simon maigwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ndagullachrles

    JamiiForums Tanzania Leteni kero zenu tupo tayari kuzisikiliza na kuzitatua-SACP Simon Maigwa

    Jeshi la polisi mkoani kilimanjaro limetoa wito kwa wananchi kujenga utamaduni wa kufikisha changamoto za kiusalama kwa jeshi la polisi kabla hazijageuka kuwa migogoro au matukio ya uhalifu . Wito huo ni sehemu ya ujumbe wa kamanda wa polisi mkoa wa Kilimanjaro ,Kamishina Msaidizi Mwandamizi wa...
  2. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Nampongeza Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kilimanjaro SACP Simon Maigwa na jeshi zima la mkoa huo kutokuwa na mauaji ya raia kwenye maandamano

    Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kilimanjaro SACP Simon Maigwa ameeleza kuwa hakuna mwananchi au askari Polisi wa Jeshi hilo Mkoani humo aliyejeruhiwa au kupoteza maisha kutokana na Vurugu zilizotokea siku ya Uchaguzi Mkuu Oktoba 29, 2025. Hata hivyo nawapongeza kwa kuwaachia huru vijana mia 300...
  3. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kilimanjaro: Watu watiwa Mbaroni kwa uhalifu Kura za Maoni CCM Vunjo

    Jeshi la Polisi Mkoani Kilimanjaro linawashikilia watu kadhaa kwa tuhuma za kujihusisha na jaribio la kufanya uhalifu wakati wa zoezi la uchaguzi wa kura za maoni ndani ya Chama Cha Mpinduzi (CCM) jimbo la Vunjo. Watu hao wanadaiwa usiku wa kuamkia siku ya upigaji kura za maoni, yaani Agosti...
Back
Top Bottom