Kikosi cha Simba kimeondoka jijini Dar es Salaam leo asubuhi kuelekea jijini Arusha kwa ajili ya mchezo wa Ligi Kuu dhidi ya Coastal Union utakaopigwa keshokutwa Jumapili kwenye Uwanja wa Sheikh Amri Abeid.
Simba yenye pointi 51 inahitaji ushindi katika mchezo huo ili kuendelea kuipa upinzani...
Simba tukikosa ubingwa viongozi Wana kichaka Cha kujificha. Na tulivyo mapanganga viongozi watatuaminisha huu ujinga nasi tutaamini.
Kuna namna viongozi wetu wanatudharau sana na kutuona hamnazo. Ifike muda watuachie timu yetu
Hello!
Simba kama timu kubwa Africa ni lazima uchukuaji wake wa vikombe hasa vya ligi kuu viwe ni lazima angalau isipite miaka 3 bila kunyenyua ndoo. Lakini kwa trend hii ya kudondosha point kwenye mechi muhimu, suala la vikombe kwenda msimbazi linaweza kusubiliwa sana.
Mechi kati ya Simba na...
Nimesafiri kuvuka mikoa mitatu na Wilaya zaidi ya 5 kanda ya ziwa. Nilikuwa nimekaa mbele nikitathmini hali ya kisiasa na kiburudani njiani. Nilichogundua mawe ya msingi ya kuonyesha uwepo wa matawi ya Simba au Yanga ni mengi kuliko Ya Vyama vya siasa.
Najiuliza
Watu wamehamia kwenye burudani...
Kosa kubwa la Ahmed Ally ni ubinafsi na kulinda kibarua chake kuliko kupigania ubora wa timu...anatumia nguvu nyingi sana kushindana na kina Ally Kamwe na na akina Hashim Ibwe ili aonekane kama yeye ndo semaji namba1 wa mpira hapa nchini.Simba inahitaji wachezaii wake waambiwe ukweli kwasababu...
Huyu kipa kila mpira anaojaribu kuucheza na mguu unatinga kwenye nyavu, kwani simba hakuna kocha wa magolikipa? Eneo la goal keeping simba makipa wanafanya makosa yanayojirudia yanayoigharimu timu mara kwa mara, timu inatakiwa kushughulikia jambo hilo bila hivyo ubingwa utapeperuka tena
Kiungo wa Azam FC, Feisal Salum maarufu Fei Toto akiwa amevaa jezi ya Simba aliyobadilishana na Shomari Kapombe baada ya kumalizika kwa mechi ya Ligi Kuu Bara kwa sare ya mabao 2-2 katika Uwanja wa Benjamin Mkapa.
Jana kwa namna nilivyouangalia mpira, timu yetu katikati ilikuwa inakatika sana, kama wangekuwepo wale sungura huku Pacome, kule Max, kule Aziz, cjui Mzize au Dube Leo wengine tusingeamka majumbani kwetu na tungebakia mavyumbani kusikiliza nyimbo za Amapiano TU, kiukweli Azam walitukosa sana...
Simba SC VS Azam FC
| NBC Premier League
| Benjamin Mkapa
| 24 Februari, 2025
| Saa 1:00 Usiku.
Wafungaji wa magoli
Simba > Elie Mpanzu dakika, 25
Abdulrazak Hamza dakika, 76
Azam FC > Gibril Sillah. Dakika, 1
Zidane Sereri. Dakika,88
Huyu anafaa kuwa kocha wa viungo. Hana mbinu za maana uwanjani haswa timu ikielekea mechi ngumu na za kimataifa.
Sioni akimaliza siku 30 kuanzia Leo pale Msimbazi.
Tuache lawama wana lunyasi...
Kilichotokea jana ni tafsiri halisi ya ligi yenye ushindani...
Si hivyo tu, matokeo ya jana yanaondoa uvumi kuwa Azam hucheza kwa low intensity ili kuifaidisha Simba...
Binafsi najua hata Uto anaenda kukutana na moto wa Azam na ataangusha alama.
Nawapongeza Simba wana project nzuri, wameamini damu na wanacheza vyema
Coach Fadlu amekuwa coach Bora kabisa, amefanya rotation ya kikosi na kila mchezaji amempa nafasi
Mashabiki waache kuipa timu pressure ya ubingwa, naona level za kuwa bingwa Bado kidogo
Marekebisho
1. Shabalala akae...
Kalamu ya Leo 📝 | Simba SC Vs Azam FC
MZIZIMA DERBY 🔥! Simba na Azam wametupa mechi bora sana ✅! Fadlu David's Vs Rachid Taoussi 🔥
4-2-3-1 ya Simba in Build-up leo muda mwingi walicheza na 2-4-1-3(CBs then FBs wanacheza pembeni ya Ngoma na Kagoma then Ahoua juu yao kisha Kibu, Ateba na...
Ahlan wa sahalan.
Kwa hali aliyofikia beki wa kushoto wa Simba , tshabalala ni wazi kuwa haendani tena na falsafa ya mpira wa kasi wa Simba.
Ikiwa simba inahitaji kufika mbali kimataifa basi wanatakiwa watafute mabeki wapya kushoto na kulia ili kuifanya falsafa ya mwalimu Fadlu kuwa na nguvu...
#TANZIA: Shabiki wa Klabu ya Simba, Mjata Mjata, amefariki Dunia wakati akipatiwa matibabu mkoani Tanga. Mjata alikuwa mmoja wa wadau wa soka waliokuwa na mchango mkubwa katika kukuza mchezo wa soka, na hasa kupitia upendo wake kwa timu ya Simba SC.
Mjata Mjata ni miongoni mwa mashabiki...
Kama Kamati ya Saa 72 Imesema Ile kadi Nyekundu Ilikuwa Batili Unadhani Mwamuzi Alikuwa na Maana Gani Kutoa Kadi Nyekundu [emoji3480]
Maana makolo walibisha kuhusu kubwa na marefa
Jinsi Simba na Yanga zinavyoendeshwa kisiasa, hali ya uduni wa uchezaji na uhaba wa matokeo ya ushindi wanayokumbana nayo Manchester United na Manchester city, ingekuwa Kwa timu hizo za Kariakoo sijui ingekuwaje🤔
Mawaziri mpaka Rais angeingilia kati. Simba na Yanga zinaua Mpira wa Tanzania kwa...
Mashabiki wa Simba Mashabiki Simba nawaita Tena Simba jiandaen kalieni kusema Yanga ananunua match ila mnajisahau kwenye hili.
Muulizeni Mganga wenu hili kama analifanyia kazi?
Nenden mkajikumbushe games 5 za nyuma za Yanga kabla hajaja kuwapiga Zile 5 alikua anashinda Kwa goli ngapi ngapi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.