Alichosema Trump baada ya Marekani kuiongezea ushuru China kufikia 104%: Tunasubiri simu zao

Alichosema Trump baada ya Marekani kuiongezea ushuru China kufikia 104%: Tunasubiri simu zao

China alishajiandaa kwa kupunguza kuitegemea Marekani tangu 2019
Umesema vyema, na ndio maana China inaweza kufanya tit for tat dhidi ya Marekani.

Ingekuwa China ni kama Mexico au Canada ambazo zaidi ya 70% ya exports zao wanategemea soko la Marekani, China ingekuwa imeshanyosha mikono juu kitambo
​
 
Niwakizacho mimi ni AGOA ni kama na yenyewe mwisho wake unakaribia
AGOA ipo kama haipo, kwenye mkutano wa FOCAC kati ya China na mataifa ya Africa Xi alitangaza kuweka 0 tariffs kwa mataifa yote masikini ambayo yana diplomatic relationship na China

Trump yeye kawaongezea tariffs AGOA member countries. Marekani inapoteza ushawishi huku China ikijiongezea credit kimataifa

Trump ni mwendawazimu badala ya kuifungua Marekani yeye anazidi kuifungia
​
 
104% ni kama kodi ya kuingiza pombe Tanzania hapo kazi ipo ila Wachina wanaangalia mbele sana wanajua haya mambo ni ya kupita kwa term za uongozi huko USA kwa hiyo hawawezi kukaa mezani kwa lolote lile jamaa wana misimamo kwa faida ya Nchi yao.
 
Trump is fighting a losing battle.

Hata China aki negotiate tariffs - and I hope they don't- Trump hawezi kurudisha manufacturing US kwa sababu nyingine nyingi sana tu.
Na bado bidhaa za China zitamfikia Mmarekani kupitia third party kama Vietnam, Thailand, Mexico, Malyasia n.k ambapo China wana offshore investments​
 
AGOA ipo kama haipo, kwenye mkutano wa FOCAC kati ya China na mataifa ya Africa Xi alitangaza kuweka 0 tariffs kwa mataifa yote masikini ambayo yana diplomatic relationship na China

Trump yeye kawaongezea tariffs AGOA member countries. Marekani inapoteza ushawishi huku China ikijiongezea credit kimataifa

Trump ni mwendawazimu badala ya kuifungua Marekani yeye anazidi kuifungia
​
USA kawapiga kodi kubwa SA na mwanzo aliwapiga kodi ndogo sana Lesotho kwa sababu ya ugomvi wake na SA nae Lesotho kala rungu la 37% kwa bidhaa kutoka Lesotho akiami SA wanaweza kupitisha bidhaa zao kupitia Lesotho,Botswana,Namibia na Eswatin.
 
Yeah na bado Marekani inaendelea kuimport bidhaa kutoka Lesotho kwa tariffs ya 37% ambapo huu mzigo anabebeshwa mtumiaji wa mwisho pale Marekani kufidia ongezeko la 37%​
 
Ni ngumu sio rahisi kama unavyodhania wenzetu wapo mbali kidogo hata kwa utbuzi wa bidhaa za kutoka nje kwa kusoma codes zake.
U.S Chamber of Commerce walishawahi kukiri kuwa ni vigumu kwa Marekani kuzikimbia bidhaa za China hasa kupitia third party

Kwa sababu bado hata factories nyingi zinategemea dual use goods, critical components, crictical minerals na chemicals kutoa China ili wazalishe bidhaa ambazo zitaenda Marekani
​
 
U.S chamber of commerce walishawahi kukiri kuwa ni vigumu kwa Marekani kuzikinbia bidhaa za China hasa kuoitia third party

Kwa sababu bado hata factories nyingi zinatrgemea dual use goods, critucal components na crictical minerals na chemicals kutoa China ili wazalishe bidhaa ambazo zitaenda Marekani
​
Upo sahihi kwa material ila bidhaa iliyokwisha kutengenezwa ni ngumu kuingiza Nchi yeyote kama ipo kwenye alert ya kodi au kukatazwa Mkuu.
 
