Kuna watu waliokatia tamaa maisha, wikendi hii wakavalisha wenzao Sanda ili kuichafua image ya Simba iliyojengwa kwa muda mrefu kwa machozi, jasho na damu.
Sasa hivi hao watu wanapiga kelele kutaka Simba ifungiwe kuingiza mashabiki, wanadhani CAF ni shangazi zao. Watu wanachukulia mambo...
Kwa watu wenye weledi wa mpira ni kuwa simba ana kibarua kigumu sana cha kufuzu mbele ya hili grupo lake kutokana na namna wanavyocheza na wapinzani wao sio wanyonge. Ili simba apite inabidi amstopishe bravo ugenini na kitu kigumu kwa wale jamaa mana wameshaona simba ni wepesi kwa hiyo itakuwa...
Klabu ya Simba inapenda kutoa taarifa kwa umma kuwa;
Tarehe 15 Desemba 2024, katika mchezo wake wa hatua ya makundi ya kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya CS Sfaxien ya Tunisia katika uwanja wa Benjamin Mkapa, zilizuka ghasia zilizoanzishwa na timu pinzani licha ya kupokelewa na kupewa...
Ulevi, bangi na elimu ya kukalilishwa ni tatizo kubwa kwa nchi yetu.
Haiwezekani timu imeshinda halafu kuna watanzania wachache wapuuzi wanakimbilia kupigana na wageni tena kwa kung'oa viti ambavyo ni mali yao wenyewe.
Mimi ni mwanasimba ninae miliki kadi ya uanachama ila upuuzi kama huu...
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Profesa Palamaganda Kabudi amemuagiza Katibu Mkuu wa Wizara hiyo kuwaandikia barua klabu ya Simba kuhusu ung'olewaji wa viti uliofanyika katika Uwanja wa Benjamin Mkapa jana.
Kupitia taarifa iliyotolewa na Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano serikalini...
Nimejaribu kupitia sheria kuhusu dakika za nyongeza lakini ki uharisia na sheria refa yupo sahihi kwa 100%
.someni na nyie kanuni za fifa nimeweka hapa chini
Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam limeripoti fujo zilizotokea tarehe 15 Desemba, 2024, katika Uwanja wa Benjamin Mkapa wakati wa mechi ya Kombe la Shirikisho Afrika kati ya Simba SC na CS Sfaxien.
Mashabiki wa CS Sfaxien walikasirishwa na mwamuzi kuongeza dakika saba, hali iliyopelekea...
baada
caf confederation cup
cs sfaxien
dhidi
jeshi
jeshi la polisi
kuvunja
mashabiki
mchezo
police
polisi
simbasimba sc
taarifa
tamko
tukio
uwanja wa mkapa
viti
vurugu
wengi
Mashabiki wa Simba wamefanya uharibifu mkubwa kwenye uwanja wa Taifa, baada ya mchezo kati ya Simba vs sc sFaxien
Hii imeleta picha mbaya mbele ya uso wa Kimataifa hasa Kwa watu waliostaarabika, kung'oa Viti na kurushia wageni raia wa Tunisia waliokuwa hawana siraha
Mashabiki hao wameng'oa...
Ngoma ngumu ; waangola wako vizuri sana kuliko mategemeo yetu, wako kwao na wanajua kutumiia uwanja wa kwao, hadi sasa washamtandika Constantine mabao 2 0 na wanashambulia kama nyuki, Bravos akimfunga Simba na Sfxien ameshafuzu tayari, na kwa namna anavyocheza uwezo huo anao, mechi moja tu...
1. Nafasi ya kiungo mshambuliaji no. 10 imeendelea kuwa ni tatizo kwa Simba, ni aibu timu kama Azam ina Feitoto halafu Simba haina mtu wa maana nafasi ile.
2. Simba inatakiwa ifanyie kazi eneo la pumzi kwa wachezaji , mara nyingi inataka kuanzia dk ya 60 nakuendelea.
3. Yusuph Kagoma ni kiungo...
Naendelea vyema na tabiri zangu na kuna watua mbao wananipigia kunishukuru kutokana na kufanikiwa katika kile ninachowapatia . nina ilimu ya Nyota hii nilijifunza kitambo kidogo. mara nyingi huitumia katika mambo yangu mbalimbali.
kinyota leo ni siku mbaya sana kwa Simba. na sioni kama kuna...
Kiongo Awesu Awesu anaanza leo, sambamba na Deborah Mavambo ambaye atazima na Fabrice Ngoma, juu wanacheza Lionel Ateba, Kibu Denis na Jean Charles Ahoua.
Chini kama kawaida hakuna mabadiliko ni Che Malone, Zimbwe, Kapombe na Hamza, Camara anasimama langoni.
Simba SC inakabiliwa na mwitikio mdogo wa mashabiki wake kuelekea mechi yao ya tatu ya Kundi A kwenye Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya CS Sfaxien, Jumapili Disemba 15,2024 katika dimba la Mkapa majira ya saa kumi jioni.
Takwimu za Uuzaji wa Tiketi Mechi ya Simba vs CS Sfaxien
Licha ya...
Kwa wajuzi wa Bati Kati ya Hizo Bati mbili ipi ni Bora kwa Ubora Tunaitaji kuchukua Moja wapo kati ya Hizo Campuni 2 Kwa ajiri ya Ujenzi, Kuna Ndugu Yangu ameniuliza kuhusu hilo, nimeishindwa kua na Jibu la Moja kwa Moja,
Mimi huwa natumia Bati Yote Yote itakayokuambele yengu natazama mfuko...
Inasikitisha Sana kwenye vijiwe vya kidigitali
Story ni Simba na yanga
Radio na tv ni kutangaza michezo na nyimbo chafu na ku promote makampuni ya betting( kamali)
Mijadala ya kitaifa hakuna hivi tutakuja kupata maendeleo kweli?
Mashindano ya shirikisho ya timu ndogo na hata hazijulikani
Tuseme tu ukweli nani anayeijua timu ya CS sFaxien inayocheza na Simba Jumamosi?
Hii timu kwenye ligi ya Tunisia ipo nafasi ya 6, sawa na Dodoma Jiji huku Tanzania
Timu kubwa Tunisia ni ES Tunis, Club Africain na Monastir lakini hili...
Leo Jumatano, Desemba 11, 2024, mapema katika kuendeleza hamasa za klabu ya Simba kuelekea mchezo dhidi ya CS Sfaxien ya nchini Tunisia, Jumapili Desemba 15, Meneja wa Habari na Mawasiliano wa klabu hiyo, Ahmed Ally, akiwa katika maeneo ya Tandika, tawi la Kapu la Magori, alitoa dongo kwa Yanga...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.