Bado simu za mezani zimeendelea kuwa hitaji kubwa hasa Kwa watu wenye ofisi ambao wanahitaji mawasiliano muda wote (kuwa hewani)
Pia Kwa familia hii simu inakuhakikishia upatikanaji wa watu wako wa muhimu muda wote.
✨ Hata maeneo ambayo mtandao ni korofi basi hii simu ni suruhisho la kudumu...
Bayer Leverkusen yatwaa ubingwa. Mashabiki wameingia kusherehekea na wachezaji.
Amani imetawala iko shwari. Ingekuwa bongo hiyo simu ya huyo mchezaji sasa hivi ingekuwa wapi?
Moja kwa moja kwenye mada....
Fanya hivi nenda setting>Privacy>permission manager>apps that can control your data....ukifungua huku utazikuta apps zote ulizo allow ku access simu yako then gusa kila kipengele kimoja kimoja kuanzia kwenye sms,camera,files,contacts utakuta hizo apps ulizoruhusu...
Ni kwamba meter moja ya umeme iwe na uwezo wa kulisha nyumba hadi 6 bila kuchangiana kwenye matumizi.
Mteja akiomba meter, atasema anataka yenye output ngapi (line 1, 2 ,3, 4, 5 au 6) kulingana na matarajio yake ya kuongeza matumizi ya wapangaji au fremu za maduka baadae.
Kwahiyo meter...
Ninao watu wa hivi wengi sana, Blacklist siwaweki ila simu zao watapiga sana na sizipokei, labda atumie namba ngeni..
Huyu yeye anaomba hela mpaka anakera. Kuna kipindi alinichapa hadi 450,000 ila baada ya mwezi akarudisha😅😅😅
Kina mama mnakopa sana halafu marejesho yanawashinda!!
Wasalaaaaaam........
Wataalam Kuna zile code ambazo ukiweka kwenye laini mtu akikupigia hakupati hewani ila Kwa mesej mnachati vizuri tu na unapata taarifa muda huo huo kuwa flani alikutafuta hewani hajakupata Kwa hiyo ni uamuz wako umpigie au laa.
Ila wewe ukimpigia unampata hewani ila...
Mbunge wa Gairo (CCM), Ahmed Shabiby ameishauri Serikali kukata Sh2,000 kila mwezi kwenye laini za simu huku wabunge, wafanyabiashara na wafanyakazi wakikatwa Sh10,000 ili fedha hizo ziwe chanzo cha mapato kwa Bima ya Afya kwa wote.
Amesema kuna wamiliki wa laini za simu milioni 72 nchini ambao...
Wakuu,
Kuna watu mpaka unafikiria mtu kama huyu kafikaje bungeni, maana ni zaidi ya weupe kichwani, watupu kabisa!
Kodi zote hizi mnazotuumiza nazo wananchi bado unataka ziongezwe nyingine kwenye line za simu?
Hii siyo ya kukalia kimya!
Dunia inapiga kasi kwenye digidali lakini Viongozi wetu...
Nimeona hii taarifa kwenye ukurasa wa CCM, mimi kilichonivutia ni hiyo simu ya Mzee Makamba, ni kweli kwa hadhi yake anamiliki simu ya aina hiyo au imewekwa hapo kimkakati tu kuonesha jambo fulani?
== == ===
DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM)...
Ni jambo la kushangaza kidogo, kwasabu ni jambo ambalo halipo kisheria, hata katika makubaliano wakati unasajili laini laini za Tigo.
Hii Leo nimepokea ujumbe unaonilazimisha kuweka Salio ndani ya siku tatu, ikiwa Leo ni tarehe 2 mwisho tarehe 5.
Na naambiwa laini yangu itafungiwa kupiga simu...
Ni Jambo linakwaza sana. Unanunua vocha kujiunga na kifurushi unachopenda mara unapata ujumbe kuwa Salio lako halitoshi.
Unafuatilia unaambiwa umejiunga na huduma za kidijitali kama vile "afya call" ,"Tikisa ushinde" n.k.
Huna taarifa na huduma hizo,hujui umejiungaje na wala hujui zinahusu...
Minara ya Simu kutoka Afrika Kusini ndiyo huwa Imara sana.
Na ikitumika hapa ndani Spidi yake huwa ni ya Wastani, ila ikitumika Kwao Afrika Kusini hasa Mji wa Pretoria ndiyo huwa ina nguvu maradufu na haijawahi kushindwa kufanya Kazi ikiwa huko
Wakuu nilikuwa napitia bei za vitochi vya Nokia alibaba naona ni ndogo sana
nawaza nijaribu japo kwa piece 4 , ila sina uzoefu wowote naombeni muongozo wakuu
Ni wizi kama wizi mwingine tu
Emerging simu ya 400k unakopa kila mwezi utoe 100k. Salio anzio ni 120k. Kwa mwaka 12 month x 100k
100000 x 12 = 1.200.000
Makato 12 months ni 1.2 milioni
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.