Technophilic Pool
JF-Expert Member
- Jan 18, 2024
- 3,104
- 4,574
Wakuu wa uwekezaji. Nalipiaje UTT kwa njia ya simu mbona naitafuta siipati
mbona hamkuniambia*150*82# nunua vipande
mtandao gan*150*82# nunua vipande
hee0789 444 444 UTT ongea nao eleza shida zako watakupa maelekezo
mbona wanakata hela nyingi ivi wakat benki bure*152*82# OK
Nenda Banks, Wakala Kaweke Mzigo Nyingi Sanambona wanakata hela nyingi ivi wakat benki bure
hii ya simu si ya kuzoeaNenda Banks, Wakala Kaweke Mzigo Nyingi Sana
maana elf 10 tu wanakata 400 plus na ya kuingilia kwene menu 200Nenda Banks, Wakala Kaweke Mzigo Nyingi Sana
Mmmmhhh,hatari mi niko Faida fund makato kwa 10 au 12 makato ninkama 100 hvimaana elf 10 tu wanakata 400 plus na ya kuingilia kwene menu 200
jumla 600
aukiweka 100,000 inakua 4200
loss ya 4200 ambayo ningeweza hata nunua vipande kumi
Mtandao ganMmmmhhh,hatari mi niko Faida fund makato kwa 10 au 12 makato ninkama 100 hvi
Unstall afu download tenaApp ya UTT ina changamoto gani salio lime stuck tangu last week
Hii iko sWtumia NMB mobile app
Changamoto sometimes nakua na hela kwene simutumia NMB mobile app