I salute you kinsmen.
Mjue mimi kama mchambuzi nguli kabisa hapa JF nimekuwa nikishangazwa na tabia ya ndugu zangu mashabiki wa Simba sc.!
Wao wana tabia za ajabu sana na zinashangaza sana. Leo hii wamejifanya marafiki wa mzize ..!
Sote tunajua mzize amepata ofa kutoka wydad zaidi ya 3 na...
Viongozi wa hii taasisi wameanzisha kampeni ya utapeli ambayo sisi kama raia wema tunaomba serikali yetu tukufu iingilie kati sababu raia masikini wanakamuliwa bila kujitambua yaani wanampa tajiri pesa unaambiwa wanachangisha milion 100 ila je inayozidi inaenda wapi kama sio Kwa matapeli ambao...
Jumapili mnyama anakwenda kushika nafasi ya kwanza katika kundi, mechi hiyo haitakuwa na mashabiki kwa sababu ambazo tayari zimeshatajwa na viongozi wetu.
Nawasihi sana mashabiki wa Simba wote twendeni Mwembe Yanga na wale ambao hamtakuwa na nafasi tubakie nyumbani kumwangalia Elia Mpanzu...
I salute you kinsmen.
Usajiri ule wa dirisha kubwa na hili dogo team mbalimbali zimesajili ikiwemo simba na yanga .
Usajili ni patapotea ila kwa kiasi kikubwa usajili ni akili ya viongozi na utashi wao wasiingie chaka.
Simba ndiyo team inayoongoza kupata hasara kwa wachezaji iliowaleta msimu...
Tajiri dewj usione aibu kutuomba tuongezee tulichonacho ili timu isajili vizuri tuko tayari kuichangia timu
Hizo kelele na kebehi za mashabiki wa Yanga usizingatie sisi tuko tayari kuichangia timu yetu kipenzi simba ili isonge mbele zaidi ya ilipo sasa
Tuko tayari kuipigania timu yetu simba...
Kuna Timu moja nina uhakika wangekumbana na hili Rungu la CAF kama Wangesema wachangishane ili wakalipe Faini huko CAF kwa Mashabiki wao walivyo Masikini na Wabahili (Malugume) nina uhakika hadi hivi sasa wangekuwa na ama Shilingi Mia Tano (Jero) ya Sarafu au Elfu Moja (Buku) ya Karatasi.
Kuna bakuli linaendelea kwenye Klabu ya Simba ambapo Wajanja ambao ni Viongozi wa Simba wameona sehemu ya kupiga pesa kwa Mashabiki wao ambapo sasa inachangishwa million 100 na hapo Sasa mpaka muda huu imeshapita hicho kiasi ila kuna watu bado wanaendelea kupigwa eti inajiita Klabu kubwa inakosa...
Kuna watu wanajifanya wanaipenda Simba lakini hadi hawajachangia hata sumni halafu wao ndio wanajiona mastaa wa kuisemea Simba, ukiwaona mitaani ama uwanjani wanajifanya wao ndio Simba kweli kweli lakini kwenye kuchangia timu wako mbaali.
Timu yetu imewasilisha hoja ya kuchangia adhabu...
Hili nitalielezea kwa ufupi sana ila naomba ujumbe uwafikie wahusika na wawajibike.
Kuna haka kamtindo na katabia ka baadhi ya wanachama wa Simba, nimewahesabu wawili mpaka sasa ambao wana mtindo wa kujitokeza na kutoa taarifa za klabu ya Simba kabla ya taarifa rasmi kutolewa na klabu yenyewe...
Bakuli lishaanza kutembezwa. Mlivyokuwa mnatoa viti mnasema Ubaya Ubwela[emoji23][emoji23][emoji23]Haya toeni pesa. Na Zile za Uwanja zipo wapi kwanza?
Makolo waomba kuchangia faini ya 100 million Ili kulipa faini Baada ya kuvunja viti [emoji23][emoji23]
NB: yawezekana hata sio makolo...
Beki wa Yanga, Kouassi Attohoula Yao atakuwa nje ya uwanja kwa kipindi kisichopungua wiki nne na kisichozidi wiki sita baada ya kufanyiwa upasuaji wa goti na enka.
Hayo yamebainishwa na Ofisa Habari wa klabu hiyo, Ally Kamwe wakati akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam.
Yao...
Sijui ni kwanini.
Yaani hata iwe mitaani ukisikia familia imegombana ujue chanzo ni jungu lililotengenezwa na jirani shabiki wa Simba.
Iwe ni kazini/ofisini ukiona ghafla Boss anakuchukia ujue tayari kuna Kolo katengeneza jungu.
Jamaa huwa hawapendi kuona mwingine akistawi. Na ndio maana...
Ndiyo, adhabu ambayo CAF wameipiga Simba ikiwepo ya pesa na kutoingiza mashabiki inauma na hakuna mwanasimba aliyeifurahia.
Ni muhimu tukakumbuka kuwa Simba si timu ya kwanza kupewa adhabu hiyo. Wydad, Al Ahly, Esperance na USMA, ni miamba wengine wa Africa wamewahi kupewa adhabu ya namna hiyo...
Beki wa kimataifa Che Malone kupitia ukurasa wake wa Instagram anewaomba radhi mashabiki wa Simba na wadau wa soka kutokana na makosa aliyoyafanya ikiwemo lililoigharimu Simba January 13, 2024 nchini Angola dhidi ya Bravos , kwenye mchezo huo Simba alipata sare ya moja moja na kuipa nafasi ya...
Katika Mtandao wa Sokavibe6 ameonekana Kocha Ibenge akiwa na Ali Kamwe na Privaldinho kutoka Yanga SC akisema kuwa Simba SC huwa wanaweka Dawa Vyumbani kwa Mkapa ili kuzifunga Timu za Kigeni na kwamba Yanga SC huwa hawana huo Utaratibu.
Huu ni Udhalilishaji mkubwa na kutaka tu kuichafua Klabu...
Yule dogo mfupi Ana tege hivi kama Feruzi Telu au Triple C, aisee dogo alitusumbua sana yule alipokuwa akishika mpira, kwanza Ana control, kana nguvu za miguu halafu kanajua kurusha pasi ndefu, yule dogo mtu sanaaaaaa.
Ile mali viongozi wangu msiiache, mido yake ya chini ni ya kushambulia mnoo
Heri ya Siku ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Ni jumapili tulivu, Mnyama Mkubwa Mwituni, Simba Sports atashuka dimbani dhidi ya wenyeji wake Bravos ya Angola katika mchezo wa Kombe la Shirikisho barani Afrika.
Katika mchezo wa kwanza, Simba akiwa nyumbani aliibuka na ushindi wa 1-0, je ataendeleza...
SIMBA WA MIZIMU
Siku moja nilikwenda katika kijiji kimoja kilichokuwa kikishambuliwa na ndovu mara kwa mara. Nilipokuwa nikipitia njiani, nilimwona mtu mmoja juu ya dungu lake akiezeka paa la dungu kwa makuti ya mkoche. Nilipopita pale chini la dungu, yule mtu akanitazama kisha akacheka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.