ushuru china

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. L

    JamiiForums Tanzania Kusitishwa kwa ushuru kwa muda wa siku 90 ni faraja kwa wafanya biashara walioagiza bidhaa zao nchini China

    Wiki hii serikali za China na Marekani zimetangaza hatua mfululizo za kurekebisha ushuru zinazolenga kupunguza mvutano wa kibiashara kati ya nchi hizo mbili zenye uchumi mkubwa zaidi duniani. Hatua hizo zimekuja baada ya mazungumzo kati ya maafisa wa China na Marekani mjini Geneva, ambapo pande...
  2. X

    JamiiForums Tanzania Alichosema Trump baada ya Marekani kuiongezea ushuru China kufikia 104%: Tunasubiri simu zao

    "Tunasubiri simu zao" hivyo ndivyo Trump alivyopost kwenye akaunti yake baada ya Marekani kuongeza ushuru kwa China kufikia 104% Tangu mwanzoni kabisa Trump alipoanza kuiongezea ushuru China, serikali ya China ilishasema; China itapambana hii vita mpaka mwisho. Trump aache kuwazia eti kuna...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Soko la hisa China lashuka vibaya tangu 2008, Trump achochea kwa kuongeza ushuru baada ya China kukaidi kufuta ushuru, China yalalamika Bullying

    📅 Kabla ya Aprili 2, 2025 Ushuru wa Marekani kwa bidhaa za China ulikuwa 20 %, Ushuru wa China kwa bidhaa za Marekani ulifikia 67 % 📅 Aprili 2, 2025 Rais Donald Trump atangaza ushuru wa ziada 34% kwa bidhaa zinazotoka China, Jumla ya ushuru kuwa 54 %, akidai ni kulinda soko la Marekani 📅...
  4. Mindyou

    JamiiForums Tanzania China yaiwekea bidhaa zote za Marekani zinazoingia China ushuru wa asilimia 34 kama

    Wakuu, China imetangaza ushuru wa asilimia 34 kwa bidhaa zote kutoka Marekani, ikiwa nchi ya kwanza kujibu hatua ya Rais wa Marekani, Donald Trump, ya kutoza ushuru mpya kwa bidhaa zinazoagizwa kutoka nje ya Marekani. China imesema ushuru huo utaanza kutekelezwa Aprili 10 na baada ya hapo...
Back
Top Bottom