Hatumtaki Rio Ferdinand. Amelishwa maneno mengi kuhusu Simba. Kwa haya anayosema tutaonana wabaya

Hatumtaki Rio Ferdinand. Amelishwa maneno mengi kuhusu Simba. Kwa haya anayosema tutaonana wabaya

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2013
Posts
14,762
Reaction score
32,386
Ijulikane kama mmemleta kwa ajili ya Simba au Tanzania. Maana naona ujinga mwingi sana unaendelea. Anasemaje anataka aonane na wachezaji wa Simba? Ili iweje? Itokeeje? Ikaaeje?

Ni upuuzi hata kumwonesha goal la Chama. Kwani Ligi hii limefungwa goal moja tu? Serikali. Iangalie jambo hili tusije msemea mbovu mkatuona sisi wabaya.

Haya mambo Mwatafute watu ubaya mje kusema.... Oooooh.... Sijui nini. Kama mmemleta kwa ajili ya Simba mseme. Lakini kama kwa Taifa iwe Kitaifa. Msilete mambo ya kiduanz tafadhali.
 
Sasa ukweli tofauti na hayo ya simba huyo mtu ana faida gani kwa taifa au aliyemhitaji ni nani na kwa lengo gani. Nakumbuka mwaka flan wakenya walikuja kumuita muigizaji wa nigeria (nimemsahau jina) huko na ni baada ya wananchi mashabiki kuomba lakin huyo nani cjui aliyemhitaji au mashabikh wake n akina nani. Uzuri wabongo hawashoboki labda muwanunue kwenda kumuona huyo mtu wenu
 
Bado hamjasema...

Tunapiga kiunoni kwanza.. alafu tunamalizia kichwani.
 
Minnah shabiki yetu, so lazima acheze na fursa. Simba to the world na goli linaenda tuzo za dunia
 
Back
Top Bottom