Alichosema Trump baada ya Marekani kuiongezea ushuru China kufikia 104%: Tunasubiri simu zao

Alichosema Trump baada ya Marekani kuiongezea ushuru China kufikia 104%: Tunasubiri simu zao

WEWE MBWA WA UCHINA HIVI KWA KUANGALIA TRADE DEFICIT UNAHISI SOKO LA NANI LINA MUHITAJI NANI CHINA EXPORT 450BILION WHILE US EXPORT ONLY 140B SASA HAPO UNAHISI NANI ANAMUHITAJI NANI ??AU UMEKAA NA PUMBU ZAKO CHINA LENGO LSKE KUUA NGUVU KAZI YA ULIMWENGU MZIMA ILI KILA KITU KITOKE CHINA WEWE UMEKAA UNAKENUA PUNYE ZA MATAKO NENDA HUKO GWAZHU KAUZE NYAGOOOOO
Marekani inaihitaji zaidi China
 
Hakuna rangi Trump ataacha kuona kwa Wachina...

Wachina wameshakuwa na mentality ya kupambana na USA kwa miaka mingi sasa...
 
104% ni kama kodi ya kuingiza pombe Tanzania hapo kazi ipo ila Wachina wanaangalia mbele sana wanajua haya mambo ni ya kupita kwa term za uongozi huko USA kwa hiyo hawawezi kukaa mezani kwa lolote lile jamaa wana misimamo kwa faida ya Nchi yao.
kihistoria wanasema ni bora mchina ni bora mchina are ila sio kumtisha.
 
Back
Top Bottom