Yeah na bado Marekani inaendelea kuimport bidhaa kutoka Lesotho kwa tariffs ya 37% ambapo huu mzigo anabebeshwa mtumiaji wa mwisho pale Marekani kufidia ongezeko la 37%​
Botswana migodi yao ya Debeers imepigwa kodi kubwa sana kwa huyu Rais wao mpya anaumiza kichwa wafanyeje ili kuinusuru Nchi maana wao wanategemea sana almost na soko lao kubwa ni USA nao wana rungs la kodi kama Nchi zingine..
 
China ameyakanyaga atakula hadi chura wa mapambo safari hii😁😁
Wamarekani ndio watayakanyaga safari hii.

Trump anataka aendeshe uchumi wa Marekani kienyeji kama Iddi Amin

Anaiagiza Fed ipunguze interest rate. Mwenyekiti wa Fed, Jerome Powel amesema Fed hawatashusha interest rate kwani kufanya hivyo kutaongeza inflation ambayo tayari ipo kwa sasa ikiwakaanga Wamarekani

Kweli mwaka huu Marekani wameyatimba kumchagua Trump raisi ambaye hajui hata concepts za basic economy?

Trump ni mwendawazimu ila waliompigia kura awe raisi ni wendawzimu zaidi

Anafikiri interest rate inaongezwa na kupunguzwa tu bila kuzingatia hali ya uchumi na inflation iliyopo!
 
Yeah pia nilichomaanisha ni kuwa China ina factories nyingi kwenye nchi za ASEAN na Mexico ​
Wachina miaka ya nyuma waliaminishwa sana kuhusu Iphone na soko kubwa lilikua China sasa hivi nao wametoa simu nyingi zenye mfano wa Iphone na Wananchi wao wameanza kuzikubali hizo simu tutegemee huko mbele hiyo simu kuuzwa kwa baadhi ya Nchi tu sio kama ilivyo sasa.
 
Moja ya soko muhimu na kubwa la iPhone ni China hata CEO wa Apple, Tim Cook haipiti mwaka bila kutembelea China mara 2 hadi 3 kupromote mauzo ya iPhone

Kwa sasa katika soko lao muhimu la China iPhone wanakabili ushindani mkali sana inashika nafasi ya 5 nyuma ya Huawei, Xiaomi, Vivo na Honor

Hili ni pigo kwa Apple

Na sio Apple hata Tesla na Dell wanakabili ushindani mkali kutoka kwa domestic manufacturers kama BYD na Lenovo & Huawei
​
 
Na bado bidhaa za China zitamfikia Mmarekani kupitia third party kama Vietnam, Thailand, Mexico, Malyasia n.k ambapo China wana offshore investments​
Hiyo ni hatua ya kwanza, kibano bado kitaelekea kwa third parties, US anajua chocho zote. Hii ndio namna nzuri ya kudeal na mchina.
 
Moja ya soko muhimu na kubwa la iPhone ni China hata CEO wa Apple, Tim Cook haipiti mwaka bila kutembelea China mara 2 hadi 3 kupromote mauzo ya iPhone

Kwa sasa katika soko lao muhimu China iPhone wanakabili ushindani mkali sana inashika nafasi ya 5 nyuma ya Huawei, Xiaomi, Vivo na Honor

Hili ni pigo kwa Apple

Na sio Apple hata Tesla na Dell wanakabili ushindani mkali kutoka kwa domestic manufacturers kama BYD na Lenovo & Huawei
​
Maduka ya Apple kipindi cha Corona huko China hayakufungwa mkuu unachosema upo sahihi na Lenovo bidhaa zao zina unafuu sana tofauti na hizo za USA.
 
Back
Top Bottom