simba

  1. E

    Kesho ni Pamba inayofadhiliwa na GSM vs Simba mpinzani wa Jadi wa Yanga

    Ni uonezi wa wazi kwa Simba Ila mwanaume atashinda
  2. Sisi Yanga tumewazidi pakubwa sana Simba. Hasa upande wa Media na Waandishi

    Yanga hamutaiweza nyie mikia. Yanga inawekeza pia kwa Media sana tu toka enzi za Mwanaspoti, Dimba, Magazeti kama Mwananchi n.k tuna fungu la kutosha tu. Ukija kwa vyombo vya habari kama Radios. Hamtuwezi. Mkienda Wasafi, Clouds, TBC, Radio one, EFM huko kote tumekamata waandishi. Uwezo wa...
  3. Mwambieni Morrison aanzishe Timu yake na Amsajili Manula ila kwa tunaomjua Madhaifu yake na Alivyotuumiza hapati Namba Simba SC hii ya sasa

    Aliyekuwa winga wa klabu za Simba na Yanga, Bernard Morrison amempa maua yame kipa Aishi Manula kwa kiwango kizuri alichokioinesha katika mchezo wa kufuzu Afcon 2025 dhidi ya Guinea. Morrison ameweka ujumbe katika Insta story yake baada ya Taifa Stars kuichapa Guinea bao 1-0 na kufuzu michuano...
  4. Simba SC yazindua rasmi uzi mpya wa michuano ya Shirikisho Afrika 2024/25. Waongeza rangi mpya

    Simba SC imezindua jezi mpya maalum kwa ajili ya michuano ya Shirikisho Afrika, uzinduzi uliofanyika Sandaland Tower, Kinondoni, Dar es Salaam. Jezi hizo zitaanza kutumika katika mechi dhidi ya FC Bravo ya Angola, katika mchezo wa tarehe 27 Novemba 2024, utakaochezwa kwenye Uwanja wa Benjamin...
  5. Simba, Yanga na Taifa Stars mtumieni Rais Samia sasa 2024 na 2025, kwani kuanzia 2026 msitegemee kuona akiwasaidia kwa lolote lile

    Kwakuwa tayari mmeshakubali Kutumika nae kama Mtaji wake wa Siasa na kumhakikishia Ushindi na ameshawawekeni Mtegoni mwake na mmejaa vizuri kwa mwaka huu 2024 na 2025 atawamwagieni sana Fedha zake ila akishapita tu Oktoba 2025 msitegemee kumuona akihangaika nanyi tena kwa lolote lile kwani...
  6. Full Time: Tanzania 1 - 0 Guinea | 2025 AFCON Qualifier | Estadio Benjamin Mkapa | 19.11.2024

    Its match day!! Ni Tanzania Vs Guinea katika dimba la Benjamin Mkapa kuanzia Saa 10:00 Jioni. Ni mchezo wa kufuzu AFCON ya mwaka 2025 pale Morocco ambapo kundi H Taifa Stars inahitaji ushindi wa namna yoyote ili ifuzu wakati Guinea wao wakihitaji ushindi au droo ili waweze kufuzu. Saa 10:00...
  7. U

    Kwanini jezi namba 9 klabu ya simba haivaliwi na mchezaji yeyote kwa miaka mingi? mara ya mwisho jezi hiyo alipewa mchezaji felix sunzu

    Kichwa cha habari chahusika Karibuni
  8. M

    Simba fans ni kichekesho kumponda Kocha Saed wa Yanga wakati Fadlu wenu aliishusha timu yake daraja Afrika Kusini

    Ni vichekesho kwa mbumbumbu eti wanaiponda cv ya kocha mpya wa yanga wakati ajawai kushusha timu daraja kama ilivyo kwa kocha wao fadlu ambae aliishusha Martizburg na akatimuliwa! Kama cv zinakufanya kazi basi Simba wasingemchukua fadlu kwakuwa cv yake ilikuwa ni ya ovyo! Unapochukua kocha...
  9. Simba kutumia mechi dhidi ya Pamba kumuaga Ayoub Lakred?

    Naona dalili za Simba kutumia mechi ijayo dhidi ya Pamba kumuaga rasmi golikipa wake Ayoub Lakred. Ni basi tu ila ungekuwa uamuzi wangu ningebaki na Lakred hadi mwishoni mwa msimu ndiyo nifanye tathmini ya kina ya kipa gani wa kuachana naye. Kipaumbele changu kingekuwa kumpunguza kwanza...
  10. Je, watumiaji wa Kisimbusi cha Dstv na Sisi safari hii tutaziona Live Yanga SC (CAFCL) na Simba SC (CC) katika hatua zinazokuja za Makundi au?

