simba

  1. Mkalukungone mwamba

    Yanga, Simba na Azam zapata shavu Russia

    Klabu za Simba, Yanga na Azam zimepata fursa ya kucheza mechi za kirafiki na klabu za Ligi Kuu ya Russia, pamoja na kuweka kambi katika kipindi cha mapumziko ya ligi. Fursa hiyo imepatikana kutokana na ziara ya Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk Damas Ndumbaro nchini humo na alikutana na...
  2. Hance Mtanashati

    Zuchu bado ana safari ndefu sana kimuziki ,bado hajapata fan base ya kwake yeye kama yeye bila kumtegemea Simba

    Ukweli usemwe tu, Zuchu ni msanii mzuri na msanii mkubwa ila bado hajafika viwango vya kumuweka kama msanii mkubwa hapa nchini ukimlinganisha na wasanii wa kike wakubwa wa kizazi chochote kike, kilichopo na kilichopita. Kwa kizazi kilichopo ,Zuchu hamfikii hata kidogo Nandy , Nandy anaweza...
  3. Mtu Asiyejulikana

    CAG wa Usajili kwa Clubs za Simba na Yanga

    Tunapoelekea nusu ya msimu mimi Mkaguzi Mkuu wa Sirikali. USAJILI WA DUBE Wanachama waangalie jambo hili wakiwahoji viongozi wao. Hizo Milion 700 za kumnunua Dube alikula nani? Tunapoangalia katika misimu ambayo Dube amechezea Azam ni minne. Ambapo ameibuka na magoli jumla 32. Wastani wa magoli...
  4. Its Pancho

    Usajili wa mpanzu ni kichekesho na hauna tija kwa simba iliyojichokea..

    I salute you kinsmen. Kuna vichekesho vingi sana hapa nchini lakini hilj la usajilj wa garasa Mpanzu nalo lijjmuishwe. Huyu alisajiliwa kwa mihemko sana na bosi wetu gabachori aliingizwa chaka. Huko Belgium walimkataa kwa majaribio sababu ya umri wake mkubwa miaka 37 y ukweli. Inasemekana...
  5. Waufukweni

    Huyu streka refu kuliko goli, Steven Mukwala ndio tuseme anaipenda sana Simba au ni Ubishoo tu?

    Begi la Ubaya Ubwela kutoka kwa Star Boy, Steven Mukwala Streka refu kuliko gali akiwa safarini kwenda kuwakabili CS Constantine Disemba 8 huko Algeria.
  6. Waufukweni

    Simba SC kuondoka nchini Jumatano kwenda Algeria kwa mechi ya Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya CS Constantine

    Kikosi cha timu ya Simba SC kinatarajiwa kuondoka nchini Jumatano alfajiri (Disemba 4) kuelekea Algeria kwa ajili ya mchezo wao wa pili wa hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika. Akizungumza kuhusu safari hiyo, Afisa Habari na Mawasiliano wa klabu ya Simba SC, Ahmed Ally, amesema kuwa...
  7. Allen Kilewella

    Kwanini magoli kipa wengi wa Taifa stars hutokea Simba?

    Mara nyingi huwa hivyo kuwa makipa wengi wa Taifa Stars hutokea timu ya Simba ya Dar es salaam. Kitaalam hiyo hutokana na nini?
  8. S

    Naishauri Simba kukata rufaa kupinga uamuzi wa kupigwa faini ya milioni 5, uonevu ufike mwisho sasa

    Taarifa inasema Pamba imepigwa faini milioni 5 kwa kufanya vurugu, kwa kosa la maafisa wake kuingilia mazoezi ya klabu ya Simba siku moja kabla ya tarehe ya mchezo tajwa hapo juu katika uwanja wa CCM Kirumba Mwanza. Taarifa inasema pia walinzi wa Simba walisababisha vurugu pia kwa walinzi wake...
  9. Waufukweni

    Simba yapigwa faini ya TSh 5 milioni kwa kufanya vurugu Uwanja wa CCM Kirumba Mwanza

    Klabu ya Simba imetozwa faini ya Sh. 5,000,000 (milioni tano), kwa kosa la walinzi wake kufanya vurugu na kuvuja mlango na kioo cha dirisha la ofisi ya meneja msaidizi wa uwanja wa CCM Kirumba, wakilazimisha wa maofisa Pamba na wa Uwanja waliokuwa ndani ya ofisi hiyo kutoka nje wakati timu ya...
  10. Mwanadiplomasia Mahiri

    Yanga ilikosa Ubingwa wa Ligi Kuu mwaka 1988 ili tu amsaidie Simba isishuke daraja!

