simu

  1. Hamad yusuph

    Phone4Sale Nauza simu aina ya iPhone 6 s

    Nauza simu jamani wana jamiiform IPHONE 6s lak 180000 had 165000 haina shida yoyote pasipo kua utapata usb ios apple :gb 128,gold km ndo hivo unavyo ona hapo chini👇👇👇👇👇👇 Contact:0782821751 Nipo dar/magomeni/kw binyau
  2. Strong and Fearless

    Je, ni vibaya kwa mwanamke kumuomba mwanaume namba za simu?

    Je ni vibaya kwa mwanamke kumuomba mwanaume namba ya simu ikiwa mwanume anachelewa na kuona aibu ku make the first move but kila mki bump into each other anakuchekea, anakusifia Ana act as a gentleman, smiling all the time akikuona. Ana anza conversation with you. Nimevunga kama vile am not...
  3. Dr. Wansegamila

    Mchungaji Mbarikiwa Mwakipesile wa Mbeya akagua simu za waumini hadharani akiwa madhahabuni

    Mchungaji Mbarikiwa Mwakipesile jumapili iliyopita wakati wa ibada katika kanisa lake linalojulikana kama, 'Kikosi kazi cha injili', alimuita mmoja wa waumini wake kijana anayeitwa Eliya na kuamuru ampatie simu yake, ambapo aliikagua na kukuta meseji ya WhatsApp kutoka kwa binti. Kisha...
  4. Down To Earth

    Natumia Tsh 11,000 tu kwa mwezi kwa matumizi ya Mawasiliano ya simu.

    Vipi wenzangu mnapiganaje na gharama za mawasiliano ya simu? mwenzenu natumia si zaidi ya 400 kwa siku! kwa mwezi natumia 11,000 tu😅😅 Baada ya hapo naunga sms za buku siku 30
  5. Nahman

    Ume save vipi jina la mkeo/mumeo/mpenzi kwenye simu yako

    Moja kati ya vitu vizuri na kuvutia zaidi ni kuona jina zuri aliloku sev mwandani wako Mbali na kutia faraja ila pia huleta hari kujihisi furaha kwa mwenza Je umesev vipi jina la kipenzi chako? 😊 good night african beauty Bantu Lady Nyiewengine lolote liwakute😅
  6. Pdidy

    Mwanafunzi anatakiwa kuwa na simu darasa la ngapi?

    Wazazi tunapishana kweli niko gari la Goba nyuma kabisa naona katoto ka shule kanachat Nakauliza umetoka shule ndio darasa la ngapi form 2. Unaruhusiwa kuwa na simu shulen ndio nawekaga silent Aisee yuko busy anatuma meseji tuzidi kuwaombea tu.
  7. B

    Msaada: Simu gani ina rekodi sauti vizuri ambayo naweza kuitumia ku record content you tube?

    Nahitaji simu ya kawaida kabisa bajeti yangu laki na 30. Kikubwa iwe ina uwezo wa kutoa audio inayo sikika vizuri. Iwe Type C ambayo inaweza kutumia vile vi microphone vya sh elfu 25. Nakumbuka mwaka 2017 nilinunua kisimu cha promotion pale Mlimani City cha VODAFONE. Nilikinunua sh elfu...
  8. Beberu

    Nitajuaje simu ninayotaka kununua ni ya mkopo?

    Wakuu, nitajuaje kama simu ninayotaka kununua ni ya mkopo? Yaani hizi za hawa wanaouza kwa mkopo?
  9. The patriot man

    Aliniambia hana hisia na mimi ila sasa hivi hachoki kupiga simu

    Wakuu kwema? Nilikua na muhusiano na mwanamke mmoja hivi.. ikatokea siku tuligombana akanitamkia maneno kadhaa ambayo yalichoma moyo wangu sana. "sina hisia na wewe" ".sijawahi kukupenda" "Nina bwana angu nampenda" "Siku uliyonitongoza sio kwamba nilikua Sina mtu na mpaka Sasa hivi Niko naye"...
  10. hp4510

    Vijana ambao mnatafuta Ajira Ogopeni Sana hizi namba za simu

    Vijana ambao mko kwenye michakato ya kutafuta Ajira Ogopeni Sana hizi namba za simu ambazo naziweka hapa Hao jamaa sio watu wazuri, sijui wanatumia njia gani kujua kama umeomba kazi sehemu flan Mdogo wangu juzi kalizwa laki 8 Walimpigia simu na walimwambia wanatokea sehemu ambayo ni kweli...
  11. KikulachoChako

    Kampuni za Mawasiliano na ukiukwaji wa haki za mteja Tanzania

    Kabla ya WhatsApp nilikuwa na line za nchi mbalimbali. Ililazimu Kila nchi uliyofika ununue line. Mwisho nikajikuta na line zaidi ya 100. Nikijua naenda Italy nachukua SIM, Naenda Switzerland nachukua MOBISTAR, n.k. Kwa sasa natumia Togocel na Moov. Hii ni mitandao ya Togo. Togocel ni shirika la...
  12. RoadLofa

    Kauli ya 'Kata simu kwanza kuna mtu ananipigia' huwa unaichukuliaje?

