Xi Jinping
JF-Expert Member
- Jun 14, 2023
- 9,548
- 28,817
- Thread starter
- #61
Hujui kama orodha imeshatoka??? Ngoja nifatilie nikuwekee hapa au kama kuna mtu anayo ataweka... Tanzania haimo
Hujui kama orodha imeshatoka??? Ngoja nifatilie nikuwekee hapa au kama kuna mtu anayo ataweka... Tanzania haimo
Period, tit for tat till the endUmejiandaa lakini?
Huyu jamaa yupo obsessed na China kupitiliza, anaweza akaongea na Rais wa Tanzania lakini akaitaja China katikati ya maongezi sijui wachina walimfanya nini ?Kinachonidhangaza kila maongezi Trump hakosi kuitaja China
Wapambane wanavyopambana, lakini mchina ana njaa kali sana, na ndoto yake ni kutawala uchumi wa nchi yoyote masikini ikiwamo Tanzania. Mchina haitaji maendeleo ya nchi atakayoitawala kiuchumi, angalia migodi yao Tanzania! hata safety boot kuwapa wafanyakazi hataki, dust musk hataki! mchina ni mshenzi mshenzi mnoo, na anatuona watu weusi kama takataka. Ashinde asishinde kama hatuwezi kuwa na uongozi bora sisi kama sisi sipotezi muda kumsifia mchina, ni takataka.AGOA ipo kama haipo, kwenye mkutano wa FOCAC kati ya China na mataifa ya Africa Xi alitangaza kuweka 0 tariffs kwa mataifa yote masikini ambayo yana diplomatic relationship na China
Trump yeye kawaongezea tariffs AGOA member countries. Marekani inapoteza ushawishi huku China ikijiongezea credit kimataifa
Trump ni mwendawazimu badala ya kuifungua Marekani yeye anazidi kuifungia
Kumbe hata Wamarekani wanapenda kupata bidhaa kwa bei nafuu, Inakuaje sasa wabongo kina Mindyou wanamaindi wachina wanavyotuuzia bidhaa kwa bei nafuu!! Wanataka wao wabongo watuuzie bidhaa hizohizo kwa bei ghali.Kwa sasa Wamarekani wataendelea kusota kwa kupanda kwa gharama za bidhaa wanazoimport kufuatia Trump kuziongezea ushuru nchi zinazoexport bidhaa Marekani
"Tunasubiri simu zao" hivyo ndivyo Trump alivyopost kwenye akaunti yake baada ya Marekani kuongeza ushuru kwa China kufikia 104%
Tangu mwanzoni kabisa Trump alipoanza kuiongezea ushuru China, serikali ya China ilishasema; China itapambana hii vita mpaka mwisho.
Trump aache kuwazia eti kuna siku China itawapigia simu wakae mezani waanze kubargain. He should stop begging for China to call.
HIi vita hakuna cha kusubiri simu ni toa niweke. Tayari msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya China ametoa tamko baada ya Marekani kuipandishia China ushuru kufikia 104%
"China is not a seeker of trouble. But make no mistake: when challenged we will never back down."
– Lin Jian (Foreign Ministry Spokeperson)
Trump aambiwe kuwa hakuna muda wa kusubiri simu, ni mwendo wa tariffs juu ya tariffs. Hii vita Trump aliianzisha China watamalizana naye kibabe. The game is on!
View attachment 3297329
China anahis nan atafidia soko la Amerika ?
Alianzisha China kwa kuweka ushuru wa 67% wkt USA aliweka 20%
Hii vita Trump alianza tangu mwaka 2018 akapoteana
Sasa hivi karudi round ya pili na China walijua tu akiwa raisi atataka kuendelea pale aliposhindwa
Ndio maana safari hii China inaenda naye kibabe tit for tat ilishajipanga
China si waniletee mimi vitu vyao hahhaa, nitanunua hata kwa ushuru wa buree"Tunasubiri simu zao" hivyo ndivyo Trump alivyopost kwenye akaunti yake baada ya Marekani kuongeza ushuru kwa China kufikia 104%
Tangu mwanzoni kabisa Trump alipoanza kuiongezea ushuru China, serikali ya China ilishasema; China itapambana hii vita mpaka mwisho.
Trump aache kuwazia eti kuna siku China itawapigia simu wakae mezani waanze kubargain. He should stop begging for China to call.
