Xi Jinping
JF-Expert Member
- Jun 14, 2023
- 9,548
- 28,817
"Tunasubiri simu zao" hivyo ndivyo Trump alivyopost kwenye akaunti yake baada ya Marekani kuongeza ushuru kwa China kufikia 104%
Tangu mwanzoni kabisa Trump alipoanza kuiongezea ushuru China, serikali ya China ilishasema; China itapambana hii vita mpaka mwisho.
Trump aache kuwazia eti kuna siku China itawapigia simu wakae mezani waanze kubargain. He should stop begging for China to call.
HIi vita hakuna cha kusubiri simu ni toa niweke. Tayari msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya China ametoa tamko baada ya Marekani kuipandishia China ushuru kufikia 104%

"China is not a seeker of trouble. But make no mistake: when challenged we will never back down."
– Lin Jian (Foreign Ministry Spokeperson)