    Hivi hii kauli na agizo huwa unalichukuliaje na unajisikiaje!? Unapoongea na mtu kwenye simu kisha anakupa hilo agizo.
  13. Cute Wife

    Kampuni za simu, uhakiki taarifa za mteja usiishie kwenye jina na muamala wa mwisho pekee, wateja wanalizwa huku

    Wakuu, kuna text niliona inasambazwa huko duniani, jinsi wezi wanavoweza kuhamisha pesa kutoka kutoka Mpesa, TiGO pesa, na walet nyingine. Ukiibiwa simu ukiwa hauitumii ndani ya muda huo (yaani iko locked) utakuwa na muda kidogo kabla kaka jambazi hajafanya lake. Ukiibiwa simu ikiwa unaitumia...
  14. Kyambamasimbi

    Kwa wenye uzoefu wa simu za Tecno

    Habari wanaJF, Naomba msaada kijana wangu nimemtafutia simu aina ya Tecno pop 7 shida ipo kwenye sms anapotaka kutuma ujumbe Inacomand atume Kwa lakini Moja tu na haimpi choice ya line either 1 or 2 na amecheza setup bado shida na inaonesha sms za line Moja tu. Sms za line nyiingine...
  15. R

    Nape Moses Nnauye hakuna unachokifanya, mitandao ya simu inafanya wizi as if hawana regulatory aithority

    Tumelalamka wizi wa mitandao ya simu especialy kuhusu internt data. hakuna hatua wanayochukuliwa kurekebisha wizi huu. Unaweka data , muda mwingine bila kuitumia unakuta imeisha. Ukiwapigia simu customers care nobody responds. Nape unafanya nini ofisini?
  16. Candela

    Tahadhari: Mbinu mpya wizi wa pesa vijana wanaosajili laini za simu

    Kama unasoma uzi huu basi u buheri, pole kwa wenye changamoto. Hawa vijana wanaosajili laini za simu mitaani wamekuja na mbinu mpya kukuibia pesa. Wanatumia app za kampuni husika, TIGO PESA APP AU MPESA APP n.k. Wanawahadaa wateja kuwaunga 5G wapate intaneti yenye kasi bure kama ofa...
  17. A

    KERO Tabia ya baadhi ya wakufunzi (lecturers) wa chuo kikuu kupekua Simu za wanafunzi Inakera

    Kumekuwa na tabia ya baadhi ya ma lecturer wa chuo kikuu cha SAUT Mwanza kuwa wanapekua simu za wanafunzi upende wa messages. Hii mara nyingi inatokea pale mwanafunzi anapoingia darasani kwa kuchelewa kidogo na hapo lecturer anamuomba mwanafunzi simu na kuanza kupekua sms, na ikitokea...
  18. Webabu

    Kiwewe kimezipata nchi za kiarabu. Huku Iran akiahidi kuanza na vituo vya nyulia vya Israel. Viongozi wao wapigiana simu kama watoto

    Wakati maelfu ya wapalestina wakiuliwa kama kuku,viongozi wa nchi za kiarabu walipiga kimya na kula biriani zao wakiona hayo hayawahusu. Hata diplomasia zao na kulaani kulikuwa kwa njia za kinafiki. Baada ya kumfanya Netanyahu ajiamini kupiga apendapo na kuamua kuipiga Iran na Iran nayo...
  19. MLUGURU

    Makampuni ya Mawasiliano yaboreshe vifurushi viwe rafiki kwa ajili ya viziwi

    TCRA pamoja na haya makampuni ya simu ya Tanzania (Tigo, Vodacom, Halotel, Zantel, Airtel,ttcl), miongoni mwa wateja wenu kuna hawa wenye mahitaji maalumu ambao ni viziwi kiasili. KIZIWI maana yake ni mtu ambae hawezi kuwasiliana kwa namna yoyote ile kwa njia ya sauti zaidi ya video call na sms...
  20. Mundele Makusu

    Msaada wa kuweza kufanya recover wa taarifa katika simu yangu

    Habarini ndugu zangu Niende kwene mada,nina simu yangu ambayo kutokana na uwezo wake kuwa mdogo niliamua kununua memory card Ili niweze kuongeza storage katika simu yangu.Nilipoweka hio memory card katika simu yangu niliiset kama internal storage hivyo baadhi ya taarifa kama picha...
Back
Top Bottom