HIi vita hakuna cha kusubiri simu ni toa niweke. Tayari msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya China ametoa tamko baada ya Marekani kuipandishia China ushuru kufikia 104%
"China is not a seeker of trouble. But make no mistake: when challenged we will never back down."
– Lin Jian (Foreign Ministry Spokeperson)
Ila Mkuu hizo taarifa kuwa mataifa kibao yameamua kuondoa ushuru baada ya tamko la Trump ni za kweli? Ikiwa ni kweli sio kuwa Trump amefanikiwa lengo lake?
Okay, nimekupata.Kuna baadhi ya mataifa wameahidi watafanya hivyo ila vitendo bado. Tuseme watapunguza tariffs
Tatizo litabaki sehemu 4
Wengi wananchi kamatika mataifa hayo hawawezi kuafford bidhaa za Marekani kwa bei kwa hiyo bado zitadoda kwenye masoko
Bado manufacturing factories zitabaki kwenye mataifa hayo kwa sababu hakutakuwa na haja tena ya ku bring manufacturing back in U.S wakati kuna zero tariffs
Nchi kama Vietnam nayo imeahidi hivyo hii itakuwa ushindi kwa China kwa sababu wana viwanda vingi hapo Vietnam
Kwa kuwa bado bidhaa za Marekani zitakuwa na bei kubwa na itaendelea kuimport bidhaa kutoka hayo mataifa ina maana trade defict itapungua lakini haitaishaTrump akiweza ku bring back their past glory manufacturing power kama ya 1970s hapo tutasema amefikia lengo lake hizi nyingine ni siasa tu
Kumbe hata Wamarekani wanapenda kupata bidhaa kwa bei nafuu, Inakuaje sasa wabongo kina Mindyou wanamaindi wachina wanavyotuuzia bidhaa kwa bei nafuu!! Wanataka wao wabongo watuuzie bidhaa hizohizo kwa bei ghali.
Toka Term ya kwanza ya trump manufacturer wa US walianza kuhamia taiwan... ndo maana ghafla taiwan imekuwa kwa kasi sana.. na nafikiri huu mchezo wa marekani kwa china anataka kampuni za US zihamie taiwan maana juzi tu hapa US alingia mkataba wa billions of Dollars kuwekeza Taiwan.. nafikiri hidden Agenda ya marekan kwa china ni kuhakikisha kampuni zake zinakimbilia TaiwanTrump is fighting a losing battle.
Hata China aki negotiate tariffs - and I hope they don't- Trump hawezi kurudisha manufacturing US kwa sababu nyingine nyingi sana tu.
Trump apigwe tu, maana hamna jinsi.
Tatizo jengine kwenye hizo tariff ni hadi raw material Zimepigwa tariff za maana, ina maana uki zalisha Marekani si tu labor cost zinakuwa kubwa bali hadi material ya uzalishaji ni ghali. So unatakiwa from scratch uzalishe humo humo, kitu ambacho ni ndoto.BIdhaa za viwandani za Marekani hata Wamarekani wenyewe wanazikimbia wanapolinganisha bei na za kutoka mataifa mengine
Suala la kurudisha manufacturing Marekani ni ndoto za mchana. Hakuna Mmarekani anayeweza kufanya kazi kwa masaa mengi na ujira mdogo kama anaopewa mfanyakazi wa kutengeneza viatu vya NIKE pale Vietnam au iPhone pale India
Kwa sasa Wamarekani wataendelea kusota kwa kupanda kwa gharama za bidhaa wanazoimport kufuatia Trump kuziongezea ushuru nchi zinazoexport bidhaa Marekani
Wachina hawana nia njema. Wangekuwa na nia njema wangejenga viwanda ila sio kwenda kuanzisha Car Wash Mikocheni.
Toka Term ya kwanza ya trump manufacturer wa US walianza kuhamia taiwan... ndo maana ghafla taiwan imekuwa kwa kasi sana.. na nafikiri huu mchezo wa marekani kwa china anataka kampuni za US zihamie taiwan maana juzi tu hapa US alingia mkataba wa billions of Dollars kuwekeza Taiwan.. nafikiri hidden Agenda ya marekan kwa china ni kuhakikisha kampuni zake zinakimbilia Taiwan
Mwaka 2023 Serikali ya Marekani ilizuia kampuni ya Kichina ya Wanxiang kununua hisa kwenye kampuni ya EVs maana walikuwa wanaogopa influence ya hiyo kampuni kuwa kubwa.