    Dar es Salaam, 1988 ▶️Waziri Mkuu na Makamu wa kwanza wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Joseph Sinde Warioba akimkabidhi tuzo ya Mchezaji bora chipukizi Ligi Kuu mwaka 1988, kiungo wa Yanga, Athumani Abdallah China. ▶️Katika msimu huo, Coastal Union ya Tanga iliibuka bingwa baada ya...
  11. R

    Hivi ndivyo Israel walivyomuua Hassan Nasrallah, simba aliyeisuka Hezbollah kwa miaka 30

    Ijumaa ya tarehe 27 September 2024, katikati ya makao makuu ya Hezbollah yaliyopo kwenye mtaa uitwao Danieh kwenye viunga vya jiji la Beirut nchini Lebanon: Kikao cha kimkakati kilikuwa kikiendelea katika chumba kilicho ardhini kwenye handaki mahali hapo. Chumba hiki kilikuwa chini umbali wa...
  12. M

    Ni bora Vijana Watanzania tungepigania Maslahi ya nchi yetu sababu huko kwenye kushabikia mpira muda wote hatujapa tija ya kutosha kwenye maisha yetu

    Licha ya sisi vijana kushabikia Simba na Yanga muda wowote bado hutujafanikiwa kutambulika kimataifa kama nchi ya Nigeria na nchi zingine za Afrika Magharibi na Kaskazini wanaofanya vizuri kwenye Soccer na pia hata kwenye kupigania mustakabali wa maisha yao hawapo nyuma. Bora hata jirani zetu...
  13. Metronidazole 400mg

    Deborah Fernandez ni mchezaji wa kawaida Sanaa, Simba Bado timu haijakaa vizuri tunajipa moyo tu

    Kwanza kabla ya yote namshukuru Mungu Huwa nikileta mada hapa jamii sports, kwa mara ya kwanza watu Huwa wanaichukulia tofauti ila baada ya mda ukweli unadhibitika!!. fuatilia mada zangu za humu jamii sports utanielewa. Sasa twendeni sambamba kwenye mada husika kama kichwa Cha habari hapo juu...
  14. mdukuzi

    Simba ina makipa sita(6) wote hao wa kazi gani?

    Camara Aishi Manula Ayubu Lakred Husein Abel Ally Feruz Ally Salim katoro Hii huenda ikawa rekodi ya aina yake,kwa nini wasibaki wanne tu mkasajili wachezaji wa ndani
  15. JanguKamaJangu

    Raha ya ushindi wa Simba dhidi ya Bravos, mashabiki waingia mtaani usiku Pemba kusherekea

    Ushindi wa soka raha, hawa ni mashabiki wa Timu ya Simba, wakisheherekea ushindi wa timu yao dhidi ya Bravos do Maquis ya Angola, jana jioni (Novemba 27, 2024). Sherehe hizo zimefanyika katika Mitaa ya Machomanne, Wilaya ya Chake Chake, Pemba. Katika mchezo huo, goli pekee la Jean Charles...
  16. Its Pancho

    Kwa moto huu wa FC Constantine, Simba wajiandae kugongwa nyingi sana

    I salute you kinsmen Hawa Waarabu hapa wamewasha moto wa hatari sana kiasi kwamba naogopa team ya simba itaenda kutia aibu kubwa sana taifa siku zijazo maana wapo kundi moja. Kutokana na tia maji tia maji ya Simba kama walivyocheza leo basi taifa linakwenda kupata aibu kubwa kuwahi kutokea week...
  17. L

    Kama Kocha Fahdu analipwa mamilioni kwa mpira huu basi viongozi wa Simba mjitafakari sana

    Sijaona uwezo wa kocha kabisa na kunifanya niamini kweli Simba inae kocha, tulicheza na Pamba tukashambuliwa hivi hivi Kama sio uhodari wa kipa Camara Leo Bravos alikuwa anatudhalilisha. Kwanza Fahdu hajui kupanga kikosi kabisa zaidi ya kubahatisha, pili timu inacheza kwa kiwango cha chini mno...
  18. Waufukweni

    Wachezaji wa Bravos Wavuruga Mazoezi ya Simba kabla ya mechi, wakitaka kutikisa Nyavu

    Ubaya Ubwela kama unamgeukia Mnyama huko Lupaso Mechi haijaanza ila Wachezaji wa BRAVOS wakawa wanalazimisha kwenda kutingisha nyavu za lango la Simba, imebidi Stewards waingie pia kuwatoa maana walienda kuingilia hadi program ya Makipa wa Simba waliyokuwa wanaifanya chini ya Kocha wa Makipa.
  19. mdukuzi

    Simba akili kubwa, kwa makusudi hawajapromote mechi ya leo ili watu waende wakapige kura

    Kura yako ni muhimi kuliko kelele zako uwanjani. Kura yako ni muhimu kukiko 3000 yako ya kiingilio Kurayako ni muhimu hata tukifungwa bado kuna mechi tano Kapige kura,mpira utaangaliabaada ya kupiga kura Kama uongozi ungeamua kuipromote mechi uwanja ungejaa ,watu wanaipenda Simba kuliko hao...
  20. uran

    Full time: Simba SC 1 - 0 Bravos do Maquis FC | CAF CC | Benjamin Mkapa Stadium | 27-11-2024

    Match Day Simba SC vs Bravos do Maquis FC Time 1600hrs Kikosi Cha Simba Kinachoanza. #Nguvumoja Updates... 1' Mpira umeanza kwa kasi, Simba wanamiliki mpira wanapeleka shambulizi ndogo kwa Bravos. 3' Game on 0-0 7' Simba wanafanya shambulizi kwa Bravos halifanikiwi. Wanashindwa kudhibiti...
Back
Top Bottom