashiriki mashindano ya CAF, timu hiyo ikitozea faini pesa hiyo Huwa inakatwa kwenye pesa ambayo wangelipwa, wala haina haja ya timu...
I salute you kinsmen.
Inabidi tu tukubali kuwa diarra ndio role model wa makipa wote nchini kwa sasa na baadaye.
Kama ilivyo kwa mchezaji fundi kuwahi kutokea Tanzania laudack Chasambi kukubali max ni role model wake why huyo tapeli camara asikubali kuwa diarra ni role model wake?
Ifike muda...
Droo ya hatua ya 32 Bora ya kombe la Shirikisho la CRDB (CRDB FEDERATION CUP) imewekwa wazi ambapo Mabingwa watetezi, Yanga Sc wamepangwa dhidi ya Wagosi wa Kaya, Coastal Union kwenye 32 Bora huku Simba Sc ikipangwa dhidi ya TMA Stars ya championship, huku Azam FC watacheza dhidi ya Mbeya City...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.