    Tafadhali kama huna Dstv Kwako na una Visimbuzi vyako vya Kipuuzi Kipuuzi cha Bamaga na Tabata huu Uzi haukuhusu.
  11. M

    Itakuwa vigumu sana kupata tena kocha wa kuifunga Simba goli 5

    Miaka kadhaa takwimu zinaonyesha kuwa Simba imekuwa ikiinyanyasa sana Yanga kwa kuifunga idadi kubwa ya magoli hadi goli tano. Yanga ilikuwa ikishinda unakuta ni kagoli kamoja tu au viwili. Yanga ikampata Gamondi aliyekuja na kufanikiwa kuifunga Simba goli tano(5). Nadhani kikosi kazi cha...
  12. M

    Wanachama wa Yanga na Simba ni mambumbu wa mpira. Wataazima viwanja mpaka dunia ina malizika

    Licha ya kuwa mpira ni haramu kwa mujibu wa mafundisho ya dini yangu lkn kama mimi kama msomi sinabudi kuchambua mchezo huo. Tuanzie hapa. Yanga na simba ni timu kongwe sana Tanzania, ni timu zenye washabiki wengi na ndio timu zinazotegemewa ktk Afrika kwa ujumla. Yanga imevuma sana huko nyuma...
  13. Kumbe wachezaji wa Yanga walikuwepo uwanjani wakati Simba wanalipoifunga Tabora United 3-0?

    Nimeshangaa kujua kumbe Azizi Ki aliyekosa Penati siku Yanga inacheza na Tabora United, aliwaongoza wachezaji wenzake wa Yanga kuishuhudia Simba ikiidungua TABORA UNITED 3-0 Agosti 18 2024. Sasa kama hawakujifunza mbinu za kuifunga Tabora United toka kwa Simba, basi Yanga kufungwa kwao ni halali.
  14. Mbona hakuna update Simba Queens dhidi ya Yanga Princess?

    Nawasha TV nakuta Kuna mechi kati ya Yanga Princess na Simba Queens kwenye uwanja wa KMC. Mpaka Sasa naona tayari Simba Queens wametangulia moja bila dhidi ya Yanga Princess.
  15. Ligi ilinoga zaidi Simba na Yanga walipoacha kushea uwanja

    Yanga toka ilipoanza kutumia uwanja wa Azam Complex ilionekana kuukubali hadi ikaanza kutamba kama vile wao ndiyo wana umiliki. Simba ikahisi uwanja kama unawakataa, ikaanza kuhaha huku na kule kutafuta pa kujisitiri. Ni hadi ilipoupata uwanja wa KMC, Simba ndiyo ikaonekana kutulia, ikichangiwa...
  16. Ukubwa au ukongwe wa Simba na Yanga ni upi?

    Sijawahi kuelewa ukubwa wa hizi timu mbili za Simba na Yanga, Hivi timu kubwa zenye miaka 90 zinashindwaje kujenga uwanja hata mdogo Tanzania yenye ardhi kubwa na gharama ndogo za ujenzi?! Au umasikini wa watanzania unatafsiriwa kwenye hizi timu pia? Huwa nasikia watu wanaziita timu kubwa au...
  17. POTOSHI Manara alisema hakuna jipya wanalofanya Yanga ambalo Simba haijafanya

    Nimekutana na hii Video inasambaa huko Instagram ikimhusu aliyekuwa Msemaji wa Yanga, Haji Sunday Manara ikiwa na maneno kuwa Yanga haifanyi lolote jipya ambalo halikuwahi kufanywa na Simba! Imenishangaza hii kauli kama ni kweli Manara aliongea hivyo au imechezewa?
  18. U

    Furaha ya Simba ni Gamondi kuondoka Yanga

    Kocha Muargentina Miguel Gamond, a.k.a Mzee wa "FOR ME" amesababisha tatizo la kisaikolojia Kwa Mashabiki na Viongozi wa Simba , ambao wao wanaamini mafanikio ya club yao mchawi wao ni Miguel Gamond, Mzee wa For Me. Miguel Gamond anatengenezewa Zengwe na Simba ili afukuzwe , na tegemeo lao ni...
  19. M

    Manara tangu akiwa Simba nilikuwa ninauona unafiki wake

    Hata alipokosana na Simba na kuondoka sikushangaa hata kidogo. Nikajisemea tu kuwa hata huko Yanga anapokwenda hataweza kudumu. Manara anapenda sifa na umaarufu. Lakini kibaya zaidi ni Mnafiki sana. Hata Saikolojia inatuelekeza kuwa mtu mwenye maneno mengi mdomoni mara nyingi NI MNAFIKI...
  20. Mbona Wachambuzi wa Soka la Tanzania katika Redio na Runinga sasa hawatuambii tena Timu bora kati ya Simba na Yanga ni ipi?

    Na walivyokuwa Wendawazimu na Watu wa kupewa Fedha na MSG watasema bado aliyefungwa Mechi Mbili katika Ligi Kuu ya NBC ndiyo Timu bora huku yule ambaye Kafungwa Mechi moja tu na sasa ndiyo anaongoza Ligi na huenda akaongoza hadi Ubingwa siyo Timu bora. GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE "Purely...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…