ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 25,030
- 61,298
hii stori nimekuwa nikizisikia mara nyingi lakini mpaka leo sijawahi kuamini moja kwa moja. Simba ni mnyama mwenye nguvu, kasi, makucha na meno ya kutisha. Hata wawindaji wa kisasa wenye bunduki humheshimu sana.
Naambiwa kwamba zamani au mpaka sasa kulikuwa na baadhi ya Wamasai ambao shujaa mmoja angeweza kwenda kumkabili simba uso kwa uso akiwa na mkuki au na sime tu. Kwa upande wangu, kama ni kumuua simba kama kundi la morani 5 au 6 sawa, hilo linaingia akilini. Lakini simulizi za mtu mmoja kwenda kupambana na simba mwenyewe na kutoka salama, kwangu zinaonekana kama kamba tulipigwa labda kawe kasimba katoto..